Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliwapa hasara gani ya kiuchumi?
Tanzania uliokua inatenga 30% ya revenue collection zake on each cent we made kwenda southern Africa liberation movement isemeje? Bado vikwazo vya kiuchumi kwa mabeberu kutokana na Tanzania kwenda kinyume nao?
Sasa Tanzania imeingilia wapi kwenye huo mjadala?
 
Duh poleni sana Simon naona venue yenu inavyopokea shuruba zilizoletwa na mpumbavu mmoja wa kinajeria!

Duh poleni sana Simon naona venue yenu inavyopokea shuruba zilizoletwa na mpumbavu mmoja wa kinajeria!

Sisi hatuna shida, hakuna ukuta wala floor or roof liliobomolewa or any property iliyoharibiwa. Aliepata damage ni muandaaji, str8up vibe. Damage kwamba venue flan msanii flan hakuja bas watu hawatoenda tena, hio ni hasara kwa muaandaaji. Kiufupi venue haina shida, yoyote anakaribishwa kufanya shughuli yake
 
shida ni venye nyinyi mna ward status kwa mji wowote kimalamala, bila kuzingatia vitu, kadha wa kadha.
yaani, kitambo nakuru itunukiwe award ya city mwaka jana.. ilikua process ndefu sana.. it never came on a silver plata. ni process ilichukua miaka mingi sana.. na ujue kabla ya hio, nakuru ilikua mji mkubwa kushida mwanza.
ni arusha tu ndo mapacha na nakuru kwa ukubwa, lakini ujue ilikua kazi ya ziada kwa nakuru kupewa hio hadhi..
hapa kenya kupewa city status charter sio mchezo babake.
hivi kwa sasa tuna cities 4 tu!. ujue eldoret haijapewa hio hadhi bado. ni town, japo ina struggle kwa sasa ione angalau imepewa hio hadhi, sababu ina feel it has what it takes..
Hakuna neno "venye" kwenye Kiswahili sanifu.

Shida ni vile..........

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii mentality ya kublame watu kutoka nje msipoiwacha basi Africa hatutaendelea. Sasa hio manufacturing itakujaje Africa ikiwa bado nchi za Africa kama Nigeria, Kenya na Tanzania bado tunaproduce umeme chini ya 5,000 MW? Usiniambie upuuzi wa JNHPP kwa maana hio ni 2,000 MW pekee. Africa tuna mchezo sana halafu tuna blame wazungu. Sasa kama Bangladesh ni manufacturing superpower wa textiles ila wanaproduce 20,000 MW licha ya wao kuwa nchi masikini (ukiangalia gdp per capita ya Bangladesh iko sawa na ya Kenya au Nigeria) sasa nini inatuzuia kuzalisha umeme kwa wingi? Nini inaifanya Nigeria pamoja na kuwa na uchumi mkubwa (gdp zaidi ya $500 billion) kuzalisha 4,000 MW ya umeme pekee? Hata Ethiopia inazalisha umeme mwingi kushinda Nigeria? Hii yote mnalaumu wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora. Sio kila kitu unablame wazungu. Zingine jiblame mwenyewe kwa kuwa lazy kimaisha na kwa kuchagua viongozi wabaya.

View attachment 2318643

View attachment 2318645

Cc tuusan
Ninakubaliana na wewe katika maeneo mengi Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Gdp yenu tayari ni ndogo halafu mnaiharibu na kuibomoa? Sasa gdp yenu imepungua kwa kiasi fulani kwa sababu ya ubomozi huo wa viwanda. Kulikuwa na ulazima gani wa kubomoa hivyo viwanda?
Hivi Tony254, kwanini unapenda Sana kutaja GDP badala ya kutaja "activities" zinazoleta maendeleo?.

Hivi Kuna faida gani ya GDP ya Kenya na Nigeria Kama hakuna "activities" zozote za maendeleo zinazoendana na hizo GDP?, Wewe mwenyewe umetaja kwamba pamoja na GDP kubwa ya zaidi ya $500B, lakini Nigeria hadi Sasa wanazalisha umeme 4000MW, Kenya hadi Leo watu wanakufa kwa njaa, upungufu wa ajira unaongezeka na idadi ya watu wanaoishi katika makazi duni inaongezeka, hiyo GDP kwako Ina maanisha nini, au ni kujipiga sindano ya ganzi ili upate kupunguza mawazo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatuna shida, hakuna ukuta wala floor or roof liliobomolewa or any property iliyoharibiwa. Aliepata damage ni muandaaji, str8up vibe. Damage kwamba venue flan msanii flan hakuja bas watu hawatoenda tena, hio ni hasara kwa muaandaaji. Kiufupi venue haina shida, yoyote anakaribishwa kufanya shughuli yake
Dah straight up vibe ni mkongwe kwenye industry lakini nashangaa hapa amefeli wapi kumleta huyu buga, nasikia ndio kawaida yake, jamaa ana toxic character toward fans na hosts wake wala hii sio coincidence kwa watu wanaomfatilia, ila hapa bongo kanoa, nasikia kalala obey 😁😁😁

Ila mashabiki naona wanapasua displays na lights hata hivyo wabongo sisi wastahimilivu sana, meza ilikua $5000 mpaka $10k halafu unagoma kutokea kwa excuse tu nimesahau my golden chain 😄😄😄
 
Kondeboy alienda oysterbay na kuondoka nae usiku saa mbili
 
Huyu dada kutoka Nigeria ndio amesema vizuri. Kenya ni king wa East Africa, Nigeria ni King wa West Africa na South Africa ni king wa Southern Africa. Hakuna mtu anayeitambua Tanzania.
 
Hivi Tony254, kwanini unapenda Sana kutaja GDP badala ya kutaja "activities" zinazoleta maendeleo?.

Hivi Kuna faida gani ya GDP ya Kenya na Nigeria Kama hakuna "activities" zozote za maendeleo zinazoendana na hizo GDP?, Wewe mwenyewe umetaja kwamba pamoja na GDP kubwa ya zaidi ya $500B, lakini Nigeria hadi Sasa wanazalisha umeme 4000MW, Kenya hadi Leo watu wanakufa kwa njaa, upungufu wa ajira unaongezeka na idadi ya watu wanaoishi katika makazi duni inaongezeka, hiyo GDP kwako Ina maanisha nini, au ni kujipiga sindano ya ganzi ili upate kupunguza mawazo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hivyo viwanda hapo Dar is a slum ambavyo vilikuwa vinazalisha bidhaa vya aina mbali mbali vimebomolewa. Wewe huoni kuna tatizo hapo?
 
Hivyo viwanda hapo Dar is a slum ambavyo vilikuwa vinazalisha bidhaa vya aina mbali mbali vimebomolewa. Wewe huoni kuna tatizo hapo?
Tatizo ni wewe kutaja GDP na kulitumia Hilo neno "recklessly". Ulipaswa kutaja madhara yatokanayo na kuvunjwa kwa viwanda
1)Kupotea kwa ajira za watu
2)Kukosekana kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa na hivyo viwanda
3)Serikali kukosa Kodi

Hizo ndizo athari za msingi zinazopatikana kutokana na kuvunjwa kwa hivyo viwanda.

Lakini kumbuka kwamba lengo la kuvunja ni ili kupisha ujenzi wa mradi mkubwa zaidi kwa ajili ya maendeleo ya nchi nzima, lengo la hiyo reli ni kutengeneza ajira nyingi zaidi nchi nzima na kukuza uchumi mkuu wa nchi (GDP).

Usiwe unakimbilia kuzungumzia GDP ambayo Haina uhusiano wa Moja kwa Moja na maisha ya watu, Hilo ndio tatizo lenu wakenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyu dada kutoka Nigeria ndio amesema vizuri. Kenya ni king wa East Africa, Nigeria ni King wa West Africa na South Africa ni king wa Southern Africa. Hakuna mtu anayeitambua Tanzania.

bonge la clip mzee👏🏽..
hivi, nje ya east africa tanzania ni myth ama fictional country, kama vile Ruritania
 
COMMONWEALTH GAMES 2022 CURRENT MEDAL STANDINGS (AFRICA )

1. Nigeria 30
2. South Africa 26
3. Kenya 16
4. Uganda 5
5. Cameroon 3
6. Mauritius 4
7. Tanzania 3
8. The Gambia 1
9. Namibia 4
10. Ghana 2
11. Botswana 1
12. Mozambique 1
13. Zambia 1

Source - Birmingham 2022

Cc@The best 007

Bado kwa sports naona mko sawa
The sporting nation na mastudium zao kumbe huku inje wanashika mkia 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom