joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, kawaida chanjo yoyote duniani hakuna yenye kutoa 100% protection rate. Ukija katika chanjo ya COVID 19, protection rate yake ipo chini kidogo, nadhani ni 80%, lakini hata hao 20% ambao watapata kuambukizwa, basi nguvu ya ugonjwa inapungua Sana.Unaweza kutueleza inakuwaje watu waliochanja wanapata corona?
1)Low morbidity
2)Low mortality
Mkuu tuendelee kuchanja ili tuutokomeze kabisa huu ugonjwa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app