Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hujui gdp ni nini. Sikulaumu.
Wacha upuuzi wako, nchi ya Guinea ya Ikweta Wana "per Capita" ya $8,460, lakini maisha ya raia yanafanana na Burundi yenye "per Capita" ya $300.

Punguza ujinga wa kuleta "theories" katika maisha ya watu. Ninyi hamna kabisa "feelings" ya maisha ya watu wenu, mkisoma kwenye mitandao na maandishi kuhusu hali ya uchumi wenu, bila hata kujaribu kulinganisha na hali halisi huwa mnaimba Kama Kasuku

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni wewe kutaja GDP na kulitumia Hilo neno "recklessly". Ulipaswa kutaja madhara yatokanayo na kuvunjwa kwa viwanda
1)Kupotea kwa ajira za watu
2)Kukosekana kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa na hivyo viwanda
3)Serikali kukosa Kodi

Hizo ndizo athari za msingi zinazopatikana kutokana na kuvunjwa kwa hivyo viwanda.

Lakini kumbuka kwamba lengo la kuvunja ni ili kupisha ujenzi wa mradi mkubwa zaidi kwa ajili ya maendeleo ya nchi nzima, lengo la hiyo reli ni kutengeneza ajira nyingi zaidi nchi nzima na kukuza uchumi mkuu wa nchi (GDP).

Usiwe unakimbilia kuzungumzia GDP ambayo Haina uhusiano wa Moja kwa Moja na maisha ya watu, Hilo ndio tatizo lenu wakenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Makenya ni mapumbavu sana eti yanaamini kabisa yanaizidi Tz kisa GDP ya kwenye makaratasi, leo hii yameanza kuiogopa Ethiopia kisa yamezidiwa GDP, yananuka njaa, yananuka ma slums lkn GDP ndio chakula chao na ndiyo makazi yao majinga haya.
 
Keep dreaming. Hata 5,000 MW hamtafikisha by 2025
Huu ni wivu Sasa, wewe mwenyewe umesema Africa hatuwezi kupata maendeleo bila kuzalisha umeme wa kutosha, unaelezwa jinsi baadhi ya nchi za Afrika zilivyojipanga ili kuzalisha umeme, wewe unakasirika badala ya kupongeza angalau kwa kuwa na hiyo mipango.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Makenya ni mapumbavu sana eti yanaamini kabisa yanaizidi Tz kisa GDP ya kwenye makaratasi, leo hii yameanza kuiogopa Ethiopia kisa yamezidiwa GDP, yananuka njaa, yananuka ma slums lkn GDP ndio chakula chao na ndiyo makazi yao majinga haya.
Jambo la kusikitisha zaidi ni hata hawa "middle class educated" waliopata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi bado Elimu haiwasaidii, ndio sababu ninamkubali Sana Dr. David Ndii

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni wivu Sasa, wewe mwenyewe umesema Africa hatuwezi kupata maendeleo bila kuzalisha umeme wa kutosha, unaelezwa jinsi baadhi ya nchi za Afrika zilivyojipanga ili kuzalisha umeme, wewe unakasirika badala ya kupongeza angalau kwa kuwa na hiyo mipango.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Afrika huwa tuna mipango mengi ila huwa wabovu kwa kutimiza mipango hiyo.
 
Halafu Tony254 usiwe na akili za kitwana sisi African countries wazungu wanatuminya kwenye masuala ya energy they don't consider our needs at all kwa kisingizio cha environment mfano mzuri ni hii opposition ya EACOP ambayo ingeweza kusolve issue za energy in East Africa lakini wazungu kwa kushirikiana na vibaraka wao wanaipinga kwa maandamano kabisa lakini likija suala la bomba la mafuta toka Russia kwenda Europe wanalilia lijengwe fasta na pia Russia akikata supply ya gas au mafuta kwa bomba linalopeleka ulaya na sisi tungeweza kusupport kwa kisingizio cha kuokoa mazingira hapo ingekaa sawa?
Wazungu wao wanajiangalia wao tuu hawa wengine na hasa Africans are monkeys tuu who are supposed to stay in the forest and not in civilised societies na kwa mentality yao we do not need energy while many African people are living in darkness, hospital services are affected by lack of stable electricity, manufacturing units are suffering due to lack of electricity, education inasuasua due to unavailability of electricity. An increase in energy availability inaweza ikatoa watu wengi sana out of poverty maana itachochea alot of economic activities.

Sasa swali langu kwako Tony254, wakati sisi Tanzania na Uganda tunashughulikia kujenga EACOP ambalo itamaliza kwa kiasi kikubwa uhaba wa energy in our economies do you still share the same sentiments as your masters kwamba EACOP itachafua mazingira na hivyo huo mradi haupaswi kujengwa?
Mimi nimesema kwamba sisi Waafrika huwa tunapenda kulia lia na kublame wazungu kwa kila kitu. Sasa wazungu hawajazuia Eacop kujengwa. Kama nchi za EU zingetaka Eacop isijengwe wala hata mkataba haungetiwa saini. NGOs wanaopiga mdomo hawajazuia ujenzi kuendelea. NGOs mnastahili kuwapuuza tu na kuendelea na ujenzi. Lakini sio ukweli kwamba nchi za EU zinapinga ujenzi wa Eacop. Huo ni uongo na kama wangepinga basi ujenzi hata haungeanza. Hata hio Total ingekuwa imeshajiondoa kwenye mradi huo kama vile Total, Exxon Mobil, Eni, BP na Shell zilivyojiondoa huko Russia.
 
Unaongeleaje kuhusu mabenki yao na bima zao kujitoa kushiriki ku-finance EACOP? mbona hawajafanya hivyo kwa gesi ya Urusi hata baada ya kuhimizwa na the US?

Wacha unafiki mzee, mimi ningependa mama aone hili asiingie mkenge wa kuzalisha umeme wa gharama na kuwapa soko makampuni ya nje! Atumie mazingira yetu yenye abundant energy sources rivers, coal e.t.c!

Renewable energy ambayo bado ni ya gharama aachane nayo. Wazungu waanze huko kwao Europa ambapo mpaka sasa wana nuclear energy mbona wasivunje waka-replace na solar panels?
 
Makenya ni mapumbavu sana eti yanaamini kabisa yanaizidi Tz kisa GDP ya kwenye makaratasi, leo hii yameanza kuiogopa Ethiopia kisa yamezidiwa GDP, yananuka njaa, yananuka ma slums lkn GDP ndio chakula chao na ndiyo makazi yao majinga haya.
Tanzania Kuna makaazi? Kujidanganya sababu mnachimba mahindi mbili tatu. Inchi yenyu mbovu kubali
 
hivi, hakuna venye ruto anaweza mpiku raila, ata iwe kwa dawa... hiyo deepstate nayo!🤔
 
_20220809_022820.JPG

Mwanza central sgr station
 
Back
Top Bottom