Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mana huwa nakutukanaga we jamaa, okay tatu City mpaka sasa kuna viwanda vingapi vinavyofanya kazi.? Weka picha au video
Sorry for delay niko up n down, working as I chat with u, so nachukua muda mrefu kujibu...,

Dormans Biggest coffee factory in East and central Africa

1658931907228.png

1658931972427.png

1658931991643.png

1658932066921.png

1658932104517.png
 
Hiyo battle hauiwezi mzee we tulizana tu kubali matokeo, we kaa kwa kutulia uendelee kuona vile DOM inakimbiza top Two big cities in EA
Wacha ifike levels ya Arusha, both economically and CBD development.., before u mention Dar or Nairobi or even Mombasa or Kisumu..,
 
Sorry for delay niko up n down, working as I chat with u, so nachukua muda mrefu kujibu...,

Dormans Biggest coffee factory in East and central Africa

View attachment 2305876
View attachment 2305877
View attachment 2305878
View attachment 2305881
View attachment 2305882

Hivi ndio viwanda vyenye vipo tatu village center pekee, yo bado sana mzee, nilikwambia kitu chenye utanishinda ni picha tu kwasababu sina picha za viwanda DODOMA basi, sorry hii tatu kwakweli hapana chagua mji mwingine tutaendeleza battle Ila kwa hii empty Field kwasasa no
 
Weka list ya active companies already set up in Dodoma and upcoming zenye zime break ground tayari, excuses avoid, Tatu mtoto mdogo sana na tayari kuna active companies from zero kwa ground...,
Freight Forwarders Solutions
Davis and Shartlif
Friendship Container Manufacturers
Dormans coffee
Africa Lorgistics property
Stecol Corporation
Tatu city substation
Nova pioneer
Crawford School

Na others already broken ground.., 70 ziko mbioni kukua established, I wonder ikifika 2025 Tatu itakua vipi!!

Kwa such a small place hii ni hatua kubwa, wewe unaangalia Dodoma city, yaani jiji mimi nakupa investment ndogo within Kiambu county, sio Kiambu yoote.., yani tukiangalia mji mkuu wa Kiambu county inaitwa Thika town hakuna battle hapa.., tukijumuisha na investments za Tatu already up and running utalia sana, from automotive industries to fruits etc, Tanzania hakuna mji inafikia Kiambu county kwa industrialization, nakuambia wacha hii battle ibakie Tatu city ili ujiskie nafuu, yaani ka sehemu ka Kiambu., ..,
 
Hivi ndio viwanda vyenye vipo tatu village center pekee, yo bado sana mzee, nilikwambia kitu chenye utanishinda ni picha tu kwasababu sina picha za viwanda DODOMA basi, sorry hii tatu kwakweli hapana chagua mji mwingine tutaendeleza battle Ila kwa hii empty Field kwasasa no
Industrial park ngapi ziko Tz?, Special economic zones (SEZ) na Economic prosessing zones(EPZ) ngapi ziko Tanzania? how many are running? ..., unajua kwa nini economic output yetu ni kubwa? na ni kwa nini annual revenue ya Kenya ni mara mbili ya Tanzania kweli?.., fanya utafiti Kenya kuna nini bro..., nyie bado sana ila mnasonga, inaonekana, but tuka hatua kadhaa mbele..,
 
Under construction DODOMA View attachment 2305298View attachment 2305300View attachment 2305301
Ukiachana na hii center mpya ☝️ ambayo kwasasa inapokea construction boom bado DOM Iko na old Center yake 👇ambayo nayo pia kwasasa inapokea ujenzi mkubwa wa high rise buildings 👇

View attachment 2305303and this is the reason huwa nasema Dodoma ikimaliza ujenzi wake itakua na three CBDs Don YF. Hizi centers mbili zote hapo juu ni kando na DODOMA new government City

Yani hapa 👇. Hii miradi yote mingine;-

1.chinangali recreational park
2😀om outer ring road
3😀om international airport
4: Indoor Arena
5:NHC 1000 HOUSES
6:TBA 3500 HOUSES
7:KONGANI YA VIWANDA NALA
8😀OM BUS TERMINAL
9: DOM market
N.k ..

Hii miradi ikikamilika yote sioni comparison ya Dom na mji wowote hapa Tz kando ya DAR hapo kwenu ni Nairobi tu yenye itaweza tajika juu ya DODOMA otherwise hakuna .. ndio nishangazwe na wewe unaetaka kuilinganisha DODOMA na mradi wa nyumba kadhaa kwenye empty field kwa jina la tatu City, hii inaudhi sana

Dom Bus Terminal ipi wakati ishajengwa?
 
In 2021 tuliingiza around $1.3b na nyinyi around $1.5b despite nyinyi kuwa na alot to offer in that sector.
Geza mkakua serious kidogo mnafaa kuwa level ya kina SA, Egypt na Morocco. Mko na alot to offer hata kushinda hizo nchi
Issue kubwa ya inayosaidia Eygpt na morroco ni distance fupi tu europe hio ni advantage..

Sisi hatujaamua kuwa strict kwenye promotions kma SA ambao wao wana whites wengi plus hosting world cup ili wa boost

I think we need to pull ourseleves and advertise more
 
Heheheheeee nipo kazini jombaa, so napata chance kdg sn ila twende kazi mzeiya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuelewa. Mimi pia ilibidi nilog off kabisa mpaka jioni sasa. Afadhali battle za jioni.
 
Point yangu ya kushiriki kwenye hii battle haikuwa kuprove kwamba Tatu city inaweza shindana na Dodoma. Najua Dodoma ni kubwa. Point yangu ilikuwa ni kuwaonyesha tu kwamba Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria. Sama boy 255 alikuwa ameidharau Tatu city sana, nadhani nimekufungua akili kidogo. Tatu city imeanza kujengwa miaka 6 iliyopita so bado ina mwendo mrefu ili kufikia levels za city zingine. Ila ujenzi uliofanyika ndani ya Tatu city kwa miaka 6 pekee ni mkubwa sana.

Wacha battle iishe kwa maana hatuwezi kulinganisha Tatu city na Dodoma city kwa ukubwa. Haimake sense ila kwa quality ya facilities basi Tatu city inaendana bega kwa bega na city yoyote ile. Ipe Tatu city miaka ishirini tuone itakuwa imefika wapi kwa maana Dodoma city imejengwa kwa miaka zaidi ya 30 ili ifikie hapa ilipo sasa hivi. Wacheni battle iishe. Bora mumejifunza kuwa Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria.

The best 007 chongchung Sama boy 255
xng hua
coodip1
 
We nae unaviashiria vya ukubwa jinga .......
Hiyo tatu inaowatoeni povu na mishipa ya uso mnaifananisha na dodoma city au magufuli city?

*Kama mnafananisha na domcity 3 ni takataka
*kama mnafananisha na magufuli city napo ni takataka anae bisha afanye kama anajikuna 😎 tuingie kwa ground

Nadhani udom pekee, inapita kwa mbali sana.
 
Mkuu hapa tunazungumzia "Hypertension" sio heart diseases. Hivi ni vitu viwili tofauti japo vinakaribiana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe leo hii umekuwa daktari? Wewe mbona huwa una kimbele mbele sana? Hahaha. Kesho utakuwa pilot sio? Utatuonyesha jinsi ya kuendesha ndege. Teargass usibishane na huyu jamaa. Yeye ni expert wa kila jambo.
 
Point yangu ya kushiriki kwenye hii battle haikuwa kuprove kwamba Tatu city inaweza shindana na Dodoma. Najua Dodoma ni kubwa. Point yangu ilikuwa ni kuwaonyesha tu kwamba Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria. Sama boy 255 alikuwa ameidharau Tatu city sana, nadhani nimekufungua akili kidogo. Tatu city imeanza kujengwa miaka 6 iliyopita so bado ina mwendo mrefu ili kufikia levels za city zingine. Ila ujenzi uliofanyika ndani ya Tatu city kwa miaka 6 pekee ni mkubwa sana.

Wacha battle iishe kwa maana hatuwezi kulinganisha Tatu city na Dodoma city kwa ukubwa. Haimake sense ila kwa quality ya facilities basi Tatu city inaendana bega kwa bega na city yoyote ile. Ipe Tatu city miaka ishirini tuone itakuwa imefika wapi kwa maana Dodoma city imejengwa kwa miaka zaidi ya 30 ili ifikie hapa ilipo sasa hivi. Wacheni battle iishe. Bora mumejifunza kuwa Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria.

The best 007 chongchung Sama boy 255
xng hua
coodip1
Hahaha sasa waliojifunza ni nani kati yetu? Ninyi mliokua mnasema Dodoma haifui dafu kwa fyatu estate kwenye shule ndio mnaosema 'tuishie hapa' mmeanzisha battle wenyewe na kuomba yaishe wenyewe yet unasema tumejifunza 😁😁😁😁

Mimi bado nina shule zangu kama 10 hivi kibindoni hapa! 😃
 
Back
Top Bottom