Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
ndo maanake Moldova hawapati usingizi maana nao ni vibaraka wa NATO!Yaani hawa Russia ni nuksi kuna mchezo unachezwa kijanja janja sana wanataka kuizunguka UKRAINE mwisho wa siku wajikute kati kati,,
Hii ni noma