Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Sasa ona unajiabisha kwa fani ambayo sio yako. Mbona usikubali kupata masomo kutoka kwa Teargass na tuusan watu ambao wanafanya kazi kwenye health sector. Sasa neno "tidal volume" umeitumia kimakosa. Tidal volume haihusu damu bali inahusu hewa inayopitia kwenye lungs.Cardiac diseases almost weaken heart muscles, heart becames weak to pump blood hence "tidal volume" decreases, The lower the tidal volume, the lower the pressure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usisahau The best 007 na Sama boy 255 walisema kwamba Tatu city bado ni kichaka na ujenzi bado haujaanza. Sasa nilikuwa nataka niwafungue akili kidogo.Hahaha sasa waliojifunza ni nani kati yetu? Ninyi mliokua mnasema Dodoma haifui dafu kwa fyatu estate kwenye shule ndio mnaosema 'tuishie hapa' mmeanzisha battle wenyewe na kuomba yaishe wenyewe yet unasema tumejifunza 😁😁😁😁
Mimi bado nina shule zangu kama 10 hivi kibindoni hapa! 😃
Nikwambie tu ukweli kwenye suala la education facilities Dodoma hamtoboi!Usisahau The best 007 na Sama boy 255 walisema kwamba Tatu city bado ni kichaka na ujenzi bado haujaanza. Sasa nilikuwa nataka niwafungue akili kidogo.
Tatu City haina facilities zenye zitaifanya uende bega kwa bega na city yoyote hapa EA tu mzee, mtaa wenye two schools, two industries and less than 1k people utaitaje City .? Haiwez pata hadhi ya town, Tatu is just a village with industries and two international schools, usiite tena City, Tatu has at least 100 years to achieve City status, kama ni kongani za viwanda (industrial parks) zipo mbili Pwani underway na hatuwezi ita citiesPoint yangu ya kushiriki kwenye hii battle haikuwa kuprove kwamba Tatu city inaweza shindana na Dodoma. Najua Dodoma ni kubwa. Point yangu ilikuwa ni kuwaonyesha tu kwamba Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria. Sama boy 255 alikuwa ameidharau Tatu city sana, nadhani nimekufungua akili kidogo. Tatu city imeanza kujengwa miaka 6 iliyopita so bado ina mwendo mrefu ili kufikia levels za city zingine. Ila ujenzi uliofanyika ndani ya Tatu city kwa miaka 6 pekee ni mkubwa sana.
Wacha battle iishe kwa maana hatuwezi kulinganisha Tatu city na Dodoma city kwa ukubwa. Haimake sense ila kwa quality ya facilities basi Tatu city inaendana bega kwa bega na city yoyote ile. Ipe Tatu city miaka ishirini tuone itakuwa imefika wapi kwa maana Dodoma city imejengwa kwa miaka zaidi ya 30 ili ifikie hapa ilipo sasa hivi. Wacheni battle iishe. Bora mumejifunza kuwa Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria.
The best 007 chongchung Sama boy 255
xng hua
coodip1
Threshold is 140/90 hiyo ndio cut off.[emoji1431]sawa wasomi wa JF. but wht is hypertension?
American Heart Association says nearly half, or rather 50% of Americans, suffered from hypertension,
while 85% of the blackrace inparticular suffer from it worldwide.
This was said to true when AmericanHeartAssociation, lowered the longterm threshold of wht was otherwise perceived as hypertension from 140/90 in 2003,
to 130/80 in 2017.
jiwe la moto and Teargass, what do you understand by the term high blood pressure.... hypertension ninini... wht is the threshold while AHA are claiming tht about 85% of the BlackRace suffer from it worldwide[emoji289]
Ndo upumbavu wa Wakunya humu ndani!Huu ukichaa mwingine bhana 🤣🤣 hivi utaitaje haka kamtaa eti ni city.? 👇View attachment 2306019what I can clearly see down there is industries in the empty green fied, hii haiwezi pata hata status hata ya town in the next 30 years
🤣🤣🤣 Vioja vya mwaka hiviNdo upumbavu wa Wakunya humu ndani!
Watu kama Tony254 huwa hawaoni aibu ya wanachoongea!
I didn't say diuretics are drugs against hypertension. You talked about fluid buildup due to CKD and that's why I came up with the diuretics.Diuretics drugs ain't anti- hypertensive drugs,they just easy fluids congestion,inorder to correct hypertension you should give calcium channel blockers,angiotensin converting enzymes blockers or beta blockers...
Remember diuretics may cause hypokalaemia thus results in another major health issues
Oyaa mimi huwa sipendi kutazama render. Macho huwa yananiuma. Kama ujenzi haujaanza basi subiri hadi uanze. Render ni miradi ya kwenye makaratasi. Ila battle imeisha. Obviously Dodoma imejengwa kwa miaka mingi so ipo mbele ya Tatu. Kila mtu anajua hilo.Nikwambie tu ukweli kwenye suala la education facilities Dodoma hamtoboi!
Hii ni shule ya serikali sio university ipo under construction
View attachment 2305980View attachment 2305981
![]()
SERIKALI YAAGIZA SHULE YA SEKONDARI YA MFANO IYUMBU KUKAMILIKA DESEMBA MWAKA HUU
Charles James, Michuzi TV SERIKALI imeagiza Shule ya mfano ya Iyumbu ambayo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi takribani 1,000 ikamilike...issamichuzi.blogspot.com
That guy is very weird. Kesho atakuwa anapingana na wewe in economics and the following day he will be arguing with Walker255 about astronomy. He is the kind of people who pretends to know it all.Sasa wewe leo hii umekuwa daktari? Wewe mbona huwa una kimbele mbele sana? Hahaha. Kesho utakuwa pilot sio? Utatuonyesha jinsi ya kuendesha ndege. Teargass usibishane na huyu jamaa. Yeye ni expert wa kila jambo.
Oyaa mimi huwa sipendi kutazama render. Macho huwa yananiuma. Kama ujenzi haujaanza basi subiri hadi uanze. Render ni miradi ya kwenye makaratasi. Ila battle imeisha. Obviously Dodoma imejengwa kwa miaka mingi so ipo mbele ya Tatu. Kila mtu anajua hilo.
Wewe umeshakuwa mgagagigikokoWabongo wacheni mchezo. Unawezaje kulinganisha swimming pool ya watoto wadogo wa shule ya chekechea ambayo hata mtu mzima hatoshei ndani na hii mega swimming pool ya Crawford school?
Martin Luther school fish pond [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2305623
Huwezi kulinganisha hio fish pond hapo juu ambayo hata haina deep end na hii mega swimming pool ambayo ina mpaka zile kamba za olympic swimming pools. Hii hapa chini ni swimming pool ya Crawford international school iliyo Tatu city. Sio hio ndoo ya kuogea hapo juu.
View attachment 2305626View attachment 2305627
Usimuonyeshe bwana Tony254[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony kwa visingizio bhana okay, Martin Luther king school iko na pools mbili buana, hako ka pond chenye unaita it's for kids only. Pitia hapa [emoji116]View attachment 2305631View attachment 2305632
Mbona mkaleta comparison ya shule?Itabidi urejele nyuma mjadala ulipo anzia uelewe nini kilikua kinazungumziwa..., ulitoka nje ya reli kitambo kwa kukurupuka bila kufuatilia uelewe.., just do a background check, na wakenya walijibu sawa sawa, ila nyie niliona tu mnahangaika mkaanza sijui barabara, reli, mara cbd , ndio nikakupa Thika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]