Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why the independent Bodies aren’t holding uhuru accountable for grabbing land equivalent to settling 20 million Kenyans ?
Plus the massive wealth that Mama ngina has accumulated due to looting ?
Sins of the father
 
What about GSM mall? Is not a Tanzanian
Lakini hii ni mall seriously?
images%20(2).jpg
 
We jamaa Don YF njoo hapa 👇 Mwanza city outside CBD
Screenshot_20220825-180737_1.jpg
Screenshot_20220823-172153_1.jpg
Screenshot_20220823-172338_1.jpg
Screenshot_20220823-172526_1.jpg
Screenshot_20220823-172351_1.jpg
Screenshot_20220823-172611_1.jpg
usiwe unailinganisha your village centers kwa Mwanza City Bro, toa heshima panapostahili.. Mwanza ni kubwa na imeendelea kuliko ARUSHA and Kisumu combined, ukiachana na ule ukubwa wa CBD ya Mwanza which is three times bigger to kidumu's CBD and two times bigger to Arusha CBD . Lakin bado Mwanza iko na maeneo yaliyoendelea na makubwa zaidi y.. shughuli za kiuchumi ndio wala tuzizungumzie .. HESHIMA UFUATE MKONDO WAKE
 
We jamaa Don YF njoo hapa 👇 Mwanza city outside CBD View attachment 2334654View attachment 2334655View attachment 2334656View attachment 2334657View attachment 2334658View attachment 2334659usiwe unailinganisha your village centers kwa Mwanza City Bro, toa heshima panapostahili.. Mwanza ni kubwa na imeendelea kuliko ARUSHA and Kisumu combined, ukiachana na ule ukubwa wa CBD ya Mwanza which is three times bigger to kidumu's CBD and two times bigger to Arusha CBD . Lakin bado Mwanza iko na maeneo yaliyoendelea na makubwa zaidi y.. shughuli za kiuchumi ndio wala tuzizungumzie .. HESHIMA UFUATE MKONDO WAKE
Why are you showing us shacks and slums?
 
Wewe kwa akili yako mbovu unaweza ziamini taarifa za kina Mwendazake na genge lake? Kwani hujui walikuwa wanapika Takwimu na ndio sababu za kutunga sheria ya ku kamata wanaokuja na Takwimu tofauti?

Amini Takwimu za awamu ya 6 ndio sahihi na ziko wazi Kwa kila mtu kupinga au kuunga mkono..
Kuhusu propaganda CCM na serikali yake wana porojo zakutosha tu hivyo raisi yeyote anayetokea CCM itikadi zao ni moja tu,aliyethubutu kiuhalisia kidogo magu alikaza buti
 
Back
Top Bottom