Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,154
- 29,773
Lakini huu uzi umekuwa mgumu sana baada ya jpm kuondokaKigamboni tamu sana! Karen inapigwa mapema hapa!
Lakini huu uzi umekuwa mgumu sana baada ya jpm kuondokaKigamboni tamu sana! Karen inapigwa mapema hapa!
Baba Levo... Hilo Jina nimelisikia hapa JF kwa mara ya kwanzaBora hata hao ni viongozi lakini Baba Levo ni chawa.
Baba Levo nimemjua hapa JF after that famous admission he made. Before that, I never knew there existed someone called Baba Levo. I can't even mention one single song of his. And I am being honest
Ni wapi uliambiwa kwamba kura zetu zinahesabiwa na technology? Kenya uses manual voting. IT is only employed in voter registration and voter id entification during voting. Every other thing is done mannualy including vote counting and tallyingKama IT yenyewe ndio hiyo ya kuhesabu kura mil.14 kwa siku sababu taabu sana.Shida mnajifunza kwa IT ya wizi.
Hivi hawa wakitangaziwa kwamba Rutto ameshinda hawatoanza fujo?
Tony254
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu inakaribia karen huko TanzaniaKigamboni tamu sana! Karen inapigwa mapema hapa!
Hayo ndio majibu yanayowafaa nyie mburukenge..Huyu jamaa hamna kitu sijui anafanya nn kwenye hii wizara hamna kipya gharama za huduma za mawasiliano zinazidi kupanda kila kukicha yy yupo tuu
Kama yuko weak fanya tukio tuone Kati yake na wewe nani atakuwa weak.Samia and her government are weak that's why things are the way they are.
Wakati Makonda anajibu shombo na kutisha Mawaziri akiwemo PM,mumeo JPM alifanya kitu gani?Nitashangaa mara mia kama mama hatofanya kitu kwa huyu jamaa. Lkn hii shangaa yangu uncertainly itakuwa ni kazi bure mana hakuna kitu mama atafanya 🤣
Nadhan akifanya kitu kwa huyu jamaa, itajenga useriousness kwa wengine; itatoa picha mama hataki mzaamzaa.. otherwise watu wataendelea kumchukulia poa kama rais wa katiba 😅