Hapana na vingi vingine dongo kundu pia inakaribia kuisha.... Na hapo ni Mombasa tu Nairobi pia Ina zake heheYaani hako kadaraja ndio unajiona umefika mbinguni? Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au.
I applaud Tanzania for arresting this guy those west Africans sometimes they over estimate themselfs to appoint of destroying reputation of event organizing companies. So I believe you understand why Kenya had to arrest harmonize
Dyfre kwani umebadilisha jina?bonge la clip mzee👏🏽..
hivi, nje ya east africa tanzania ni myth ama fictional country, kama vile Ruritania
Unaleta picha za Mbeya ya zamani sio?just one example:
Thika vs Mbeya!
Thika Town👇🏽
View attachment 2318587View attachment 2318588View attachment 2318589View attachment 2318590View attachment 2318591
vs
Mbeya City!View attachment 2318583View attachment 2318582View attachment 2318584
Wewe hujui gdp ni nini. Sikulaumu.Tatizo ni wewe kutaja GDP na kulitumia Hilo neno "recklessly". Ulipaswa kutaja madhara yatokanayo na kuvunjwa kwa viwanda
1)Kupotea kwa ajira za watu
2)Kukosekana kwa bidhaa na huduma zinazozalishwa na hivyo viwanda
3)Serikali kukosa Kodi
Hizo ndizo athari za msingi zinazopatikana kutokana na kuvunjwa kwa hivyo viwanda.
Lakini kumbuka kwamba lengo la kuvunja ni ili kupisha ujenzi wa mradi mkubwa zaidi kwa ajili ya maendeleo ya nchi nzima, lengo la hiyo reli ni kutengeneza ajira nyingi zaidi nchi nzima na kukuza uchumi mkuu wa nchi (GDP).
Usiwe unakimbilia kuzungumzia GDP ambayo Haina uhusiano wa Moja kwa Moja na maisha ya watu, Hilo ndio tatizo lenu wakenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We karani kaandikishe kura huko acha maneno mengi hapa. Kwanza kwa vagi la jana umepona kweli?Wewe ni jinga na umesomea nje ya nchi?uache kudanganya watu. Niko 100% sure dar haina flyover zaidi ya kumi. Kama unabisha leta evidence
Acha upumbavu Meru, Nyeri na Embu kuna skyline gani peleka ujinga huko.and not even nairobi alone.. skyscrapercity reveals that all our 5major cities, nairobi, mombasa, nakuru, kisumu, eldoret outshine tanganyikan cities by far!! in all circles that is..
outside dar, only arusha alone looks atleast.. but the rest!
dodoma, their capital city has no skyline whatsoever, from whatever best angle you may try to capture it.. even other major towns like tanga, iringa, mbeya, morogoro has 0.0 skyline. as in, they are flat _______!
infact our smaller towns like thika, kisii, kericho, machakos, nyeri, meru, embu, bungoma even have better skylines
nairobi is a renown global smart city, eating in the same pot with johannesburg, capetown, durban, cairo, and lagos
dar es saalam, without any regional multinational Headquater branch apart from dangote cement is only famous in this east and central africa region..
View attachment 2318542View attachment 2318543View attachment 2318544View attachment 2318545View attachment 2318546
Hawa nyangau hawana projects nyingi wakipata kiproject kamoja hupiga nduru mwaka mzina kama ile expressway walivyofanya nduru yake ipo mpaka leoHako kadaraja hakajaniuma hata kidogo. Nashangaa kuona wewe nyang'au unaona kama vile kamekufikisha mbinguni; ha ha ha. Kesho amka mapema ukapige kura.
Kaandikishe kura huko na ole wako ujiingize kwenye kuiba kura kitawaka kama jana.Na kama daraja LA 8 lanes halijakuuma mbona unaongea kama mwanamke mja mzito? Nyamazisha haga
nimeona heri jina iwe coded kiasiDyfre kwani umebadilisha jina?
At least sisi Tanzania tumejiwekea malengo by 2030 tuwe na 10,000MW. Sasa hivi we are on course for 7,000MW by 2025.Hii mentality ya kublame watu kutoka nje msipoiwacha basi Africa hatutaendelea. Sasa hio manufacturing itakujaje Africa ikiwa bado nchi za Africa kama Nigeria, Kenya na Tanzania bado tunaproduce umeme chini ya 5,000 MW? Usiniambie upuuzi wa JNHPP kwa maana hio ni 2,000 MW pekee. Africa tuna mchezo sana halafu tuna blame wazungu. Sasa kama Bangladesh ni manufacturing superpower wa textiles ila wanaproduce 20,000 MW licha ya wao kuwa nchi masikini (ukiangalia gdp per capita ya Bangladesh iko sawa na ya Kenya au Nigeria) sasa nini inatuzuia kuzalisha umeme kwa wingi? Nini inaifanya Nigeria pamoja na kuwa na uchumi mkubwa (gdp zaidi ya $500 billion) kuzalisha 4,000 MW ya umeme pekee? Hata Ethiopia inazalisha umeme mwingi kushinda Nigeria? Hii yote mnalaumu wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora. Sio kila kitu unablame wazungu. Zingine jiblame mwenyewe kwa kuwa lazy kimaisha na kwa kuchagua viongozi wabaya.
View attachment 2318643
View attachment 2318645
Cc tuusan
hebu ona, infact nyeri outperform most tanzanian citiesAcha upumbavu Meru, Nyeri na Embu kuna skyline gani peleka ujinga huko.
Keep dreaming. Hata 5,000 MW hamtafikisha by 2025At least sisi Tanzania tumejiwekea malengo by 2030 tuwe na 10,000MW. Sasa hivi we are on course for 7,000MW by 2025.
total tanzania output as at 9th august 2022 is only 1500Mw!.. and uganda 1000Mw. that one, we can bet 🤞🏽🤞🏽Keep dreaming. Hata 5,000 MW hamtafikisha by 2025
Halafu Tony254 usiwe na akili za kitwana sisi African countries wazungu wanatuminya kwenye masuala ya energy they don't consider our needs at all kwa kisingizio cha environment mfano mzuri ni hii opposition ya EACOP ambayo ingeweza kusolve issue za energy in East Africa lakini wazungu kwa kushirikiana na vibaraka wao wanaipinga kwa maandamano kabisa lakini likija suala la bomba la mafuta toka Russia kwenda Europe wanalilia lijengwe fasta na pia Russia akikata supply ya gas au mafuta kwa bomba linalopeleka ulaya na sisi tungeweza kusupport kwa kisingizio cha kuokoa mazingira hapo ingekaa sawa?Hii mentality ya kublame watu kutoka nje msipoiwacha basi Africa hatutaendelea. Sasa hio manufacturing itakujaje Africa ikiwa bado nchi za Africa kama Nigeria, Kenya na Tanzania bado tunaproduce umeme chini ya 5,000 MW? Usiniambie upuuzi wa JNHPP kwa maana hio ni 2,000 MW pekee. Africa tuna mchezo sana halafu tuna blame wazungu. Sasa kama Bangladesh ni manufacturing superpower wa textiles ila wanaproduce 20,000 MW licha ya wao kuwa nchi masikini (ukiangalia gdp per capita ya Bangladesh iko sawa na ya Kenya au Nigeria) sasa nini inatuzuia kuzalisha umeme kwa wingi? Nini inaifanya Nigeria pamoja na kuwa na uchumi mkubwa (gdp zaidi ya $500 billion) kuzalisha 4,000 MW ya umeme pekee? Hata Ethiopia inazalisha umeme mwingi kushinda Nigeria? Hii yote mnalaumu wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora. Sio kila kitu unablame wazungu. Zingine jiblame mwenyewe kwa kuwa lazy kimaisha na kwa kuchagua viongozi wabaya.
View attachment 2318643
View attachment 2318645
Cc tuusan