Google ya nn? Tumalizane tu hapa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wacha nisikujibu ila nenda tu kwa gugo, utapata jibu uko
Nyinyi mnavyokuwa mna ban kampuni za Tz kuja kuwekeza Kenya huwa mnafuata sheria zenu?Mbona ulikuwa unadanganya kwamba kesi ingepelekwa kortini na wapewe fursa ya kulipa fine? Nyinyi hamfuati sheria yenu. Mnapiga mnada bila kuwapa fursa ya kulipa fine. You are a shit hole country.
Byuti Byuti [emoji8][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Wakenya angalien hii video.. the longest bridge in East and Central Africa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Magufuli alipeleka kortin na walitozwa fine wakashindwa kulipia, lakini tulichokipata toka kwenu hata baada ya kufuata Sheria zote na lawama za kijinga, tumegundua ninyi hamna shukurani kwahiyo hivi Sasa tinafanya tupendavyo, hasa baada ya kitendo cha Ngorongoro na Loliondo.
Lengo ni kuwakomesha na sio vinginevyo, kinachofuata Kama mkiendelea kuleta mifugo yenu ni kuwapiga risasi, hatutaki ujinga wenu huku Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapa vipi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Lack of infrastructure.
Wewe render c huwa zinakuumiza macho?Wanajifanya hawajaona. Kenya sio ligi yao.
Another unmarked road [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofali like flyover [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa kaamua afe na project moja from Monday to Sunday [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Byuti Byuti [emoji8][emoji7][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Haya picha za jana hizo hapo kuna Lundo la uchafu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikimbie
View attachment 2308023View attachment 2308024View attachment 2308025
Sisi huwa ni wastaarabu na waungwana tatizo lenu huwa mnatuchokoza sana, sasa tukijibu mnatuona wabaya.Nchi gani nyingine inafanya upuuzi kama huo wenu? Taja hata nchi moja. Wahuni nyie. Hamjastaarabika.
Alisema au umemuangushia tofali tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe render c huwa zinakuumiza macho?
Kuna njia kubwa ya umeme inajengwa kutokea Singida via Arusha to Namanga ndio unakuja huo kwenu. Kaeni tayari kuupokea [emoji846][emoji846]Hatuwezi nunua umeme kutoka kwenu.
Chuki ni mdudu mbaya sana. Mwanaume mzima unakosoa chakula ninachokula?Hamna breakfast hapo sio english wala continental sijui ni nini unakula.