The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tofauti ni kama mbingu na ardhi 




























Technology hiyo kwa Afrika ipo SA, Egypt na Tz pekee.Hivi kunyaland mitungi yenu ya chang'aa inaoshwa na nini?
Automatic train washer
Nchi zote fukara bidhaa huwa bei rahisi, ata pombe, ila wengi bado wana shindwa kumudu., you are poor, kubali yaishe😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwenu huko hamlimi, local finished goods kwa bidhaa za vyakula ni chache, unategemea kununua bei rahisi kweli kutoka kwa mchuuzi mdogo.? Lazima prices ziwe juu. Huku bongo kila kitu hususan chakula kinapatikana kwa bei rahisi zaidi since tunazalisha wenyewe hivyo vitu, prices lazima ziwe chini.. yupo kwahyo msilazimishe tufanane. We live in different worlds

Porojo! umeandika kwa maumivu sana😂😂😂😂😂😂😂, umeteseka sana, hii ni wivuuu😂😂😂😂😂, onyesha hapa kama kuna wakati ata watu mia pekee wamekufa kwa ajili ya njaa Kenya in a year, wewe ni mchawi mrogi kweli😂😂😂 yaani unatamanigi fikra zako zikue ukweli lakini wapi, google earth iko, ikija Tanzania hauna pakutokea, eti unataja infrastructure na in Tanzania ni sehemu kidogo ya Dar ndio inajua meaning ya neno infrastructure,, yaani ata uandike porojo haubadilishi ukweli, zile siku za propaganda ziliisha,😜😜😂😂😂😂Ufukara wa Wakenya uko wazi na Ufukara wa Kenya uko wazi pia, angalia maisha wanayoishi Wakenya wengi ni kutangatanga kila kona ya dunia, angalia njaa inavyoua maelfu ya Wakenya, angalia uchafu ulioizunguka miji ya Kenya, angalia infrastructures za Kenya zilivyo za ubabaishaji, yani Kenya ni kielelezo cha ufukara duniani na ndiyo maana mna ma slums yaliyovunja rekodi ya kudunia mpk ss.
Do you really know the meaning of management?Head of real estate services tangu lini akawa MD?
Wanufaika na utawala wake na manyvu ndio wanaweza amini huu ujinga 👇Jpm alikua anachukia wezi sana,ofcz inauma mno
90 meters in length ndio kitu unaita giant?😂😂🤣
Dar ni Mombasa..., yaani muonekano wa second tier cities uarabuni.,😂😂😂😂😂😂