REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,229
- 10,913
kipindi cha JPM asingejibu hivi!
Samia and her government are weak that's why things are the way they are.
kipindi cha JPM asingejibu hivi!
Yap!Huyo jamaa hajielewi a nafikiri akili yetu imefungiwa Dar kama Wakunya akili yao ilivyofungiwa Nairobi, mradi kama electric SGR wenye zaidi ya kilometers 2500 unaopita zaidi ya 65% ya Tanzania tungeamua uwe hizo 'superhighways' anazolalama nazo hapa hapo Dar tungekuwa nazo 200, JNHPP tungeamua iwe expressways Dar tungekuwa nazo 500 lakini akili yetu sio fupi kama wao
Chuma alijua kuwanyoosha watu wa design hii 🤣🤣Samia and her government are weak that's why things are the way they are.
Huyu jamaa hamna kitu sijui anafanya nn kwenye hii wizara hamna kipya gharama za huduma za mawasiliano zinazidi kupanda kila kukicha yy yupo tuuChuma alijua kuwanyoosha watu wa design hii 🤣🤣
View attachment 2327810
Nitashangaa mara mia kama mama hatofanya kitu kwa huyu jamaa. Lkn hii shangaa yangu uncertainly itakuwa ni kazi bure mana hakuna kitu mama atafanya 🤣Huyu jamaa hamna kitu sijui anafanya nn kwenye hii wizara hamna kipya gharama za huduma za mawasiliano zinazidi kupanda kila kukicha yy yupo tuu
Mtoto wa "wenye CCM" huyo.Huyu jamaa hamna kitu sijui anafanya nn kwenye hii wizara hamna kipya gharama za huduma za mawasiliano zinazidi kupanda kila kukicha yy yupo tuu
Agreed.next point, Tanzanian without an identity.Wakenya wakubali kutawaliwa na kabila mbili tu. Hiyo ndio "demokrasia" yao.
Imekuchoma hiyo wewe nyang'au.Agreed.next point, Tanzanian without an identity.
Halafu expressway ya naipori sidhani kama ni kipaumbele chetu kwa sasa,sababu ile ni 100% mkopo ambao hata sisi tukiutaka tunaupataHuyo jamaa hajielewi a nafikiri akili yetu imefungiwa Dar kama Wakunya akili yao ilivyofungiwa Nairobi, mradi kama electric SGR wenye zaidi ya kilometers 2500 unaopita zaidi ya 65% ya Tanzania tungeamua uwe hizo 'superhighways' anazolalama nazo hapa hapo Dar tungekuwa nazo 200, JNHPP tungeamua iwe expressways Dar tungekuwa nazo 500 lakini akili yetu sio fupi kama wao
Nape,makamba na mwigulu mama alitukosea sana Watanzania kuwapa nafasi tenaNitashangaa mara mia kama mama hatofanya kitu kwa huyu jamaa. Lkn hii shangaa yangu uncertainly itakuwa ni kazi bure mana hakuna kitu mama atafanya 🤣
Nadhan akifanya kitu kwa huyu jamaa, itajenga useriousness kwa wengine; itatoa picha mama hataki mzaamzaa.. otherwise watu wataendelea kumchukulia poa kama rais wa katiba 😅
Kwahiyo huko kwenu loosing or not loosing only you think about money?, Ninyi mnaabudu pesa kuliko UTU wa mtu, hovyo Sana ninyiraila has nothing to loose coz hakutumia ata senti moja kwa campaignsView attachment 2327879View attachment 2327880View attachment 2327881View attachment 2327882View attachment 2327883View attachment 2327884View attachment 2327885
Hajielewi huyo, BRT ni mara million ya hiyo expressway ya mchina lakini ufahamu wa kujua hilo hana sababu haangalii mantiki ya kitu ila anajali kijengwe tu kionekane bila kujali ili kushindana au kuonekana bora bila umuhimu wa project au upembuzi yakinifu!Halafu expressway ya naipori sidhani kama ni kipaumbele chetu kwa sasa,sababu ile ni 100% mkopo ambao hata sisi tukiutaka tunaupata
ikija ikaendeshwa vibaya utakuwa wa kwanza kulalamika things take hours to practice n perfectUhuni mtupu miaka 3 ya kazi gani ? Mwaka mmoja unatosha kabisa hakuna chochote cha maana wanakenda kujifunza cha kuchukua 3yr
Atamuondoaje wakati ni mmoja wa majemedari wake kuna yule mwingine alituahidi mafuta yatashuka mwezi huu ila nashangaa ndo yanazidi kupaa anadhani tumesahauNitashangaa mara mia kama mama hatofanya kitu kwa huyu jamaa. Lkn hii shangaa yangu uncertainly itakuwa ni kazi bure mana hakuna kitu mama atafanya 🤣
Nadhan akifanya kitu kwa huyu jamaa, itajenga useriousness kwa wengine; itatoa picha mama hataki mzaamzaa.. otherwise watu wataendelea kumchukulia poa kama rais wa katiba 😅
Mtoto wa "wenye CCM" huyo.