Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama mmoja mzungu nadhani kutoka World Bank alikuwa anahojiwa BBC kuhusu masuala ya energy na environment. Alitembea Africa akajionea hali halisi ya mahitaji ya energy akashangaa kuwa wao huko europe wanataka kupunguza matumizi ya fossil fuels duniani wakati Africa bado kabisa hatuna hata nishati ya kutosha. Aka suggest kuwa wachafuzi wakubwa wa mazingira ni wazungu hivyo kuna haja ya ku redefine policies kuhusu mazingira duniani to policies ambazo Africa itakuwa exempted ili waweze kutumia fossil energy katika kujitosheleza kwa nishati kabla ya Africa kuanza ku comply na environmental requirements in energy projects.
Ndio ninakueleza wazungu hawajawakataza kujenga hio EACOP yenu wala kujenga JNHPP wala kujenga kiwanda cha gesi wala kuchimba mafuta. Wacha kuwasingizia bure. Mradi ninayojua wazungu wanaipinga kwa nguvu zote ni mradi wa kuzalisha umeme kutumia coal. Huo ndio mradi ambao wazungu watashuka kwenye vichwa vyenu kwa shoka na mapanga. Ila nyie hamna mradi wa coal. Sasa unasingizia umasikini wa Tanzania wa kuzalisha 1,500 MW kwa obstacles za Wazungu wakati wazungu hawajawawekea vikwazo vyovyote. Mbona ujenzi wa JNHPP unaendelea vizuri tu? Sema sisi Waafrika tupo lazy na tunachagua viongozi wabaya na ndio maana mpaka sasa nchi zetu tunazalisha chini ya 5,000 MW. Mbona Ethiopia inajenga Gerd itakayozalisha 6,000 MW na licha ya Egypt kupinga mradi huo, wazungu hawajaingilia mradi huo na kuilazimisha Ethiopia kusitisha ujenzi? Wazungu wamewaambia wakae chini waongee.
 
Tanzanians are so cool and chilling to the extent people perceive it wrongly

Screenshot_20220809-122727.png
Screenshot_20220809-122712.png
 
Mama mmoja mzungu nadhani kutoka World Bank alikuwa anahojiwa BBC kuhusu masuala ya energy na environment. Alitembea Africa akajionea hali halisi ya mahitaji ya energy akashangaa kuwa wao huko europe wanataka kupunguza matumizi ya fossil fuels duniani wakati Africa bado kabisa hatuna hata nishati ya kutosha. Aka suggest kuwa wachafuzi wakubwa wa mazingira ni wazungu hivyo kuna haja ya ku redefine policies kuhusu mazingira duniani to policies ambazo Africa itakuwa exempted ili waweze kutumia fossil energy katika kujitosheleza kwa nishati kabla ya Africa kuanza ku comply na environmental requirements in energy projects.
walivyo wapuuzi the West wanapiga kelele dhidi ya fossil fuels wakati hizo renewable energy wanatengeneza wao na ni za bei kubwa yaani wanaweka policy za kukulazimisha kuzinunua yet wanatengeneza biashara wao! Kama wako serious wanapaswa ku-subsidize at least na ku-walk the talk wafunge fossil fuel plants zao pia! Halafu watu hawajui 50 MW ya solar inahitaji sq km ngapi za solar farm zinahitajika?
 
Cabbage moja Australia ni $20 au ksh 2,000 au Tsh 40,000.

View attachment 2318937
Huku sisi tunakula na kulishia wanyama hizo cabbage halafu anatokea mpumbavu mmoja anasema we are poor but on the contrary we are very rich ukipika cabbage, ugali, local chicken na fruits ni mlo wa gharama sana kuliko wanaokula huko kwao nchi za magharibi. Hivyo basi kwa kutumia GDP yao we are poor on paper but rich in real life.
 
Ndio ninakueleza wazungu hawajawakataza kujenga hio EACOP yenu wala kujenga JNHPP wala kujenga kiwanda cha gesi wala kuchimba mafuta. Wacha kuwasingizia bure. Mradi ninayojua wazungu wanaipinga kwa nguvu zote ni mradi wa kuzalisha umeme kutumia coal. Huo ndio mradi ambao wazungu watashuka kwenye vichwa vyenu kwa shoka na mapanga. Ila nyie hamna mradi wa coal. Sasa unasingizia umasikini wa Tanzania wa kuzalisha 1,500 MW kwa obstacles za Wazungu wakati wazungu hawajawawekea vikwazo vyovyote. Mbona ujenzi wa JNHPP unaendelea vizuri tu? Sema sisi Waafrika tupo lazy na tunachagua viongozi wabaya na ndio maana mpaka sasa nchi zetu tunazalisha chini ya 5,000 MW. Mbona Ethiopia inajenga Gerd itakayozalisha 6,000 MW na licha ya Egypt kupinga mradi huo, wazungu hawajaingilia mradi huo na kuilazimisha Ethiopia kusitisha ujenzi? Wazungu wamewaambia wakae chini waongee.
Mbona wao wanatumia coal huko ulaya na hivi Russia aliyopunguza gas wengi wamerudi kwenye coal na hakuna kelele za wana mazingira? Hao wanamazingira ukiwaweka kwenye giza kwa siku moja tuu wote wataikana imani yao kuhusu mazingira hivyo wasitupangie hatuwezi kukaa kwenye giza milele tutatumia kila means possible kuzalisha nishati kwa kutumia chanzo chochote kinachopatikana hapa nchini.
 
Wacha kudanganya watu. Waafrika hamkai kwa giza kwa sababu ya vikwazo vya wazungu bali ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kuchagua viongozi wabaya. EU haijaweka vikwazo vyovyote kwa nchi za Afrika kujenga viwanda vya umeme. Vikwazo hivyo tumejiwekea sisi wenyewe.
 
Ndio ninakueleza wazungu hawajawakataza kujenga hio EACOP yenu wala kujenga JNHPP wala kujenga kiwanda cha gesi wala kuchimba mafuta. Wacha kuwasingizia bure. Mradi ninayojua wazungu wanaipinga kwa nguvu zote ni mradi wa kuzalisha umeme kutumia coal. Huo ndio mradi ambao wazungu watashuka kwenye vichwa vyenu kwa shoka na mapanga. Ila nyie hamna mradi wa coal. Sasa unasingizia umasikini wa Tanzania wa kuzalisha 1,500 MW kwa obstacles za Wazungu wakati wazungu hawajawawekea vikwazo vyovyote. Mbona ujenzi wa JNHPP unaendelea vizuri tu? Sema sisi Waafrika tupo lazy na tunachagua viongozi wabaya na ndio maana mpaka sasa nchi zetu tunazalisha chini ya 5,000 MW. Mbona Ethiopia inajenga Gerd itakayozalisha 6,000 MW na licha ya Egypt kupinga mradi huo, wazungu hawajaingilia mradi huo na kuilazimisha Ethiopia kusitisha ujenzi? Wazungu wamewaambia wakae chini waongee.
Hiyo miradi ya Gerd na JNHPP inajengwa na hela za ndani ndio maana wazungu hawana sauti hapo. Embu fikiria ingekuwa inefadhiliwa na bank za nje na insurance za nje wana mazingira wangekuja juu na wafadhili wangekimbia maana Gerd wangesema inaathiri nile ecosystem na JNHPP inaathiti ecosystem ya protected game reserve. Japo walipiga kelele huko nyuma lakini wakashindwa sababu kuu ya kushindwa ni kuwa mwenye pesa yake hapangiwi wala hapigiwi kelele.
 
Wacha nikuambie kitu, kama wazungu wangetaka kusitisha ujenzi wa JNHPP au GERD basi hawangeshindwa kufanya hivyo. Wangewapiga sanctions na hio ingesitisha ujenzi wa JNHPP na GERD mara moja. Punguza kulialia na kulaumu watu ambao hawajui kwamba unaexist. Kampuni ya Egypt ingesitisha ujenzi wa JNHPP na kampuni ya Italy ingesitisha ujenzi wa GERD. TZ na Ethiopia hamna uwezo wa kujenga hizi dams bila kutegemea kampuni za nje.
 
Wacha kudanganya watu. Waafrika hamkai kwa giza kwa sababu ya vikwazo vya wazungu bali ni kwa sababu ya ujinga wenu wa kuchagua viongozi wabaya. EU haijaweka vikwazo vyovyote kwa nchi za Afrika kujenga viwanda vya umeme. Vikwazo hivyo tumejiwekea sisi wenyewe.
Kwani wewe umesema nini hapo chini kuhusu coal power kwamba mkianza tuu kutumia coal wazungu watakuja juu ya vochwa vyenu na mapanga na mashoka hiyo inamaanisha nini sasa?
Screenshot_20220809-130421.jpg
 
Kwani wewe umesema nini hapo chini kuhusu coal power kwamba mkianza tuu kutumia coal wazungu watakuja juu ya vochwa vyenu na mapanga na mashoka hiyo inamaanisha nini sasa?View attachment 2318994
Nimesema kwamba kwenye mradi wa coal pekee ndio mtaona makucha ya wazungu ila nyinyi hamna mradi wa kuzalisha umeme kutumia coal kwa hivyo muwache kulialia kama watoto wadogo. Wazungu hawana tatizo na Eacop wala Jnhpp. Puuzeni hizo NGOs zao ambazo haziwezi kuwazuia kuendelea na ujenzi. Hivi unadhani kama wazungu kweli wangetaka kusitisha ujenzi wa Eacop au JNHPP wangeshindwa? Ujenzi wa Jnhpp mnategemea kampuni ya Egypt, ujenzi wa Eacop pia mnategemea kampuni za nje. Hamna uwezo wala ujuzi wa ndani wa kutekeleza miradi hio bila kutegemea kampuni za nje.
 
huyu mnigeria akilimbikiza sifa tupu😍 kwa kenya..

hey Tony254, nikama kumekua na influx ya wanigeria wengi sana humu nchini... hasa maeneo ya roysambu, zimmerman, mirema, githu44 etc.
sasa sio tu waganda, warwandee, waethiopia(githu45), wasouthsudanese(gitu44), wacongolee(greenfields&donholm).. hivi, miaka za usoni nikama hawa watu watakuja kuuteka nchi yetu, hadi pale sisi tuta miss out on opportunities..🤔
whts your take Tony about these 'makwerekweres'

my take:
these pple search for greener pastures in a country they perceived to be doing better than their countries, nobody wanna set foot on a failed state.. but sophisticated countries only.. 🤔
 
Huku sisi tunakula na kulishia wanyama hizo cabbage halafu anatokea mpumbavu mmoja anasema we are poor but on the contrary we are very rich ukipika cabbage, ugali, local chicken na fruits ni mlo wa gharama sana kuliko wanaokula huko kwao nchi za magharibi. Hivyo basi kwa kutumia GDP yao we are poor on paper but rich in real life.

Kondoo wa kibera hawawezi kukuelewa.
 
Back
Top Bottom