The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sanaa aiseee.Anawaangusha Sana watumishi wa serikali, iweje mtumishi wa serikali lakini hana ufahamu kuhusu Mambo ya nchi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sanaa aiseee.Anawaangusha Sana watumishi wa serikali, iweje mtumishi wa serikali lakini hana ufahamu kuhusu Mambo ya nchi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna minyukano huko twitter
Kuna minyukano huko twitter
Halafu ni youtuber yule jamaaHajielewi huyo, BRT ni mara million ya hiyo expressway ya mchina lakini ufahamu wa kujua hilo hana sababu haangalii mantiki ya kitu ila anajali kijengwe tu kionekane bila kujali ili kushindana au kuonekana bora bila umuhimu wa project au upembuzi yakinifu!
Kuna minyukano huko twitter
Anatafuta viewers kwa udi na uvumba.Halafu ni youtuber yule jamaa
Wewe ni mtu wa ajabu sana tena uliye na upungufu wa akili. Ndio maana huwezi jadiliana upande wa Tanzania wa jukwaa maanake huwezi thrive pasipo na blind patriots wa kukushangilia hata ukionge upuzi. Umepost link uchwara Ndio hii link uliyoleta. Haya nionyeshe wapi watu 24 wamekufa.Punguza ujinga, nilikuwekea link iliyosema Kenya watu 24 waliuliwa katika election ya 2017, na nikakuambia ulete ushahidi kutoka reliable sources kuhusu watu waliouliwa katika elections 2015 na 2020 Tanzania, badala ya kuleta ushahidi ukaanza kuuliza ujinga.
Watu waliokufa Kenya katika uchaguzi wa 2017 pekee, ni wengi kuzidi chaguzi nne za Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hivi kwa hiyo comment yako kuna source? 🤦♂️ Boss, arguing with you is like playing a goat a guitar. Kuna tofauti kati ya indices na actual killings. Nimekupa actual killings, wewe unanipa indices tena bila source.Kwani wewe unaposema Kuna mauaji na harassments unatumia sources zipi?, ktn?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Basi tuendelee kuvumilia na madhaifu ya wengine kama yeye tulivyomvumilia tujenge nchi. We don’t hang our dirty laundry in public if you know what I mean.Yah ofcoz kulikuwa na madhaifu kadhaa, unajua mtu hawezi kuwa perfect 100% mana yeye co Mungu, mfano JPM alikuwa ananiudhi sn kumvumilia Bashite licha ya ujinga wake japo hilo halikumuharibia mipango yake ya kuliletea taifa maendeleo tunayojidai nayo leo.
They will only occur in your mind bongolala. You just prove what a black heart you have. I repeat again, pole kwa dissapointmentYes, very disappointed indeed, but according to Martha Karua, it is not over, I am still hoping that killings will occur soon, let's pray together
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
In your last election mliuana kuliko Kenya in 2013, 2017 and 2022 combined.Yes, very disappointed indeed, but according to Martha Karua, it is not over, I am still hoping that killings will occur soon, let's pray together
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watanzania wanatazama hadi news za Kenya na unakuja kudanganya hapa. Kadoda (I don't know where he went to) used to share screenshot za TV stations za Kenya kwenye runinga yake humu ndani and many others I can't remember. Mini mnafatilia sana news za Kenya ndio maana wengi wenu mnajua hadi majina za mawaziri wetu. Mimi kuna wakati sikujua hata jina ya VP wenuLike wise, personal I know Kenya through this forum, now I search too much about Kenya using YouTube, Google and other social media, before that, I wasn't very much aware about Kenya.
I am sure 90% of Tanzanians who don't visit JF, don't know much about Kenya, because our media don't talk much about Kenya, contrary to your radios and TVs stations which play Bongo Flava, and used to follow Magufuli almost everyday
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So they did a revision upwards?88 Nairobi is now taller than Prism tower. It will be 47 floors and not 44 as communicated earlier.
View attachment 2328752
Yeah they revised the floors to 47 floors.So they did a revision upwards?
How I wish it was an office building. With 47 floors above ground, it would have been imposing!
Mama atupishe, ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, watu wanajipangia bei wanazotaka mama akiulizwa anakwambia dunia nzima gharama za maisha zimepanda pia vita vya Russia na Ukraine imechangia, very lame excuse. Ukweli ni kwamba sio mtu yeyote anafaa kuwa Rais japo mtu yeyote anaweza kuwa Rais.Hehe. Kuna minyuko tena?
Hii awamu mim nasubiria tu 2025, nione hali itakuwaje. Kwa saiz mpk 2025 hakuna namna.
Unaendeshwa na mihemko,Sasa kati ya wakenya na watz ni wapi walioongoza kusafiri?achana ushabiki mandaziAliyekuambia watanzania hawasafiri nani? Labda wewe ndiyo husafiri.View attachment 2328638
Idadi bado wao wapo juu...angalia pande zoteAngalia statistics za wizara ya utalii ya Kenya, Tanzania ni namba 3 nyuma ya USA na UK kwa kupeleka watalii wengi Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app