NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,027
- 19,214
Hi pavement ya kawaida sana hata kwa village yangu ipo. Nionyeshe kama hii.Kila barabara unayoijua wewe ipo Dar kuanzia inapoanza mpaka inapoishia pembeni yake kuna hizo pavers .. eg hii 👇View attachment 2334678