Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, you are bitter for no good reason. Tanzania itoe nguvu wapi ya kutawala Kenya? Kwanza mtawale akili zenu zilizogandizwa na ujamaa.

Kenya is the hub of IT and this is a well documented fact that won't change however much noise you make from your dingy house in Vingunguti.

Kenya is a thriving tech scene and is home to some of the most cutting-edge start-ups on the continent. Kelele yako won't change that fact. Perhaps this article itakuondoa ujinga kidogo

Kama IT yenyewe ndio hiyo ya kuhesabu kura mil.14 kwa siku sababu taabu sana.Shida mnajifunza kwa IT ya wizi.
 
Aliyekuwa na macho ya kuona opportunity ndani ya tatizo hayupo, sasa hivi tunasema sisi sio kisiwa Hatuwezi mpaka huko duniani waache kupigana.
Unayemwongelea ndiye aliachana na project za Gesi kwa kigezo Cha mikataba mibovu akashindwa kurekebisha huenda leo tungekua tunauza tayari
 
Sema wewe ni zuzu TISS NI CCM TENA WENGI NI MAKADA VILAZA WATOTO WA MAKADA ...TISS IMEJAA WATU WAPUMBAAVU KWELIKWELI wachache sana ndiyo wana chembe ya akili ....ukisikia uchwawa basi makao makuu ya uchawa na machawa ni CCM na TISS

Usichokijua ni sawa sawa na usiku wa giza totoro.
Anyway, unachokiona ndicho kilichoamuliwa uone.
Mimi katika kitu huwa siwaelewi nyie watu ambao siasa inawatafuna ubongo ni how come haya maneno hukuyasema awamu iliyopita ila unayaona awamu hii!
 
Njaa kwa majirani inaleta heshima kwa Tanzania👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-193532.png
    Screenshot_20220814-193532.png
    116.1 KB · Views: 23
Nauliza tuu,upatikanaji wa maji huko Nairobbery ni kiasi gani?

Dar 100% next year, currently ni 97% 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220814-193150.png
    Screenshot_20220814-193150.png
    152.7 KB · Views: 20
Usichokijua ni sawa sawa na usiku wa giza totoro.
Anyway, unachokiona ndicho kilichoamuliwa uone.
Mimi katika kitu huwa siwaelewi nyie watu ambao siasa inawatafuna ubongo ni how come haya maneno hukuyasema awamu iliyopita ila unayaona awamu hii!
Kuna shida mahali
 
Back
Top Bottom