babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Chinese property which is managed by a Kenyan.
Lete evidence ni managed by a kunyan.
Chinese property which is managed by a Kenyan.
Commenting with ignoranceHujawahi earn ata cent tano youtube no right to quote my comment kondoo.
Commenting with ignorance
Chinese property? LolChinese property which is managed by a Kenyan.
Mnataka mletewe evidence mara ngapi?Lete evidence ni managed by a kunyan.
The difference is that it's bigger than any mall in Tanzania.Sasa hii inatofauti gan na shamo tower ipo mbezi? Hapo bado sijataja ile kibo complex yq tegeta
Kwenu huko hamlimi, local finished goods kwa bidhaa za vyakula ni chache, unategemea kununua bei rahisi kweli kutoka kwa mchuuzi mdogo.? Lazima prices ziwe juu. Huku bongo kila kitu hususan chakula kinapatikana kwa bei rahisi zaidi since tunazalisha wenyewe hivyo vitu, prices lazima ziwe chini.. yupo kwahyo msilazimishe tufanane. We live in different worldsThey don't know that malls are cheaper than buying from the normal shops around. 😂😂
🤣🤣 Tanzania gani kwanza unayoizungumzia hapa we kondoo.?The difference is that it's bigger than any mall in Tanzania.
They called super storesDifferentiate between a mall and a store, GSM is a wholesale store.
We simba kile ki YouTube channel chako kanapata sh ngapi.? 🤣🤣🤣, Content zako zenye ziko na views mingi ni hii iliyoweka 2 years ago 👇Commenting with ignorance
Ikiwa malls ni kielelezo cha utajiri na njaa plus kuomba omba itakuwa kielelezo cha nn? Mm mtaani kwetu jina Kenya linamaanisha dhiki na ufukara.Yaani you guys have been so brainwashed to think all Kenyans are poor, and no wonder you are shocked at how there's a ton of malls and more are constructed everydaypigwa shock endelea kuamini 99% of kenyans are poor
![]()
Sababu media zenyu hiyo ndo propaganda Zina penda kuwapa. Ili hali ni porojo tu. Ndo maanake milele hamtatufikiaIkiwa malls ni kielelezo cha utajiri na njaa plus kuomba omba itakuwa kielelezo cha nn? Mm mtaani kwetu jina Kenya linamaanisha dhiki na ufukara.
Kwani mmetuzidi kwenye nini hata tusiwafikie.?Sababu media zenyu hiyo ndo propaganda Zina penda kuwapa. Ili hali ni porojo tu. Ndo maanake milele hamtatufikia
Hehe mimi si content creatorWe simba kile ki YouTube channel chako kanapata sh ngapi.? 🤣🤣🤣, Content zako zenye ziko na views mingi ni hii iliyoweka 2 years ago 👇View attachment 2334184kana 920 views 🤣🤣 ambapo YouTube wanalipa per 1k views, it's two years now, when ar you going to get paid bro.? 🤣
Unajikataa mzee.? 🤣Hehe mimi si content creator
Tuanze moja moja ukiskia unapinga unasema haya 1. TechnologyKwani mmetuzidi kwenye nini hata tusiwafikie.?
Ufukara wa Wakenya uko wazi na Ufukara wa Kenya uko wazi pia, angalia maisha wanayoishi Wakenya wengi ni kutangatanga kila kona ya dunia, angalia njaa inavyoua maelfu ya Wakenya, angalia uchafu ulioizunguka miji ya Kenya, angalia infrastructures za Kenya zilivyo za ubabaishaji, yani Kenya ni kielelezo cha ufukara duniani na ndiyo maana mna ma slums yaliyovunja rekodi ya kudunia mpk ss.Sababu media zenyu hiyo ndo propaganda Zina penda kuwapa. Ili hali ni porojo tu. Ndo maanake milele hamtatufikia
🤣🤣 Ar you crazy or something, kenya kuna technology.? Kuliko Tz.? Mnaweza hata kujenga barabara za lami.? Au unazungumzia investments za foreigners and nyie mki provide cheap laborers.? Ni kitu gani hapo kwenu kinachohusu technology kimefanywa na native kenyans.?Tuanze moja moja ukiskia unapinga unasema haya 1. Technology