Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta economic output ya Tatu city uweke hapa tulinganishe na Dodoma tuone.
Ni vitu vya kuchekesha kwakweli 🤣🤣 alete hizo economic output za Tattoo village center as we talking right now tuomuonyeshe asichokijua,
 
Shida ya wewe jamaa ni ubishi, hiv unawezaji kulinganisha tatu city vs Dodoma City hata kwa economic impacts, mji wenye 600+ Square km, 400k+ pp.? Na empty Field yenye population ya less than 1k kuna viwaonder viwili tu as we talking right now.? unataka nikupe list ya viwanda vilivyopo DODOMA hadi tunavyoongea hiv sasa ambavyo ni viwanda vyenye brands kubwa already Tz.? By the focus ya kuitengeneza DODOMA ililetwa na Magufuli na utekelezaji ulianza 2017 mpaka sasa DOM Iko na miaka mitano tu, Tangu serikali ihamie rasmi
Your perspective is skewed through bias, unakosa objectivity kabisa. With your reasoning hatuwezi come to an amicable conclusion, uko na ushabiki tu, nothing to show for it, maybe mapicha tu. Dodoma nimeichambua, economic value yake iko low sana., companies coming up in Tatu Dodoma haifikii hata robo.
Dodoma iko na Multi-national businesses ngapi? tuanzie hapo..,
Hii 👇 ni quote kutoka kwa business daily ya June 2021.., sidhani kama investments in Dodoma tangu itangazwe city zaidi ya miaka ishirini imefika 70 kama Tatu., five years ago ni moving of govt functions to Dodoma, sio anzilishi., ukitaka picha kamili tembelea website yao.., usiogope
1658925781939.png

As of 2022..., over 70 companies tayari are in Tatu., some are still setting up, others construction works are in progress..,
 
Hii [emoji116] ni quote kutoka kwa business daily ya June 2021.., sidhani kama investments in Dodoma tangu itangazwe city zaidi ya miaka ishirini imefika 70 kama Tatu., five years ago ni moving of govt functions to Dodoma, sio anzilishi., ukitaka picha kamili tembelea website yao.., usiogope
View attachment 2305751

As of 2022..., over 70 companies tayari are in Tatu., some are still setting up, others construction works are in progress..,
Lete economic data hatutaki blah blah hapa
 
Which can just be managed by administration of diuretics drugs. They help in excretion of such fluids by inhibiting reabsorption of water and salt in the ascending loop of Henle and distal collecting tubule.
Diuretics drugs ain't anti- hypertensive drugs,they just easy fluids congestion,inorder to correct hypertension you should give calcium channel blockers,angiotensin converting enzymes blockers or beta blockers...
Remember diuretics may cause hypokalaemia thus results in another major health issues
 
Economic value ya Dom??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., unataka kubwabwaja povu ama? niko tayari siku zote., even with numbers mjukuu.., hapa nimewanyonga, vijisifa uchwara peleka vijiweni, eti mnataja Dom na Arusha, ndoto za alinacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila leo nimekufinya umefinyika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lete economic data hatutaki blah blah hapa
Weka ya Dodoma if iko available kwa mtandao.., kuna many factors to deduce that..., list number of investments in Dodoma, industries and companies zilizo wekeza ama tayari zinafanya ujenzi etc., nikuonyeshe kitu..,
 
Your perspective is skewed through bias, unakosa objectivity kabisa. With your reasoning hatuwezi come to an amicable conclusion, uko na ushabiki tu, nothing to show for it, maybe mapicha tu. Dodoma nimeichambua, economic value yake iko low sana., companies coming up in Tatu Dodoma haifikii hata robo.
Dodoma iko na Multi-national businesses ngapi? tuanzie hapo..,
Hii 👇 ni quote kutoka kwa business daily ya June 2021.., sidhani kama investments in Dodoma tangu itangazwe city zaidi ya miaka ishirini imefika 70 kama Tatu., five years ago ni moving of govt functions to Dodoma, sio anzilishi., ukitaka picha kamili tembelea website yao.., usiogope
View attachment 2305751

As of 2022..., over 70 companies tayari are in Tatu., some are still setting up, others construction works are in progress..,
Hahahaha bwana wee Unazungumzia vitu ambavyo havipo Bro, vipo wapi hivyo viwanda sabini hapo tatu City, na mimi nikizungmzia vitu ambavyo havipo DOM Ila vinakuja utaweza hii battle kweli.? usiongelee vitu ambavyo havipo please.. kwa tunavyongea hivi sasa DODOMA jiji inakusanya 100 billion Tz shilings annually mapato yake ya Ndani tu .. haya tueleze hapo tatu mnakusanya ngapi.?
 
70 have already bought space and are setting up.., sio ndoto.., zingine zilianza kazi, na ni kubwa with more value, yaani viko na uwezo wa ku export their products.., kama Dormans, etc.., wewe weka hapa list na evidence ya hizo companies, zilizo wekeza na zinazojenga ama tayari ziko na kiwanja wako kwa mikakati ya set up, usiogope dogo..., Tatu ni ndogo sana ila inawakosesha amani.., na ni mfano tu.., ikija viwanda hauwezi kutaja Kenya sentensi moja na Tanzania
 
Your argument is a hypothetical, haijakua bado, it has a lot of 'ifs'., Nimeichambua Dodoma na mipango yake, serikali ya Tanzania has set aside areas to serve as investment parks, and is trying to woo investors to grab opportunities., ila bado hawajachangamkia fursa kwa wingi, projects mingi ni za govt, which are not for returns, an economic zone kama Tatu city beats Dodoma kwa number ya investors ambao wamechangamkia fursa.., Dodoma is hopping with infrastructural development, itavutia investors na uwekezaji kwa wingi, na hilo ni kama ku gamble, huenda lisitokee vile wanatarajia., so as an administrative capital iko sawa kujenga ma ofisi, roads, schools and housing., kwa investement, itategemea na investors kama watapendezwa. Swali nikuulize mbona investors wengi wamewekeza Tatu city kwa muda mchache ukilinganisha na Dodoma?.., think before u answer..,
I asked you Sama boy 255 to think 👆 👆 👆 kabla ya kujibu, naona u did not..., unakurupuka tu, tayari uko na msimamo wako hutaki kujua lingine.., na fikra zako potovu..,
 
70 have already bought space and are setting up.., sio ndoto.., zingine zilianza kazi, na ni kubwa with more value, yaani viko na uwezo wa ku export their products.., kama Dormans, etc.., wewe weka hapa list na evidence ya hizo companies, zilizo wekeza na zinazojenga ama tayari ziko na kiwanja wako kwa mikakati ya set up, usiogope dogo..., Tatu ni ndogo sana ila inawakosesha amani.., na ni mfano tu.., ikija viwanda hauwezi kutaja Kenya sentensi moja na Tanzania
Tatu City inanikosesha mimi amani kweli.? You ar not serious, hii battle wala haipo Ila kwakua mnalazimishia lazima nikufundishe kitu siwezi kukaa kimya.. tatu City hakuna viwanda zaidi ya vile viwili vyenye mnapost hapa kila siku wala set up.. ukizungumzia set up ya viwanda ni kitu kama hiki 👇. Otherwise hakuna kitu nitakuelewa Bro, in Africa seeing is believing
 
Your argument is a hypothetical, haijakua bado, it has a lot of 'ifs'., Nimeichambua Dodoma na mipango yake, serikali ya Tanzania has set aside areas to serve as investment parks, and is trying to woo investors to grab opportunities., ila bado hawajachangamkia fursa kwa wingi, projects mingi ni za govt, which are not for returns, an economic zone kama Tatu city beats Dodoma kwa number ya investors ambao wamechangamkia fursa.., Dodoma is hopping with infrastructural development, itavutia investors na uwekezaji kwa wingi, na hilo ni kama ku gamble, huenda lisitokee vile wanatarajia., so as an administrative capital iko sawa kujenga ma ofisi, roads, schools and housing., kwa investement, itategemea na investors kama watapendezwa. Swali nikuulize mbona investors wengi wamewekeza Tatu city kwa muda mchache ukilinganisha na Dodoma?.., think before u answer..,
Battle wala haikuwa hivyo udibadilishe tafadhali, mada ilikuwa kati ya Dom City vs Tatu village ipi iko developed ktk angle zote and now umeshajua ukweli kwamba mnakazi ndefu kuifikia Dom licha ya kwamba mmetumia muda mrefu kujenga Tatu village. Sasa ngoja nikwambie kitu hata tukija kwenye angle unayotaka ww bado Dom inaiacha mbali Tatu village, tuambie GDP ya Tatu village ni ngp nikupe GDP ya Dom kama Dom.
 
Huyo jamaa kazi yake ni kuita watu Wana uwezo mdogo wa kufkiri while ujinga anaoulazimisha humu ndani hauna maana yoyote ile, kweli kamtaa kamoja kalinganishwe na City mzima 🤦 hizi si dharau hiz .?
 
Hahahaha bwana wee Unazungumzia vitu ambavyo havipo Bro, vipo wapi hivyo viwanda sabini hapo tatu City, na mimi nikizungmzia vitu ambavyo havipo DOM Ila vinakuja utaweza hii battle kweli.? usiongelee vitu ambavyo havipo please.. kwa tunavyongea hivi sasa DODOMA jiji inakusanya 100 billion Tz shilings annually mapato yake ya Ndani tu .. haya tueleze hapo tatu mnakusanya ngapi.?
Revenue ya 2020/2021 by TRA by region, inakupa picha halisi, alafu Dodoma is a town, tuna ongelea investments in Dodoma vs Tatu.., Tatu iko Kiambu county,contribution yake to Kenya's GDP ni zaidi ya Dodoma mara dufu, second to Nairobi, imeshinda Mombasa!., so usikurupuke, wacha tubakie kwa investments tu...,
1658928902897.png
 
Back
Top Bottom