Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una argument za ni low IQ sana. Kwa nini tusijenge daraja la njia nane? Kwani pesa ni ya magufuli?
Nimekuuliza kuna ulazima gani daraja liwe na njia nane?maana umekua ukilazimisha Tz tukuonyeshe daraja kama lenu hujioni kama mwehu?kwahyo kama lenu lina lane8 ndio lazima lazima madaraja yajengwe hivyo?Fala
 
if their is any dangerous country for other africans to go, and especially kenyans... it would most definitely be tanzania. tanganyikans don't want anybody in their country.. they even seem to reject tourists who come for holidays, bringing in lots money..
tanzanians huaga wanatimua kila mtu wa nje kwao..
Tanzania for Tanzanians only!. hiyo nayo lazma kieleweke!☝🏽
if it's outsiders we only need this type of people

[]
 
Hii mentality ya kublame watu kutoka nje msipoiwacha basi Africa hatutaendelea. Sasa hio manufacturing itakujaje Africa ikiwa bado nchi za Africa kama Nigeria, Kenya na Tanzania bado tunaproduce umeme chini ya 5,000 MW? Usiniambie upuuzi wa JNHPP kwa maana hio ni 2,000 MW pekee. Africa tuna mchezo sana halafu tuna blame wazungu. Sasa kama Bangladesh ni manufacturing superpower wa textiles ila wanaproduce 20,000 MW licha ya wao kuwa nchi masikini (ukiangalia gdp per capita ya Bangladesh iko sawa na ya Kenya au Nigeria) sasa nini inatuzuia kuzalisha umeme kwa wingi? Nini inaifanya Nigeria pamoja na kuwa na uchumi mkubwa (gdp zaidi ya $500 billion) kuzalisha 4,000 MW ya umeme pekee? Hata Ethiopia inazalisha umeme mwingi kushinda Nigeria? Hii yote mnalaumu wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora. Sio kila kitu unablame wazungu. Zingine jiblame mwenyewe kwa kuwa lazy kimaisha na kwa kuchagua viongozi wabaya.


View attachment 2318643



View attachment 2318645

Cc tuusan
Kuhusu umeme hatungoji Bwawa la Nyerere pekee,Kuna mabwawa mengine yanajengwa,umeme wa gas unatanuliwa kwa Awamu,lakini pia kuna umeme wa upepo na geothermal, Ni suala ya muda tunafika zaidi ya 5000MW lakini jambo ni matumizi ya umeme, Hivyo viwanda cya kutumia huo umeme hatuna,domestic users pekee hawawezi maliza huo umeme
 
Hivi Tony254, kwanini unapenda Sana kutaja GDP badala ya kutaja "activities" zinazoleta maendeleo?.

Hivi Kuna faida gani ya GDP ya Kenya na Nigeria Kama hakuna "activities" zozote za maendeleo zinazoendana na hizo GDP?, Wewe mwenyewe umetaja kwamba pamoja na GDP kubwa ya zaidi ya $500B, lakini Nigeria hadi Sasa wanazalisha umeme 4000MW, Kenya hadi Leo watu wanakufa kwa njaa, upungufu wa ajira unaongezeka na idadi ya watu wanaoishi katika makazi duni inaongezeka, hiyo GDP kwako Ina maanisha nini, au ni kujipiga sindano ya ganzi ili upate kupunguza mawazo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Apo umeenda deep sana,Nimekuelewa vizuri, kumaliza changamoto kama njaa,ukosefu wa ajira na serikali kuweza kuhudumia wananchi wake vizuri ni suala mtambuka...Tuchukue mfano wa Nchi ilioweza kua na maisha bora zaidi bila ya kujali ukubwa wa GDP Yake...nadhani nchi za Scandinavia zimefaulu sana katika jambo hili
 
I applaud Tanzania for arresting this guy those west Africans sometimes they over estimate themselfs to appoint of destroying reputation of event organizing companies. So I believe you understand why Kenya had to arrest harmonize
Kaharibia watu ratiba zao hawawezi kumuacha kizembe
 
Tanzanians haitaki raia wapumbavu na washenzi kama Kunyans et al wanaofanana na Wakunya, hii nchi ni kimbilio la raia wote duniani wenye shida na mateso kwenye nchi zao kama Wakunya lkn nyie Wakunya tunawakataa cz ni washenzi, haiwezekani tuwalishe, tuwalee, tuwape remittance na bado mlete dharau, ndio maana tunawakataa.

Tena nikwambie tu Tz is not for Kunyans though raia wote duniani wanakubalika except you Kunyans, nendeni kafieni mbele mbwa nyie.
and if their's a country tht i think I may never set my foot again, it would be tanganyika. think wht would be my very last time for to set foot in tanzania was in 2015. we had a road trip to tarime from kisii staff training. othrws we had the option of going to masai mara. enway hio nayo ilikua mara ya mwisho kwangu. sidhan ntarudi tena kwenu! na hata sitamani na staki!
 
sio 1500MW kama mwenzako alivyosema?maana Tz mnaijua sana kuliko sisi
1,400-1,500 MW ni consumption yenu ya umeme. Production ni 1,700 MW. Kwa kawaida lazima production iwe juu zaidi kushinda consumption. Hapo kwa 1,700 MW sijahesabu Kinyerezi gas plant ambayo bado ipo kwenye commisioning and testing phase. Mwakani baada ya testing ya Kinyerezi kukamilika, mtakuwa mnazalisha kati ya 1,900 MW na 2,000 MW ya umeme. Ujuwe Kenya inaconsume around 2,100 MW na inaproduce around 3,000 MW. Kenya consumes more electricity than Tanzania produces.
 
Dyfre Wakikuyu wamekataa kutokea kuvote. Naskia voter turnout in Nyeri ni between 15-30%. Hio itafinya Ruto ile mbaya.
aya ya ya yaaah! na mbona sasa..🤔 basi nikama wakikuyu wako na ubinafsi flani.. yani wao wanapendana wao wenyewe.
ruto alikua na hgh hopes sana mount kenya, his only stronghold outside rift valley.. ole wangu ruto. ata baada ya hio campaign yote!, ile mamillioni ya pesa ali mwaga huko nayo!..🤔 siasa na mbaya aky.! ata ivo namtakia kila laheri
 
aya ya ya yaaah! na mbona sasa..🤔 basi nikama wakikuyu wako na ubinafsi flani.. yani wao wanapendana wao wenyewe.
ruto alikua na hgh hopes sana mount kenya, his only stronghold outside rift valley.. ole wangu ruto. ata baada ya hio campaign yote!, ile mamillioni ya pesa ali mwaga huko nayo!..🤔 siasa na mbaya aky.! ata ivo namtakia kila laheri
Siasa ni Ruthless. Kuna IEBC official wa Nyeri nimesikia akisema ati the polling station with the highest turnout ni 50%. Anyway hakuna shida juu upuuzi wa IEBC imefanya turnout ya Mombasa na Kakamega pia zipungue juu hakuna governor vote huko. Na hizo ni stronghold za Raila. Anyway wacha tutaona itakuwaje. Anything is possible, and it is too early to say anything. Right now, these are just speculations.
 
Kabisa,dar panahitajika kupangika tena,maeneo mengi ambayo hauaeleweki lakini yapo karibu na mjini yanafaa yapa gwe upya tu...whether direct ama indirect
Nina uhakika pesa ikitafutwa inapatikana, sehemu nyingine wapewe Private Sectors washirikiane na serikali, mji utapendeza sana.

Ule mpango wa mama Tibaijuka kama siyo siasa kuingilia kati dar ingekuwa moto sana sasa hivi.

Maamuzi yafanyike whether unataka ama hutaki kama unavyosema ili faida iwe kwa wengi badala ya ku-rely kwa wachache.
 
Back
Top Bottom