Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ooh. Sawa. Nilidhani ni kwa ajili ya umma. Ila kama ni hivyo basi ipo sawa.
kwani ikiwa si ya umma inaondoa the fact kwamba ni footbridge ya kwanza East and central Africa yenye elevator? Yenyu ipo wapi yenye elevator? Yaani hata reli tunawagonga Tanzania ni the first place in East Africa kuwa na reli!
 
Ukiachana na majumba marefu mengi hapa Dar but yo this is among the most beautiful buildings 👇
IMG_20220729_102116_940.jpg
IMG_20220729_102124_709.jpg
This building is huge and very cool.. I hope DOM will be more of this kinda buildings, I can't wait to witness the beautness of our Capital Dom
 
Sasa wataalamu mnao mnashindwa nn kujenga ili kujitosheleza? Kwnn mnaishi maisha ya uongo uongo, mnapata faida gn?
Nani amekuambia kwamba hatujitoshelezi? Hii ni agreement ya kununua umeme ya ziada kutoka Ethiopia pale tutakapohitaji. Kwa mfano wakati wa kiangazi hydroelectric power stations huwa hazizalishi umeme wa kutosha. Kwa habari yako Kenya tuna surplus electricity, yaani tunajitosheleza. Hii ya Ethiopia ni kwa ajili ya kujipanga wakati itakapohitajika. Pia tunapanga kuondoa thermal power (diesel) from our grid kwa sababu ni expensive. Sasa hii ya Ethiopia itasaidia kuziba gap hio baada ya thermal power kuondolewa kwa grid.
 
Sasa wataalamu mnao mnashindwa nn kujenga ili kujitosheleza? Kwnn mnaishi maisha ya uongo uongo, mnapata faida gn?
kenya has surplus electricity as we currently speak and there also other power projects that have not yet been connected to the grid.
 
Utiaji saini kati ya Kenya na Ethiopia kuhusu ununuzi wa umeme.
 
Unajua nyinyi hamna footbridge nyingi ndio maana mnaona ni kama maajabu. Sisi huku Kenya tunazo zaidi ya footbridge mia moja na ndio maana unaona huwa hatuzipost kwa sababu ni vitu vya kawaida huku. Lakini hio yenu ipo sawa.
Soma vzr👇👇👇👇
Leo nilipata nafasi ya kufika Agakhan 👇View attachment 2308104View attachment 2308105hii pedestrian bridge imekaa unyama sana, it's still underway tho... Kenya huwezi patana na pedestrian bridge enye Iko na lift. Tony254 Don YF
 
Ukipita downtown za miji 50 mikubwa Marekani utapata simanzi jinsi ya kiasi kikubwa cha watu wasio na maakazi (homeless). Kwa nini hizo shukrani asizirudishe kwa raia wa wenzake wasio na makaazi ambapo ndipo alikojipatia utajiri?
Mkuu, Bill Gate anasaidia nchi nyingi ikiwemo huko Marekani, lakini ni utovu wa shukurani kumchagulia mtu wapi apeleke misaada yake. Hata wewe ukiwa tajiri upo huru kusaidia mtu na nchi unayotaka.

Mkuu unataka kulinganisha matatizo ya Afrika na Yale ya wamarekani?, Mkuu hivi kweli unadiriki kusema kwanini asiwasaidie wamarekani badala yake anasaidia Africa?, Mbona usiulize serikali ya Marekani na nchi tajiri ambazo zinatoa pesa nyingi kusaidia nchi masikini lakini hazisaidii raia wao ambao ni homeless?, Mkuu unanishangaza Sana kuwa na upungufu mkubwa wa shukurani kiasi hiki.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo huenda CBD kuona maghorofa. 😂😂😂

20220729_193234.jpg


Anyway I am back. My country people while I was away naona mumedeal na hawa bongolalas vile inafaa kama kawaida. Good job my people.
 
Jirani ndiye ametulipa tumjengee. Kengen imelipwa na serikali ya Ethiopia kuichimbia geothermal wells. Kengen haikutumia pesa yake kuchimba hizo geothermal wells.
Vipi mnaenda kuzalisha umeme kwa jirani wakati kwako bado huna umeme wa kutosha?, then unarudi kwa jirani huyo huyo kununua umeme huohuo uliomjengea wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom