Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point yangu ya kushiriki kwenye hii battle haikuwa kuprove kwamba Tatu city inaweza shindana na Dodoma. Najua Dodoma ni kubwa. Point yangu ilikuwa ni kuwaonyesha tu kwamba Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria. Sama boy 255 alikuwa ameidharau Tatu city sana, nadhani nimekufungua akili kidogo. Tatu city imeanza kujengwa miaka 6 iliyopita so bado ina mwendo mrefu ili kufikia levels za city zingine. Ila ujenzi uliofanyika ndani ya Tatu city kwa miaka 6 pekee ni mkubwa sana.

Wacha battle iishe kwa maana hatuwezi kulinganisha Tatu city na Dodoma city kwa ukubwa. Haimake sense ila kwa quality ya facilities basi Tatu city inaendana bega kwa bega na city yoyote ile. Ipe Tatu city miaka ishirini tuone itakuwa imefika wapi kwa maana Dodoma city imejengwa kwa miaka zaidi ya 30 ili ifikie hapa ilipo sasa hivi. Wacheni battle iishe. Bora mumejifunza kuwa Tatu city sio kichaka kama mlivyokuwa mnafikiria.

The best 007 chongchung Sama boy 255
xng hua
coodip1
Niwe mkweli bwana Tony sijaona chochote kutoka Tatu city zaidi ya ghorofa tano kapost Teargas na hizo shule mbili basi nasema ukweli wala sitanii, ila sio kwa ubaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa wewe leo hii umekuwa daktari? Wewe mbona huwa una kimbele mbele sana? Hahaha. Kesho utakuwa pilot sio? Utatuonyesha jinsi ya kuendesha ndege. Teargass usibishane na huyu jamaa. Yeye ni expert wa kila jambo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatu City haina facilities zenye zitaifanya uende bega kwa bega na city yoyote hapa EA tu mzee, mtaa wenye two schools, two industries and less than 1k people utaitaje City .? Haiwez pata hadhi ya town, Tatu is just a village with industries and two international schools, usiite tena City, Tatu has at least 100 years to achieve City status, kama ni kongani za viwanda (industrial parks) zipo mbili Pwani underway na hatuwezi ita cities
Tatu city haina industries mbili.
 
sasa wewe Mkunya si ulete evidence ya industries zinazofanya kazi! List them!
Pictures are just enough to answer you. I want you to count as I post. This one is complete and already working.

images (27).jpeg
 
Sasa ona unajiabisha kwa fani ambayo sio yako. Mbona usikubali kupata masomo kutoka kwa Teargass na tuusan watu ambao wanafanya kazi kwenye health sector. Sasa neno "tidal volume" umeitumia kimakosa. Tidal volume haihusu damu bali inahusu hewa inayopitia kwenye lungs.

View attachment 2305976
Asante Sana kwa kunikumbusha, nilitaka kumaanisha "stroke volume", hapo nimechanganya kidogo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Threshold is 140/90 hiyo ndio cut off.
And which number is more important between the upper and the lower reading.. i hear in the 1970s, 1980s and part of 1990s.. the lower reading was taken as more important, and thts where all clinical decisions were made.

but in the recent scientific research, it revealed tht the upper reading, ie. systolic is more important and thts where all clinical and pharmaceutical decision should be based on... it tht true.!?🤔

then why would our african nurses and doctors, and especially east african! still look on the lower reading(diastolic) more, yet scientific findings says otherwise tht the upper reading is the predictor of all cardiovascular events.. eg. stroke, heartattack, kidney and liver failures etc🤔
 
Back
Top Bottom