7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Hamna kitu hapa. Hawezi kufanya kitu maana dizaini za watu kama hawa huwa wanajiona CCM ni yao hata kama hawana uwezo watabebwa bebwa tu siku zote.Nitashangaa mara mia kama mama hatofanya kitu kwa huyu jamaa. Lkn hii shangaa yangu uncertainly itakuwa ni kazi bure mana hakuna kitu mama atafanya
Nadhan akifanya kitu kwa huyu jamaa, itajenga useriousness kwa wengine; itatoa picha mama hataki mzaamzaa.. otherwise watu wataendelea kumchukulia poa kama rais wa katiba![]()
Akitumbuliwa utaona atakavyoanza kutoa vijembe as if kaonewa kumbe uwezo wake ni mdogo sana. Kuna watu wanapata vyeo kwasababu ya hisani tu ya wazazi wao na siyo wao.


) kUsingekuwa na amani kenya nah?