Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze moja moja ukiskia unapinga unasema haya 1. Technology
Technology kwenye nn? Health sector? Madokta wetu rafiki zao ni madaktari wa India.

Roads? Mna highways tunazo pia, mna flyovers tunazo pia, tumewazidi kwenye interchange, sisi tuna 3level nyinyi hamna.

Railways? Hapa kwanza ncheke

Water vessels? Tuna meli nyingi za kisasa na kubwa kuliko nchi zote EA.

Technology ipi hiyo unazungumza?
 
U

🤣🤣 Atakuletea article moja hiv .. akijisahau kwamba vitu vya technology vinaonekana kwa macho
 
Technology kwenye nn? Health sector? Madokta wetu rafiki zao ni madaktari wa India.

Roads? Mna highways tunazo pia, mna flyovers tunazo pia, tumewazidi kwenye interchange, sisi tuna 3level nyinyi hamna.

Railways? Hapa kwanza ncheke

Water vessels? Tuna meli nyingi za kisasa na kubwa kuliko nchi zote EA.

Technology ipi hiyo unazungumza?
Empty debes makes the loudest noice. Niliwaambia Tanzania should try to catch up with Uganda first.

images (60).jpeg
 
Tanzania imeshindwa hadi na Zimbabwe.
Tanzania ndiyo nchi pekee East and Central Africa kuwa na infrastructures za kisasa zaidi, BRT system, electrifitried SGR ambayo ndiyo ndefu zaidi Afrika, 3level interchange from the beginning co eti road inaungwa ungwa ili kutengeneza view ya 3level, Airpot za kisasa zaidi, bus terminals kama Airpots, nchi pekee EA kuwa na cable stayed bridges
 
Back
Top Bottom