Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I think this thread is useless. Nairobi is far ahead of Dar, every non-partisan traveler who visits the two cities observes that. There's no competition.
and not even nairobi alone.. skyscrapercity reveals that all our 5major cities, nairobi, mombasa, nakuru, kisumu, eldoret outshine tanganyikan cities by far!! in all circles that is..

outside dar, only arusha alone looks atleast.. but the rest!🤮

dodoma, their capital city has no skyline whatsoever, from whatever best angle you may try to capture it.. even other major towns like tanga, iringa, mbeya, morogoro has 0.0 skyline. as in, they are flat _______!
infact our smaller towns like thika, kisii, kericho, machakos, nyeri, meru, embu, bungoma even have better skylines

nairobi is a renown global smart city, eating in the same pot with johannesburg, capetown, durban, cairo, and lagos

dar es saalam, without any regional multinational Headquater branch apart from dangote cement is only famous in this east and central africa region..🤔

Screenshot_20220724-200451_Chrome.jpg
Screenshot_20220724-195938_Chrome.jpg
Screenshot_20220724-200042_Chrome.jpg
Screenshot_20220724-200120_Chrome.jpg
Screenshot_20220724-200228_Chrome.jpg
 
kwa hiyo JPM alikuwa juha mpaka kudiriki kuhatarisha mradi wa EACOP kisa mafuta ya Russia? My friend Museveni is way smarter than u think!
Huwezi hatarisha maslahi mapana ya Nchi Kwa kuwa na uhusiano na West Ili kumfurahisha Putin na eti Ili ionekane Kidume at the expense of National interest.

Mwenye akili ya ki fool tuu ndio anaweza kufanya hivyo.
 
Hivi katika Hali ya kawaida TU unaweza kumgang'ang'ania Mrusi ambaye Biashara yake na Uganda ni hafifu ukamuacha US anayekupa zaidi.Mfano 2020 Uganda aliexport Russia bidhaa za US 9.65 mil akaimport from Russia 73.1mil. wakati kwa 2019 aliexport US bidha zenye thamani ya US104mil.na akaimport from US bidhaa za US89mil.Ukiangalia hapo US anafaida Kwa Uganda kuliko Russia.Tukumbuke pia Africa bado ni dependent kwenye budget yake na most donors ni western.Kwangu Mimi M7 kacheza kama Pele kujiepusha na matatizo ya baadae.
Ni fool tuu ndio anaweza fanya huo upuuzi Ili eti aonekane Shujaa kwa wajinga..

Hao Russia na China hawajawahi msaidia Mugabe wakati Nchi yake inasagwa.
 
One of the most significant policies of the western imperialists is to do whatever it takes kuhakikisha Africa plays its designated ROLE: source of raw materials.

Hata tuwe na highest levels of stability and predictability kwenye siasa na policies za uwekezaji, hiyo role ni ngumu sana kuescape.

Africa ya viwanda haitaweza uza raw resources na uzalishaji wa viwanda vyao utashuka, watu watapoteza ajira na hali ya maisha kuwa mbaya kwa kila mtu kama ilivyo Africa ya sasa.

NB: Ukweli ni kwamba, Africa ya viwanda ni tishio kwa uchumi wao na maisha yao.

Hivyo ni lazima kuhakikisha chumi wa viwanda haufanikiwi kwa kifanya figisu kama:

1. kutofanya uwekezaji wowote wa maana wa viwanda
2. Kusupport viongozi wala rushwa
3. Kuwapinga na kuwapindua viongozi wazalendo wa Africa through covert operations (kama vyama vya upinzani)
Ni sauala la mda tuu,hiyo policy ingewezekana kama kusingekuwepo na rise of Asia..

Kwa kuwa Asia ime rise ,hiyo sera imebadilika na kama unavyojia Asia nayo ilikuwa kama Afrika ila walipopata elimu kukawa na cheap labor hivyo uchumi ukahamia huko na ndicho kitafanyika Afrika..

Hadi sasa wanasem Africa ndio only hope ya kupata nguvu Kazi Kwa sababu kwingine kote Population inashuka na akina mama wa Afrika ndio wanazaa yaani so huku kitakuwa na cheap labor itakayohamishia uchumi Afrika.
 
Haka kadaraja kamewauma kweli. Wewe ndio nyangau mkubwa na hypocrite mkubwa zaidi. Ukileta daraja la ziwa Danganyika la 8 lanes nahama jf 😂😂
Mombasa > Dar
Hako kadaraja hakajaniuma hata kidogo. Nashangaa kuona wewe nyang'au unaona kama vile kamekufikisha mbinguni; ha ha ha. Kesho amka mapema ukapige kura.
 
Hako kadaraja hakajaniuma hata kidogo. Nashangaa kuona wewe nyang'au unaona kama vile kamekufikisha mbinguni; ha ha ha. Kesho amka mapema ukapige kura.
Na kama daraja LA 8 lanes halijakuuma mbona unaongea kama mwanamke mja mzito? Nyamazisha haga
 
and not even nairobi alone.. skyscrapercity reveals that all our 5major cities, nairobi, mombasa, nakuru, kisumu, eldoret outshine tanganyikan cities by far!! in all circles realy..

outside dar, only arusha alone looks atleast.. but the rest!🤮

dodoma, their capital city has no skyline whatsoever, from whatever best angle you try to capture it.. even other major towns like tanga, iringa, mbeya, morogoro has 0.0 skyline. as in, they are flat _______!
infact our smaller towns like thika, kisii, kericho, machakos, nyeri, meru, embu, bungoma even have better skylines

nairobi is a renown global smart city, eating in the same pot with johannesburg, capetown, durban, cairo, and lagos

dar es saalam, without any regional multinational office branch apart from dangote cement is only famous in this east and central africa region..🤔

View attachment 2318542View attachment 2318543View attachment 2318544View attachment 2318545View attachment 2318546
just one example:

Thika vs Mbeya!

Thika Town👇🏽
Thika3.jpg
Screenshot_20220124-234508_YouTube.jpg
Thika7.jpg
Screenshot_20220204-004256_YouTube.jpg
Screenshot_20220204-004324_YouTube.jpg






vs





Mbeya City!
Mbalizi_Mbeya_Tanzania_-0006 (1).jpg
Screenshot_20220809-001639_Facebook.jpg
city-of-mbeya-tanzania-africa-W1YC4H.jpg
 
if only tanganyikans were brilliant enough... they could be able to note that nakuru is slightly larger than mwanza, and kisumu and eldoret are the same size as mwanza..

but the problem, this guyz are fools, we are used to them denying things that are even more than obvious..
the likes of The best 007 for instance and many many others..

they'll still insist that mwanza is the larger city of them all.! 🤔

View attachment 2317570
We jamaa ni mlevi tu 🤣, Mwanza ni kubwa kukaribiana na DAR, Siku utafika bongo ndio siku utagundua kuwa wewe ni mbwa na utatuomba radhi kwa huu upuuzi unaoandika hapa
 
Iringa sio City hapa bongo bablai 🤣🤣🤣 bongo kuna cities 7 tu ..
Dar
Mwanza
Arusha
Dodoma
Tanga
Unguja
Mbeya

Towns👇

Moshi
Iringa
............
shida ni venye nyinyi mna award status kwa mji wowote kimalamala, bila kuzingatia vitu, kadha wa kadha.
yaani, kitambo nakuru itunukiwe award ya city mwaka jana.. ilipitia process ndefu sana.. it never came on a silver plata. ni process ilichukua miaka na mikaka.. na ujue kabla ya hio, nakuru ilikua mji mkubwa ata kushida mwanza.
ni arusha tu pekee nchini bongo ndo mapacha na nakuru kwa ukubwa, lakini ujue ilikua kazi ya ziada kwa nakuru kupewa hio hadhi..
hapa kenya kupewa city status charter sio mchezo babake.
hivi kwa sasa tuna cities 4 tu!. ujue eldoret haijapewa hio hadhi bado. ni town, japo ina struggle kwa sasa ione angalau imepewa hio hadhi, sababu ina feel it has what it takes..
 
watoto wa kikenyakenya hivi wa kisomalisomali hivi.. bongo hakuna perfections ka hizi. ata wema sepetu bado sana. ata nnandi, ata zuchu bado aisee..
Screenshot_20220809-064734_Chrome.jpg
 
Itafika mahali labour markets za Asia and especially China and India zitakuwa staturated hivyo kupelekea Africa kuwa na cheap labour than anywhere else in the world hapo ndio transition ya African economics itatokea maana manufacturing units will be relocated to Africa na production ita pick up but most assuredly we will be the last to develop after Asia and South America labour markets have been exhausted. Ngozi nyeusi tunachukiwa sana dunia hii kama vile hatuna haki ya kuishi kama wengine lakini hii yote inatokana na kutokuwa na umoja amongst ourselves. The whole of Africa should be a free trade zone and do away with colonial imposed boundaries.
Hii mentality ya kublame watu kutoka nje msipoiwacha basi Africa hatutaendelea. Sasa hio manufacturing itakujaje Africa ikiwa bado nchi za Africa kama Nigeria, Kenya na Tanzania bado tunaproduce umeme chini ya 5,000 MW? Usiniambie upuuzi wa JNHPP kwa maana hio ni 2,000 MW pekee. Africa tuna mchezo sana halafu tuna blame wazungu. Sasa kama Bangladesh ni manufacturing superpower wa textiles ila wanaproduce 20,000 MW licha ya wao kuwa nchi masikini (ukiangalia gdp per capita ya Bangladesh iko sawa na ya Kenya au Nigeria) sasa nini inatuzuia kuzalisha umeme kwa wingi? Nini inaifanya Nigeria pamoja na kuwa na uchumi mkubwa (gdp zaidi ya $500 billion) kuzalisha 4,000 MW ya umeme pekee? Hata Ethiopia inazalisha umeme mwingi kushinda Nigeria? Hii yote mnalaumu wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora. Sio kila kitu unablame wazungu. Zingine jiblame mwenyewe kwa kuwa lazy kimaisha na kwa kuchagua viongozi wabaya.


Screenshot_2022-08-09-04-20-27.png




Screenshot_2022-08-09-04-35-04.png


Cc tuusan
 
Nyie mlipewa elimu mbovu kwaajili ya kutumikia investments za wazungu waliowekeza Kenya (yaani elimu ya kuwa cheap labors) hivyo uwezo wenu wakufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana.

Kifupi ni kuwa, you have all been destabilized mentally na only the smartest among you wanalijua hili na walianza kushughulika nalo taratibu.



One of our biggest achievements after independence is breaking the chains of mental slavery.
Bado unalia lia na kublame wazungu kwa sababu ya kuchagua CCM kila kukicha? Ukiacha Magufuli, viongozi wengine wote wa CCM walikuwa useless. Hapa Kenya pia tumekuwa na viongozi useless wengi walioturudisha nyuma. Magufuli pekee ndio angalau alijaribu kuisongeza Tanzania mbele kwa kasi ya 5G. Uhuru naye kaisongeza Kenya mbele kwa kasi ya 5G. Chagueni viongozi bora, wacheni kublame wazungu kila wakati. Wazungu tulishawafukuza maika 60 zilizopita. Halafu wananchi wa nchi za Kiafrika pia tufanye kazi kwa bidii, tuwache kuwa lazy. Asians kwa mfano Japanese, South Koreans na Chinese wanafanya kazi 12 hours kila siku including Saturday and Sunday halafu unategemea Africa tutashindana nao? Wanafunzi wa shule za South Korea wanasoma 12 hours per day halafu unategemea tutashindana nao? Wachina hawana weekend, wao wanafanya kazi Saturday na Sunday halafu unategemea tutashindana nao? Waafrika tunapenda kublame Wazungu badala ya sisi kuwacha kuwa lazy na kufanya kazi kwa bidii na kuchagua viongozi bora.
 
Back
Top Bottom