dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
enway, Raila can still be president in 2027.. hakuna mbio hapa.. tyme bado iko.. kwani!
Ilikua porojo and photoshoped pictures, face ndio wanabadilisha wanaweka ya Shebesh/Sonko/Passaris., ..,Huyu Sonko alikula mpaka Rachel Shebesh.
Hahaha. Jibu nzuri sana.Kwani dunia hii unayokaa imeshikiliwa na kamba?
Hahaha.Au anafikiri dunia imekalia kigoda![]()
wah! we all have our fingers crossed🤞🏽🤞🏽 don't be surprised for chebukati to announce a re-run match if either of the two fails to garner a 50%+1 vote! ..Mshindi wa urais anatangazwa saa tisa ambayo ni one hour from now. Nimeambiwa tu hata mimi kwa hivyo sipo sure kama ukweli. Ila what I know ni kwamba mshindi lazima atangazwe leo.
Matokeo siyanajulikana tayari.Mshindi wa urais anatangazwa saa tisa ambayo ni one hour from now. Nimeambiwa tu hata mimi kwa hivyo sipo sure kama ukweli. Ila what I know ni kwamba mshindi lazima atangazwe leo.
Wacha tutaona. Leo jua halizami kabla hatujajua mshindi ni nani.Matokeo siyanajulikana tayari.
Katiba yenu mnaitendea haki kwa % kubwa
Tusubiri kwanza tuone
so to up to now and based on those signs, nani kashinda? Mi naona a tie!
Sina uhakika lakini tie is a possibility.so to up to now and based on those signs, nani kashinda? Mi naona a tie!
Mkuu, Mimi naona Rutto ameshapita 50% ya kura zote.so to up to now and based on those signs, nani kashinda? Mi naona a tie!
Tie kitu gani ruto ndo kabeba ndoo, jaluo sahau kiti cha uraisi milele😅😅Sina uhakika lakini tie is a possibility.
Nani amekuambia mimi ni mjaluo? Usiniletee upumbavu wako. Halafu huwa mnajifanya kwamba nyie sio wakabila.Tie kitu gani ruto ndo kabeba ndoo, jaluo sahau kiti cha uraisi milele😅😅
We ni jaluo tu,usikatae ukwenuNani amekuambia mimi ni mjaluo? Usiniletee upumbavu wako. Halafu huwa mnajifanya kwamba nyie sio wakabila.