dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
uskonde..... utazoea tu😆😆😆😆.. karibu kenyapeleka upumbavu hicho ni kiswahili au Kimumbi?
uskonde..... utazoea tu😆😆😆😆.. karibu kenyapeleka upumbavu hicho ni kiswahili au Kimumbi?
Aisee haya majengo mengine ni mapya kabisa usoni kwangu![]()
Uzi una apartment kama za Naipori

British bangers, mushrooms, hash browns and baked beansChuki ni mdudu mbaya sana. Mwanaume mzima unakosoa chakula ninachokula?
Waffles na maple syrup pembeni ni breakfast ya kawaida sana Marekani.
Wewe umekula nini asubuhi?

kwani wee unaskia kama hii ni kikuyu ama kiswahili?....... ati lugha ya mumbi.... wee umekaa sana kenya wewe.. huwa nawaambiga wabongo wenzako umekaa sana kenya lakini hawaskiagipeleka upumbavu hicho ni kiswahili au Kimumbi?
Weka picha acha maneno mengi USA nimetembea sana you name any place Charlotte, Raleigh NC, Detroit, Boston, San Diego, LA etc NY ndio nimekaa muda mrefu.Before I do that, tell me where exactly in New York and London you lived.
Now I know for a fact that you’re a jobless fraud. You probably don’t even own a passport. You want to see a picture of the AC unit in my house? Why would I give you the satisfaction? You haven’t even stepped foot in this part of the world. You know absolutely nothing about the weather here. I’ve been arguing with a damn fool this entire time.
Hapana ni kwaajili ya staff na wagonjwa maana car parking ya Aga Khan iko hapo upande wa kushoto wa hiyo foot bridgeMmh nafkiri hii bridge ni kwaajili tu ya staff wa Agakhan kwa kweli na wagonjwa labda, sidhani kama itatumiwa na watu random.. hayo ni mawazo yangu lakini, kwasababu hata hivyo hiyo bridge ni mali ya Agakhan
Dah rates ziko juu kinoma. Changamkieni bomba la gesi tuwaletee gas bei poa.Hizi IPPs zingine ndo zinatumaliza
View attachment 2308226
Viongozi wanahusika na upigaji huu.Nimeshangaa kuona Triumph power na Gulf power zinatucharge 130 na 119 US cents per kwh. Like hawa watu wanatunyonya damu. It is too expensive.
Cc joto la jiwe.
Kama Chicago vileDar Es Salaam.View attachment 2308298
Sasa kwa sababu unataja majina ya streets za London sasa unafikiri hio inaprove kwamba umefika London? Sasa ukitaja Trafalgar square hio haimaanishi chochote ndugu. Weka picha yako ukiwa majuu. Wengine wetu tumeshaweka na tunaweza kuweka tukiulizwa. Mwenzako Walker255 ameshaweka picha yake ya breakfast ya maple syrup. Wewe unapiga tu mdomo badala wewe pia uweke picha ili muendane sawa. Otherwise huyo Walker255 sio mtu wa ligi yako. Wewe baki ukibishana na rika yako akina joto la jiwe ambao walianguka mtihani wa form 4.Weka picha acha maneno mengi USA nimetembea sana you name any place Charlotte, Raleigh NC, Detroit, Boston, San Diego, LA etc NY ndio nimekaa muda mrefu.
London mimi nakunywa beer west end na starehe zangu nafanyia huko niambie trafalgar square, Leicester square, piccadily circus, convent garden, Liverpool Street, canary wharf Aldgate, charring cross, may fair, Victoria, elephant and Castle, Kensington, knights bridge, kings cross na Paddington huko kote hunipotezi ndio viwaja vyangu ni wapi utanitajia nisipajue?
😆😆😆💥 alafu naskia hizi movie za Dj Afro, imeteka sana soko Bongo... naskia ina noga uko ile mbaya! 🔥🔥🔥😆
peleka upumbavu hicho ni kiswahili au Kimumbi?
Sasa hujisikii aibu mtu wa Form 4 anakufundisha mtu mwenye masters ya uchumi toka Czech Republic?Sasa kwa sababu unataja majina ya streets za London sasa unafikiri hio inaprove kwamba umefika London? Sasa ukitaja Trafalgar square hio haimaanishi chochote ndugu. Weka picha yako ukiwa majuu. Wengine wetu tumeshaweka na tunaweza kuweka tukiulizwa. Mwenzako Walker255 ameshaweka picha yake ya breakfast ya maple syrup. Wewe unapiga tu mdomo badala wewe pia uweke picha ili muendane sawa. Otherwise huyo Walker255 sio mtu wa ligi yako. Wewe baki ukibishana na rika yako akina joto la jiwe ambao walianguka mtihani wa form 4.




Huwa akili yake wakati mwengine inakua "low battery" huyo jamaaSasa ww huoni kwamba cost ya geothermal ni mara mbili ya hydro? Usipige hesabu za kitoto, juwa kwamba milioni 20 za hydro power ni sawa na milioni 40 za geothermal.
Picha sio shida mkuu nitaweka hapa mpaka kwa Queen Elizabeth ila yeye aweke tuu hata AC unit ya jirani yake.Sasa kwa sababu unataja majina ya streets za London sasa unafikiri hio inaprove kwamba umefika London? Sasa ukitaja Trafalgar square hio haimaanishi chochote ndugu. Weka picha yako ukiwa majuu. Wengine wetu tumeshaweka na tunaweza kuweka tukiulizwa. Mwenzako Walker255 ameshaweka picha yake ya breakfast ya maple syrup. Wewe unapiga tu mdomo badala wewe pia uweke picha ili muendane sawa. Otherwise huyo Walker255 sio mtu wa ligi yako. Wewe baki ukibishana na rika yako akina joto la jiwe ambao walianguka mtihani wa form 4.
Charity begins at home , tatizo la homelessness ni kubwa sana nchini kwake. Ktendo cha yeye kuacha kusaidia jamii yake huku akijitia usamaria mwema Afrika, ni swali la kujiuliza.Mkuu unataka kulinganisha matatizo ya Afrika na Yale ya wamarekani?, Mkuu hivi kweli unadiriki kusema kwanini asiwasaidie wamarekani badala yake anasaidia Africa?, Mbona usiulize serikali ya Marekani na nchi tajiri ambazo zinatoa pesa nyingi kusaidia nchi masikini lakini hazisaidii raia wao ambao ni homeless?, Mkuu unanishangaza Sana kuwa na upungufu mkubwa wa shukurani kiasi hiki.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobil