Hii dunia ni zaidi ya uionavyo, na wewe hapa ndiyo unajivua nguo kwa kuonekana ulivyo naive au inawezakana unafanya hivi makusudi tuu kwa maslahi fulani.Hizo ni lugha za kidiplomasia, hakuna msaada hapo. Unafikiri Ukraine wanapewa misaada
Kwahiyo hujui CDC na USAID na Mashirika mengine ya Marekani hujui wanayofanya hapa Tanzania?, Kama wewe hujawahi kufanya kazi serikalini basi huna hata rafiki yako mmoja umuulize?, Kwahiyo Marekani hawatoi pesa yoyote kusaidia serikali masikini duniani?.
Mkuu usiendelee na huu mjadala, utajivua nguo.
Watu wanafuatilia, wameshajua ukweliHii dunia ni zaidi ya uionavyo, na wewe hapa ndiyo unajivua nguo kwa kuonekana ulivyo naive au inawezakana unafanya hivi makusudi tuu kwa maslahi fulani.
Na sio ya vilema.Onesha![]()
Footbridge ndiyo maendeleo?Wabongo munakuanga washamba sana. Ndio maana hio nchi yenu yote ikona less than 20 footbridges.
Ikipigwa flyover hapo itakuwa matata sana.
Page 1Cc Geza Ulole The best 007 joto la jiwe wazee wa airbridges hope mmeonaView attachment 2308698View attachment 2308699
Hamna ujeuri huo . Ngoja nyerere dam ikamilike kama hamjaja wenyeweHatuwezi nunua umeme kutoka kwenu.
Hadi juu ya ghorofa mnatupa uchafu . Yaani mnategemea nani afanye usafi ? Ndio maana Nairobi ina DNA na cholera
Mganda nae anaota ndevu sasa, nguvu za kupimishana misuli na Baba yake kazitoa wapi?Kenya nyie ni ndugu zetu wa damu kabisaa, kwenye mambo ya msingi huwa hatukosi support yenu. View attachment 2308706
Hata mahindi walisema hivyo hivyo so tumezoea hizi kauli.Hamna ujeuri huo . Ngoja nyerere dam ikamilike kama hamjaja wenyewe
Aaah mlungula utakuwa umepenya! Yaani kunyaland iunge mkono EACB iwe Tanzania? Ila on a serious note Tanzania deserves to host the institution based on her recommended macroeconomic policies and sound monetary policies! Inflation has been the lowest in the among all members and the whole region.Kenya nyie ni ndugu zetu wa damu kabisaa, kwenye mambo ya msingi huwa hatukosi support yenu. View attachment 2308706
Kwamba ulienda majuu kufanya nini? Kusoma au?Hizo nyingine naona za mwanzo hazikufunguka vzr umeona na Trafalgar Square hapo? View attachment 2308598View attachment 2308599View attachment 2308600View attachment 2308602
Ni ngumu kuamini maneno ya mtu bila mtu kuweka evidence. Unajua watu wengi ni waongo humu ndani. Maneno maneno tu hayatoshi.Kuweka picha sio lazima what I speak or write is based on pure experience not fantasies like most of Kenyans here. I highly respect people who tell the truth.
Hamna cha maana hapa!Cc Geza Ulole The best 007 joto la jiwe wazee wa airbridges hope mmeonaView attachment 2308698View attachment 2308699
Huu ni upuuzi. Kenya ndio financial powerhouse wa East African region.Kenya nyie ni ndugu zetu wa damu kabisaa, kwenye mambo ya msingi huwa hatukosi support yenu. View attachment 2308706
Na spiraling inflation mliyonayo sio?Huu ni upuuzi. Kenya ndio financial powerhouse wa East African region.
Uzuri Uganda wamesha-protest. Mumengoja wakati wa elections Kenya ndio mkafanya mambo yenu.Na spiraling inflation sio?