Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni kituo gani mkuu, maana kila kituo kinatoa matokeo yake.
 
Wanajua hadi kuandika chebukati bila kukosea. Alafu utawaskia "wakenya wanatufatilia sana", wakati majority ya wakenya hawajui hata rais wa Tanzania
Chebukati ndio nini? Ila Magufuli mlikuwa mnamjua mpaka mukamuadmire awe Rais wenu
 
Ninachotetea ni kuwaingiza TISS kwenye mambo ya kijinga ya uchonganishi. Hivi kweli taasisi nyeti inayolinda usalama wa Taifa na raia wake kwamba iko Kenya inaratibu mchakato wa kuiba kura nisimame mbele na kupongeza kwamba ni sahihi kweli mkuu wangu?

Kama ningeambiwa ni CCM wanamsupport mgombea fulani ningeona kidogo ni sawa maana wote ni wanasiasa lakini TISS, JWTZ na POLISI wapo kwenye nchi ya watu,raia wa hiyo nchi wanaitafsiri vipi, je wakiamini wakalipa kisasi tutakuwa tumejipostion vipi.

Chuki na fitina zozote kwenye nchi yetu tuzipinge kwa hoja na kutanguliza Uzalendo mbele hasa zile zinazogusa na kuhatarisha Usalama wa Taifa.

Hivi mkuu unajua siyo kila taarifa ni habari sahihi, na siyo kila ukweli unaoujua ni lazima uuseme hadharani, vitu vingine tupige kimya huu ndio Uzalendo kwa nchi yetu.
Sema wewe ni zuzu TISS NI CCM TENA WENGI NI MAKADA VILAZA WATOTO WA MAKADA ...TISS IMEJAA WATU WAPUMBAAVU KWELIKWELI wachache sana ndiyo wana chembe ya akili ....ukisikia uchwawa basi makao makuu ya uchawa na machawa ni CCM na TISS
 
Kumbe wapo wachache wenye akili ,sasa hao wenye akili ndio wanawaongoza wengine wasiharibu.

Ila Ahsante kwa mchango wako nilikuwa silijui hili la kwamba TISS kuna watu wa namna hii na mimi ni zuzu, watu wenye akili kama nyinyi huwa mko adimu sana katika kuchanganua mambo muda wote mnawaza mabaya yawatokee wengine ila mkiguswa tu lawama kila wakati.
 
Nairobi from Ngara

299513293_188088576952095_8709239785213638564_n.jpg
 
Lewis Hamilton akiwa Kenya. Lakini sisi hatujipigi kifua kama watu wengine. Wengine hata mjomba wa Yaya Toure akienda kwao lazima wakimbie kupost
Sio mjomba wa Yaya Toure bali Yaya Toure mwenyewe yupo Tz ni vile siwezi kuweka ushahidi humu kutokana na taratibu za kazi, lkn yupo mda, alikuja akaondoka amerudi tena.
 
Kumbe wapo wachache wenye akili ,sasa hao wenye akili ndio wanawaongoza wengine wasiharibu.

Ila Ahsante kwa mchango wako nilikuwa silijui hili la kwamba TISS kuna watu wa namna hii na mimi ni zuzu, watu wenye akili kama nyinyi huwa mko adimu sana katika kuchanganua mambo muda wote mnawaza mabaya yawatokee wengine ila mkiguswa tu lawama kila wakati.
Kanuni kuu ya ccm ni wapumbavu lazima wawaongoze wenye akili, sera ya CCM INASEMA WAPUMBAVU NDIYO VIONGOZI WA WENYE AKILI ....nadhani hujui hii kanuni hivyo ukisikia kitu ni ccm basi jua moja kwa moja mpumbavu ndiye kiongozi ,vinginevyo ikatokea kinyume mwenye akili kuongoza wapumbavu basi huyo mwenye akili ataitwa dictator, msaliti na majina yote mabovu na kupigwa vita
 
Kumbe wapo wachache wenye akili ,sasa hao wenye akili ndio wanawaongoza wengine wasiharibu.

Ila Ahsante kwa mchango wako nilikuwa silijui hili la kwamba TISS kuna watu wa namna hii na mimi ni zuzu, watu wenye akili kama nyinyi huwa mko adimu sana katika kuchanganua mambo muda wote mnawaza mabaya yawatokee wengine ila mkiguswa tu lawama kila wakati.
Achana na huyo jamaa ni " low battery"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
wewe ni mpumbavu kutoona hiyo picha ya Seychelles ni photoshop?
Passairs-.jpg
haya.. ata kando na Passaris..
sasa sema basi kama pia hii ya Rachel Shebesh, former Nbi Women Rep. ni photoshop

Mike Sonko ni dume kweli🍆🍑💥🔥
mkunjoo.! mtu wangu(waswahili wakikenya hasa wagiriama na wadigo wanasemaga "mkuntoo.!") mtindo wa sonko ni ile hali ya kucheza na high-profiles pekee!

hivi, hili leaked vid, ilizua hisia nyingi sana bungeni.. nakumbuka👇🏽🤔🤔

wakenya ni wabaya aisee.. nani kweli ali leak hawa watu wakila uroda.!!?🤔
1384314_640176826027554_577062131_n.jpg
shebesh4.jpg
shebesh2.jpg
shebesh1.jpg
Screenshot_20220815-013411_Google.jpg
 
akienda Tanzania baada ya hapo usilalamike! BTW alikuwa huko kabla ya election!
Haji Tanzania. Formula 1 inaanza 28th August. Lazima arudi Europe hizi wiki mbili zilizobaki ili kujitayarisha. Walipewa 1 month break. Ndani ya hizo wiki mbili ameenda Namibia na Kenya. Pole sana, haji Tanzania.
 
Back
Top Bottom