chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,674
- 45,902
Weka hiyo videoMimi najua ninachosema. Usifikiri huwa sitazami video za waziri wenu wa kawi.
Weka hiyo videoMimi najua ninachosema. Usifikiri huwa sitazami video za waziri wenu wa kawi.
Hapo huhitaji kufungua kesi mahakamani maana sheria za nchi zinasema ukilisha mifugo sehemu ambayo hairuhusiwi unalipishwa faini kama huwezi kulipa inapigwa mnada huo ndio utaratibu uliopoUnaona ujinga sasa? Hawakufungua kesi mahakamani. Mifugo ilikamatwa siku 2 zilizopita. Hii sio fair kabisa. Halafu mnadanganya kwamba mnafanya mambo kisheria.
Cc chongchung hamna fine waliyotozwa hawa watu. Nilijua tu mtafanya unyama huu.
i truely agree with u 👍🏽when u talk of annualy, i never agreed with tuusan who said weekly! why weekly?The reading is good [emoji106]. Normally people are encouraged to undergo health check every year if not twice a year.
Sasa hapo muongo nani, wewe, joto la jiwe au GoK? Mana wewe unasema mna umeme wa kutosha, GoK imeingia mkataba na Ethiopia wa kununua umeme, tukuamini wewe au GoK?Tuna umeme wa kutosha. Wacha kulazimisha uongo wako hapa. Tuna surplus electricity. Hata ukidanganya hio haitobadilisha ukweli huo.
Onesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe soja wacha ushamba. Elevator kwa footbridge ni kitu ya kutupigia kelele. GTC ikonayo na sio ya vilema kama hio yenu kwa hospitali.
Red meat ndio tatizo mkuu punguza kabisa uwe unakula samaki na kuku ukibadilsha kula uyoga, maharage na jamii ya kunde. Red meat tamu lakini ukila mara moja moja sio mbaya.Ni kweli kwasababu mimi sina unene kihivyo, sivuti sigara wala kunywa pombe, sasa ndio ninashangaa hizi dalili naona siyo ya kawaida,ila napenda kula nyama mzee [emoji39][emoji39][emoji39][emoji846]
Sasa ww huoni kwamba cost ya geothermal ni mara mbili ya hydro? Usipige hesabu za kitoto, juwa kwamba milioni 20 za hydro power ni sawa na milioni 40 za geothermal.Hydro ni 4 US cents per kwh. Geothermal ni 8 US cents per kwh. Sasa sijui unaropokwa ropokwa nini hapa. Linganisha na Thermal (diesel) ambayo ni around 25 US cents per kwh. Hujui unachozungumzia wewe.
Wewe na Geza Ulole huwa mnasema kwamba geothermal ni expensive. Hamjui mnachozungumzia.
Pia you should not cross your legs and your arm should be at a mid heart level when measuring bpHaha you don't need to worry, your BP is within normal range,it's advised to check BP 30minutes after consuming coffee or from walking, make sure your in sitting up position and use left arm to set your bp machine cuff,
If its automatic BP machine you should change battery atleast after 3 bp checked just to be sure the reading are precise, I advise to check your Bp once per week
Unapokuwa Philanthropist hio ndio kazi yao kutoa hela kusaidia good cause lakini by doing so una kwepa kulipa kodi serikalini maana in USA at the end of every financial year hela iliyokuwa bank inakatwa kodi ndio maana tunawashangaa mastaa wa US wanafanya matumizi extravagant ili kukwepa kulipa kodi nyingi yani ni bora wanunue kitu cha gharama kuliko hela iende serikalini kama kodi.Bado hujajibu swali langu, unadhani anapata faida gani anapomwaga pesa nyingi Burundi kuzuia malaria?.
Bill Clinton anapata faida gani anapotoa pesa nyingi kupambana na Ukimwi duniani?.
Benjamin Mkapa Foundation inafanya Mambo makubwa hapa Tanzania, anapata faida gani yeye Mwenyewe?
Elton John anatoa scholarships za thamani kubwa kila mwaka, Je unadhani anapata faida gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aisee haya majengo mengine ni mapya kabisa usoni kwangu [emoji8][emoji7][emoji8][emoji8]Floor ya Tano pale Pavilion ( VIP) kuna View kali sana ya CBD na Upanga.
View attachment 2308257
View attachment 2308258
View attachment 2308259
View attachment 2308260
View attachment 2308261
View attachment 2308262
View attachment 2308263
View attachment 2308264
Byuti Byuti [emoji8][emoji7][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Dar Es Salaam.View attachment 2308298
Migodi yetu mingi bado inatumia off grid electricity ambao wana generate wenyewe na sasa hivi wana connect migodi 330.Huo ndio ukweli japo hupendi kusikia, Tanzania soko letu kubwa la kila kitu ni kusini mwa Afrika, huku East Afrika tupo kwasababu ya kumuenzi Nyerere muasisi wa Taifa letu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
😆😆😆💥 alafu naskia hizi movie za Dj Afro, imeteka sana soko la kibongo... naskia ina noga ile mbaya! 🔥🔥🔥😆
Kwahiyo wewe mfano ukikamatwa na minor traffic offence ni lazima uende mahakamani au unapigwa fine tuu?.Kwa hivyo local government by laws zenu zinaruhusu ng'ombe za jirani kupigwa mnada ndani ya siku mbili bila yeye kupewa fursa ya kulipa fine au kujitetea? Sheria hizo zinakiuka rules of natural justice.