Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gdp yenu tayari ni ndogo halafu mnaiharibu na kuibomoa? Sasa gdp yenu imepungua kwa kiasi fulani kwa sababu ya ubomozi huo wa viwanda. Kulikuwa na ulazima gani wa kubomoa hivyo viwanda?
Viwanda vinachangia kwenye GDP and so does transport infrastructure so haiathiri chochote hapo viwanda vinakuwa relocated bali reli na miundo mbinu haiwezi kuwa relocated kwa eneo hilo.
 
Huyu dada kutoka Nigeria ndio amesema vizuri. Kenya ni king wa East Africa, Nigeria ni King wa West Africa na South Africa ni king wa Southern Africa. Hakuna mtu anayeitambua Tanzania.
Video za kuokoteza hazitusumbui ni kama kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. GDP inaonekana haisimuliwi.
 
Installed capacity as of now 2200MW + JNHPP 2115MW + Geothermal 2000MW preparatory phase, Kinyerezi III 450MW, Kinyerezi IV 650MW, Rusumo 60M, Kiwira Coal 300MW,
Installed capacity ya Tanzania sio 2,200 MW. Installed capacity ya Tanzania ni around 1,700 MW.
 
Huu ni wivu Sasa, wewe mwenyewe umesema Africa hatuwezi kupata maendeleo bila kuzalisha umeme wa kutosha, unaelezwa jinsi baadhi ya nchi za Afrika zilivyojipanga ili kuzalisha umeme, wewe unakasirika badala ya kupongeza angalau kwa kuwa na hiyo mipango.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo ni kibaraka wa wazungu kama wakunya wenzake tuu. Maendeleo akiwa nayo mzungu wanaona sawa ila shida inaanza mwafrica mwenzao akipata maendeleo wivu kama wote na watafanya jitihada kama zote kuharibu hayo maendeleo tumeona kwenye EACOP, Ngorongoro, na redtape kwenye bidhaa za viwandani zitokazo Tz.
 
Aki walahi Watanzania wameongea kwa uchungu kwenye uzi huu. Wanasema kwamba hakuna demokrasia Tanzania. Kwamba tume ya uchaguzi imenunuliwa na CCM.
 
Mimi nimesema kwamba sisi Waafrika huwa tunapenda kulia lia na kublame wazungu kwa kila kitu. Sasa wazungu hawajazuia Eacop kujengwa. Kama nchi za EU zingetaka Eacop isijengwe wala hata mkataba haungetiwa saini. NGOs wanaopiga mdomo hawajazuia ujenzi kuendelea. NGOs mnastahili kuwapuuza tu na kuendelea na ujenzi. Lakini sio ukweli kwamba nchi za EU zinapinga ujenzi wa Eacop. Huo ni uongo na kama wangepinga basi ujenzi hata haungeanza. Hata hio Total ingekuwa imeshajiondoa kwenye mradi huo kama vile Total, Exxon Mobil, Eni, BP na Shell zilivyojiondoa huko Russia.
Mama mmoja mzungu nadhani kutoka World Bank alikuwa anahojiwa BBC kuhusu masuala ya energy na environment. Alitembea Africa akajionea hali halisi ya mahitaji ya energy akashangaa kuwa wao huko europe wanataka kupunguza matumizi ya fossil fuels duniani wakati Africa bado kabisa hatuna hata nishati ya kutosha. Aka suggest kuwa wachafuzi wakubwa wa mazingira ni wazungu hivyo kuna haja ya ku redefine policies kuhusu mazingira duniani to policies ambazo Africa itakuwa exempted ili waweze kutumia fossil energy katika kujitosheleza kwa nishati kabla ya Africa kuanza ku comply na environmental requirements in energy projects.
 
Back
Top Bottom