Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sorry for disappointing you. Here is Kisumu bus terminal.

View attachment 2334507
Sasa unabisha hapa sio Kisumu?

JamiiForums330802702.jpg
 
I love how our independent bodies are taking charge and holding our leaders to accountability.... Although not yet there but they showing a commitment. For the first time all governors are required to sign a code of conduct when taking orth in which if broken they risk jail terms


Why the independent Bodies aren’t holding uhuru accountable for grabbing land equivalent to settling 20 million Kenyans ?
Plus the massive wealth that Mama ngina has accumulated due to looting ?
 
we nawe ni kheri ukatuliza matako tu kuliko kutuletea habari za huyo mvaa ushungi ambaye madeni anayoyakopa yamemzidi kutwa kila siku añaleta tozo za ajabuajabu msipoangalia vizuri atawaleteeni mpaka tozo za kulipia mkundu ili tuone mtasalimika wapi
Chuki hazitabadili uhalisia Mzee, Mwendazake alikuwa muongo na mpenda sifa za kijinga..

Kama ni madeni yalikopwa mamilopo ya kishenzi na yenye riba kubwa na Mwendazake huku akidanganya mnajenga kwa pesa zenu..

Wakati alifanya hayo alikuwa anawapora maskini Kwa kuwalipisha elfu 20,000 mliyoita kitambulisho cha mjasiliamali,akipora wafanyabiashara pesa na kuua uchumi..

Samia Keshafunika legacy zamnai Sana,sectors zooote are moving na wewe unajua licha ya chuki zako 😂😜

Kuhusu tozo soma Maoni ya Wananchi kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-152037.png
    Screenshot_20220825-152037.png
    44.8 KB · Views: 9
  • 20220825_152030.jpg
    20220825_152030.jpg
    30 KB · Views: 7
Dar es Salaam (Yaani sura ya Mombasa) VS Nairobi(2021), 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥


Dar
 
Wewe kunguni Manager and managing Director are not the same thing.
Sasa unataka nikusaidieje? Watanzania nature yao hawapendi shobo kabisa, angekua ni mkunya angeshaanda profile ya kutisha kujielezea umiliki wake mpaka kuzimu wamjue, watanzania hatupo hivyo matajiri wa Tanzania hawapendi kujulikana sasa kama wewe unamjua mmiliki wa hiyo mall mlete!
 
Hakuna stage ya Kisumu leo hii iko na uchafu hivi.., hii nikuonyesha umekosa jibu kabisa.., ni 2022 Governor Prof. Anyang Nyong'o alingarisha Kisumu miaka tano iliyo pita.., pole kwa maumivu na bado, ndio tumeanza kuamka, mtapata tabu sana😂😂


CBD ya kisumu ni 100 square meters, ingia ndani kidogo uone 😅😅😅
 
Back
Top Bottom