KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Still highfedha yenyu imeshuka sawa Tshs 38,000! 1 kshs=19 Tshs

Still highfedha yenyu imeshuka sawa Tshs 38,000! 1 kshs=19 Tshs

Sisi ndiyo ma king wa sports hapa EA.
Kenya ndiyo nchi chafu zaidi duniani na Wakenya ndio binadamu wachafu zaidi chini ya juaHivi pipeline humu mlisema ishakarabatiwa sasa mbona leo nation wanaonyesha hali bado ni tête . Hivi kwa nini mnapenda kutupa uchafu hovyo wakunya?View attachment 2286666


infact i believe its pure speculation, with the advent of social media platforms, pple create stories just for the sake of getting shares or likes..Siasa ni Ruthless. Kuna IEBC official wa Nyeri nimesikia akisema ati the polling station with the highest turnout ni 50%. Anyway hakuna shida juu upuuzi wa IEBC imefanya turnout ya Mombasa na Kakamega pia zipungue juu hakuna governor vote huko. Na hizo ni stronghold za Raila. Anyway wacha tutaona itakuwaje. Anything is possible, and it is too early to say anything. Right now, these are just speculations.

Sports inachezwa kwenye uwanja, sio kwenye viti vya conference hall.Sisi ndiyo ma king wa sports hapa EA.
90%correct,lakini mbio zetu bwawa kubwa litakamilika 2024 hapo ndipo gape kati yetu na nyie litaanza, hamtawahi tupita tena....1,400-1,500 MW ni consumption yenu ya umeme. Production ni 1,700 MW. Kwa kawaida lazima production iwe juu zaidi kushinda consumption. Hapo kwa 1,700 MW sijahesabu Kinyerezi gas plant ambayo bado ipo kwenye commisioning and testing phase. Mwakani baada ya testing ya Kinyerezi kukamilika, mtakuwa mnazalisha kati ya 1,900 MW na 2,000 MW ya umeme. Ujuwe Kenya inaconsume around 2,100 MW na inaproduce around 3,000 MW. Kenya consumes more electricity than Tanzania produces.
KabisaNina uhakika pesa ikitafutwa inapatikana, sehemu nyingine wapewe Private Sectors washirikiane na serikali, mji utapendeza sana.
Ule mpango wa mama Tibaijuka kama siyo siasa kuingilia kati dar ingekuwa moto sana sasa hivi.
Maamuzi yafanyike whether unataka ama hutaki kama unavyosema ili faida iwe kwa wengi badala ya ku-rely kwa wachache.
tuusan, mambo na miji nilikwambiaga mwaka jana, wachia kenya, hivi tanganyika haiwezi ikatoana ubavu na kenya kwenye hili swala..So to you Apo kumeiva sana?![]()
Unaongea kama vle ni mwekezajiand if their's a country tht i think I may never set my foot again, it would be tanganyika. think wht would be my very last time for to set foot in tanzania was in 2015. we had a road trip to tarime from kisii staff training. othrws we had the option of going to masai mara. enway hio nayo ilikua mara ya mwisho kwangu. sidhan ntarudi tena kwenu! na hata sitamani na staki!

Next year tutakuwa na 4000MW kama Nigeria sijui nyie mtakuwa hamjafika hata 2500MWhakuna venye tanzania inaweza ipiku kenya kwa vitu kaa hizi. hakuna na hakuna! hio nayo lazma kieleweke!![]()
Hawawezi kujazana TZ huku mambo yamenyoka tumewapiga pin kila idara ila huko kwenu watajazana maana wanashirikiana na crooks wa KenyaNigerians go to any country they perceive to have opportunities. They are not in Tanzania in huge numbers because they don't think that there are many opportunities there. Personally, I don't have any problem with them living in Kenya as long as they do legal activities. I am not worried about them outcompeting us on anything. We are extreme survivors and nobody can outcompete us in our own country. However, for the Nigerians doing dirty businesses, those ones should be arrested and deported ASAP.
Hizi nchi za Scandinavia walikuwa na mfumo wa uchumi wa kijamaa hivi hivyo kupelekea serikali zao kuwa society oriented economies ambazo primary focus yake ni kuinua hali za maisha za watu wake unlike nchi za kibepari focus yake ilikuwa ni kupata faida ndio maana unaona hizo nchi hali za maisha ziko juu kuliko wale wenye GDP kubwa.Apo umeenda deep sana,Nimekuelewa vizuri, kumaliza changamoto kama njaa,ukosefu wa ajira na serikali kuweza kuhudumia wananchi wake vizuri ni suala mtambuka...Tuchukue mfano wa Nchi ilioweza kua na maisha bora zaidi bila ya kujali ukubwa wa GDP Yake...nadhani nchi za Scandinavia zimefaulu sana katika jambo hili
aa wapi.!Next year tutakuwa na 4000MW kama Nigeria sijui nyie mtakuwa hamjafika hata 2500MW
Saw on Tv this evening wanasema by noon only 6.5 millon people had voted. Hii inaelekea mpaka mwisho wa voting total votes inaweza kuwa 13 million ambayo ni very low kwa population kama ya Kenya.Dyfre Wakikuyu wamekataa kutokea kuvote. Naskia voter turnout in Nyeri ni between 15-30%. Hio itafinya Ruto ile mbaya.
Utakuja tuu wenzako wanaleta remittances kubwa sana nyumbani wewe kaa na hiko ki salary chako halafu mwisho wa siku utajua hujui.and if their's a country tht i think I may never set my foot again, it would be tanganyika. think wht would be my very last time for to set foot in tanzania was in 2015. we had a road trip to tarime from kisii staff training. othrws we had the option of going to masai mara. enway hio nayo ilikua mara ya mwisho kwangu. sidhan ntarudi tena kwenu! na hata sitamani na staki!
Usual gikuyu brags.1,400-1,500 MW ni consumption yenu ya umeme. Production ni 1,700 MW. Kwa kawaida lazima production iwe juu zaidi kushinda consumption. Hapo kwa 1,700 MW sijahesabu Kinyerezi gas plant ambayo bado ipo kwenye commisioning and testing phase. Mwakani baada ya testing ya Kinyerezi kukamilika, mtakuwa mnazalisha kati ya 1,900 MW na 2,000 MW ya umeme. Ujuwe Kenya inaconsume around 2,100 MW na inaproduce around 3,000 MW. Kenya consumes more electricity than Tanzania produces.