Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

👇👇👇👇👇 mwanza baby


4413CB55-9B31-4D7C-B194-397DBEDDE1B3.jpeg
CFC8301A-B7E5-414C-BF24-28D44FF05E09.jpeg
BC3BE86E-7C7E-4A2E-AC46-C5DD0CAB4DC7.jpeg
223D723D-FF65-4510-BE19-F61D5B79CE88.jpeg
AB0A0772-B2F4-4186-BD77-D099C1D68B34.jpeg
9BCBDD05-C813-4D8F-A6D4-D48999414D51.jpeg
A002FE3F-0627-40CB-84B6-F5B40A24D971.jpeg
C6D4B1E0-23C0-4164-BD99-0BA9B5E6DA0D.jpeg
AF670743-60BA-4474-BB10-75B3F15CAC89.jpeg
5C278402-D7A5-4BD1-AA1F-7759D0A16D02.jpeg
B59F7BC7-1D72-4E94-AA27-59AFCD561928.jpeg
C05044C1-EC13-4660-A664-F2D33EBA9564.jpeg
10F98D7F-0C28-40C2-A982-2B04815344A3.jpeg
85ABE8AA-DED7-4F66-A5BC-1ECE41C75166.jpeg
32F1B9BF-9524-4D36-9ABF-0D2695003F0D.jpeg
9E51D96F-FB51-481A-A138-A60B1AA6714F.jpeg
6CB2A5FD-547C-44A7-8B96-62EB41235D8D.jpeg
8ECB505A-EB54-4A0C-8C06-2433550717CE.jpeg
650D52D5-A203-4706-A09A-EFBBABBD9EE3.jpeg
A669FE6C-934A-486A-9937-42E2EEC0BEDB.jpeg
 
9 July 2022
Unguja, Zanzibar
Tanzania

Travel | Discovering Zanzibar Tanzania | Liv Kenya ( Episode 3)




Source : LIV Kenya

these ladies were suprized to learn that the famous 'kukumanga' in kenya that affect ladies badly but has no effect to men, can only trace its roots to zanzibar, and nowhere else ...... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣


ata wao wenyewe waliadmit kua kukumanga, huwa ina affect sana ladies lakini wanaume, hapana.. 😆
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Easy lad...

Punguza serengeti.. Maana huwa una amka nazo na kushindia na kulala.. Hasa hasa satoo na Sunday kama hivi.
Im sure si makosa kama nakunywa kwa bill yangu ama its on your bill?[emoji1787]
 
Kwanza asante kwa kukubali kwamba kiswahili kilianzia kenya, ikija kwa ku- spread kiswahili siwezi pinga mchango wenu. Mimi personally huwezi nipata nikidharau mtu kisa hajui kuongea kizungu, hio ni slave mentality, nikiona mkenya mwenye hio tabia hua nasikitika sana.
Wapi nimekubali kiswahili kimeanzia Kenya?
 
Mkuu ichoboy01: Me ninaomba kuuliza swali la msingi.Kwa kuwa umepiga picha tena nyingi je siyo za upande upande na kuleta mduwao kwa majirani?

Swali la nyongeza; kwa kuwa picha siyo za upande upande kila picha inajitegemea je huoni utamsababishia heart attack bwana DON YF hapo alipo Mombasa na kumfanya afunge Jf account na kukosa michango yake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom