Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwa JPM tulisikia pia viongozi wengine wakitutambia wenyewe ndio wala bata nchi nzima na tambo na kejeli za kila aina na wengine wakitesa, kutisha na kunyanyasa wananchi waziwazi lakini walidumu mpaka mauti yalipomkuta, hii unaiongeleaje mdogo wangu?
Yah ofcoz kulikuwa na madhaifu kadhaa, unajua mtu hawezi kuwa perfect 100% mana yeye co Mungu, mfano JPM alikuwa ananiudhi sn kumvumilia Bashite licha ya ujinga wake japo hilo halikumuharibia mipango yake ya kuliletea taifa maendeleo tunayojidai nayo leo.
 
Wapw credit zao,travelling is a sign of disposable income...Watz wengi hatuwezi kusafiri kwa kigezo cha mkwanja
Aliyekuambia watanzania hawasafiri nani? Labda wewe ndiyo husafiri.
Screenshot_20220819-171311.jpg
 
Na nikakuelezea tangu 2013 tumekuwa na less election killings than Tanzania. Ukapinga, nikatoa ushahidi, ukashindwa. Sasa umeanza kupayukapayuka mara 2007 mara indices.
Punguza ujinga, nilikuwekea link iliyosema Kenya watu 24 waliuliwa katika election ya 2017, na nikakuambia ulete ushahidi kutoka reliable sources kuhusu watu waliouliwa katika elections 2015 na 2020 Tanzania, badala ya kuleta ushahidi ukaanza kuuliza ujinga.

Watu waliokufa Kenya katika uchaguzi wa 2017 pekee, ni wengi kuzidi chaguzi nne za Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Baba Levo nimemjua hapa JF after that famous admission he made. Before that, I never knew there existed someone called Baba Levo. I can't even mention one single song of his. And I am being honest
Like wise, personal I know Kenya through this forum, now I search too much about Kenya using YouTube, Google and other social media, before that, I wasn't very much aware about Kenya.

I am sure 90% of Tanzanians who don't visit JF, don't know much about Kenya, because our media don't talk much about Kenya, contrary to your radios and TVs stations which play Bongo Flava, and used to follow Magufuli almost everyday

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hadi kufikia sasa wewe na kundi lako la kamati ya roho chafu mlitarajia kuona machafuko kite Kenya huku watu wakiuana na kuchomeana. You must be a very dissapointed lot! Pole sana
Yes, very disappointed indeed, but according to Martha Karua, it is not over, I am still hoping that killings will occur soon, let's pray together

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom