Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle ni 1-1. Umeweka international school moja mimi nimeweka moja. Wacha nizame mtandaoni nilete shule ya pili international hapo Tatu city na wewe ulete shule ya pili international hapo Dodoma.
Twende kazi nakutia msumari wa pili, Feza Schools primary and nursery, Dodoma [emoji116][emoji116]
image_downloader_1658916703823.jpg
image_downloader_1658916709800.jpg
image_downloader_1658916718912.jpg
image_downloader_1658916729381.jpg
image_downloader_1658916779855.jpg
image_downloader_1658916695545.jpg
 
Kiasi cha watu wanaopata corona huku wakiwa wamechanja ni kikubwa, hapo utazitetea vipi hizo chanjo?

Mbona zile chanjo za polio za utotoni ukichanja hauugui tena, wala hauhitaji booster?
Kwanza it depends na type of microorganism kama ni virus kuna RNA virus na DNA virus for the case of RNA viruses their genitic makeup haiko very stable kama DNA virus due to mistakes kwenye replication process yao maana hawana proof reading mechanism ambayo ina make sure the replicated sequences are exactly complimentary to the strand being replicated. Kwahiyo their genetic make up inakuwa na alterations nyingi ambazo hupelekea kuzalisha proteins ambazo ni tofauti na target protein ambayo vaccine ina inaitumia katika ku elicit immune system against that particular infection.

Sasa umepata chanjo your immune system is brought into action against huyo virus ambaye epitopes zake zina express hiyo target protein ila baada ya muda kidogo down the line expression ya hizo surface protein/ epitopes hubadilika na ku express a slightly different protein ambayo ile vaccine ya mwanzo inashindwa ku lock vizuri hivyo kupelekea yule virus kuweza ku avoid immune system na kusababisha infection. Severity ya infection hutofautiana depends on how different these surface proteins are from the original target protein.

However most of these viruses are self limiting due to inconsistencies in their replication process.

Samahani I am not a good writer kwenye kuelezea kwa urahisi natumaini utapata kapicha kadogo.
 
In most cases cardiac dysfunctional causes hypotension not hypertension

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I'm talking about cardiovascular dysfunction and not cardiac dysfunction. Again explain to me like a kindergarten kid why cardiac dysfunction causes hypotension and not hypertension. I want to see something from you.
 
ni wazungu ndo wamefanya UAE na Qatar wawe mahali wako kwa sasahivi..
something that has puzzled even scholars, economist, city planners, the muslims and the world at large..

such kind of unimaginably developments in a desert, in an initialy a staunch islamic states, with strict sharia law, (like a prostitute to be stoned to death, or a thief to be cut hands, or a spy to slaughtered in front of the whole community to see as a warning lesson, or strickly no woman should drive, go to school or work in the office but only at home for her husband, or strickly no any other religion other than islam, or even strictly no ghamri(alcohol), and so on..

sasa wao ndo wamekua kielelezo, ata naona nchi zingine kamavile egypt wameanza kufuata mfano wao, yaani, ule wa fully liberalised, and free capitalist system of doing business..

so kwa sasa sahau kushindana na egypt kwa maswala kamavile smart-cities, ama 'ni nani' aliye na ghorofa ndefu zaidi barani afrika.?

usisahau egypt ni kibaraka cha middle east, na ndo kwa sasa wamejiondoa kwa wazo la kushindana na levels duni za kiafrika, na basi kufuatana na ndugu zake wa middle east, kv. dubai, abu dhabi, doha etc....

kichapo chetu cha kwanza africa kimekua ni nn.............?
yani Misr wametusuprize na bonge la ghorofa. yaani, 400m high! ivo tu kwa ghafla!......

nabadoo....... 🤔🤔 bado, hatujaona ya firaoni, hii tu ni kionjo ..

in short, wazungu (US, Canada, EU etc) ndo kila kila kitu......! na hawana nia yoyote mbaya kwa mtu wowote. ila wao wana wazo zuri na nia mzuri kwa dunia yote kwa ujumla..

ni nyinyi tu kwa mawazo yenu potivu inayowatendekeza kuwachukulia wazungu vibaya na kuwachukia kwa dhati pasipo sababu kamili...

ni lile wazo la mtu moja☝🏽tu..
Mw. Julius Nyerere..
naona bado inazidi kukidhiri na kukita mizizi miongoni mwa wabongo wote, hadi kwa wasaa huu wa karne ishirini na moja!🤔

nawasihi mjitoamo huko !🤮 haya mambo ya ujamaa yamepitwa na wakati. ubepari ndo mfumo bomba🔥
Endelea kuwaogopa wazungu na kujitetea kwa insha ndefu wewe nyang’au. Sina tatizo na hilo kabisaa.
 
Leo lazima wakome, niliwaambia. Sasa tukitoka kwenye schools tunahamia kwenye Afya, baada ya hapo roads kabla hatujaenda kwenye magodown yanayowafanya walete kiburi cha kupambanisha Dom City vs Tatu village.
 
How about hepatitis B or C (RNA virus)? After immunization children don't need boosters. How do you explain that?
Mkuu, hata hayo magonjwa mengine yalichukua muda mrefu Sana hadi kupotea kabisa, hata huu ugonjwa baada miaka kadha pia utapotea Kama magonjwa mengine.

Mimi mwenyewe nilipata chanjo ya surua nikiwa mdogo, lakini nilipofika umri wa miaka 7 niliugua surua karibu nipoteze maisha.

Mkuu, Dunia haiwezi kupokea kitu ambacho hakuna faida, asili ya binadamu ni "Negativity/rejection", ukiona Dunia imekubali kitu kwa asilimia kubwa, jua hicho kitu ni ukweli.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza it depends na type of microorganism kama ni virus kuna RNA virus na DNA virus for the case of RNA viruses their genitic makeup haiko very stable kama DNA virus due to mistakes kwenye replication process yao maana hawana proof reading mechanism ambayo ina make sure the replicated sequences are exactly complimentary to the strand being replicated. Kwahiyo their genetic make up inakuwa na alterations nyingi ambazo hupelekea kuzalisha proteins ambazo ni tofauti na target protein ambayo vaccine ina inaitumia katika ku elicit immune system against that particular infection.

Sasa umepata chanjo your immune system is brought into action against huyo virus ambaye epitopes zake zina express hiyo target protein ila baada ya muda kidogo down the line expression ya hizo surface protein/ epitopes hubadilika na ku express a slightly different protein ambayo ile vaccine ya mwanzo inashindwa ku lock vizuri hivyo kupelekea yule virus kuweza ku avoid immune system na kusababisha infection. Severity ya infection hutofautiana depends on how different these surface proteins are from the original target protein.

However most of these viruses are self limiting due to inconsistencies in their replication process.

Samahani I am not a good writer kwenye kuelezea kwa urahisi natumaini utapata kapicha kadogo.
Inakuwaje wale waliopata corona na kupona (natural immunity) huwa hawapati tena hata kama kirusi kina mutate?
 
Naona mliamua mcheze na segments, mambo ya companies and industries pembeni [emoji23] [emoji23] [emoji23] economic value muhimu, mengine ni cosmetics.., safi sana., ila shule za Tatu ni mbili but with class. The economic zone is poised to have high economic output for sure.
Ikija mambo ya international schools, u can't compare Tatu with Dodoma.., Dodoma ni a town like Thika or Machakos or say Kiambu county, it is wide thus pitting Kiambu against Dodoma itakua level battle though unfair to Dodoma, International schools in Kiambu county are more than 5.., maybe 6 Dodoma I doubt zinapita 4..,
Mnaogopa nn sasa, c mlitaka battle ya Dom vs Tatu village, mmeanza kumbwela? Sasa nasema hivi hapa hatuhami battle mpk mseme poo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You don't know anything. Kama hata huezitofaitisha between hypertension and cardiovascular dysfunction and how they relate, how can you then educate someone on that subject?
Wewe pimbi nikukupa reading ya Blood pressure can you tell me whether ni hypertension or not? Sema halafu nikupe kama wewe kidume.
 
How do you manage hypertension in Kenya?, Go and read in BNF, drugs of hypertension ate clearly listed there, stop your stupidity.

Hypertension is a non communicable disease like diabetes and Renal diseases, there is no single antibacterial or antiviral is included in management of hypertension or diabetic, wacha ujinga.

Wewe ni lab technician, hujui lolote wacha kujidhalilisha.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You are a fool.

Screenshot_20220727-132302_1.jpg
 
Kumbe I'm engaging a cow na sijui. Cardiovascular dysfunction is not hypertension but it's one of the causes of hypertension. When blood vessels become constricted, the lumen will become narrow making the blood to force itself through. For heart to overcome this struggle, it will increase the force and speed of pumping hence high pressure. That's how hypertension comes about.
Whenever your discussing about the pathophysiology of hypertension don't forget inappropriate activation of the hormones that regulate water and salt excretion by the kidney,impared renal pressure induces hypertension
 
Mkuu, hata hayo magonjwa mengine yalichukua muda mrefu Sana hadi kupotea kabisa, hata huu ugonjwa baada miaka kadha pia utapotea Kama magonjwa mengine.

Mimi mwenyewe nilipata chanjo ya surua nikiwa mdogo, lakini nilipofika umri wa miaka 7 niliugua surua karibu nipoteze maisha.
Pole kwa kuugua surua.
Mkuu, Dunia haiwezi kupokea kitu ambacho hakuna faida, asili ya binadamu ni "Negativity/rejection", ukiona Dunia imekubali kitu kwa asilimia kubwa, jua hicho kitu ni ukweli.
Nicolaus Copernicus angekuwa na mawazo kama yako, leo hii bado tungeendelea kuamini jua linaizunguka dunia.
 
The best 007 nakungoja ulete international school nyingine ya Dodoma. Umechelewa sana. Tatu city ipo juu ya Dodoma saa hii 2-1. Najua The best saa hii anachambua intaneti nzima kutafuta another international school in Dodoma lakini hapati kwa sababu haipo. [emoji1787] [emoji23] [emoji106]
Heheheheeee nipo kazini jombaa, so napata chance kdg sn ila twende kazi mzeiya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom