Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna hii study ya juzi juzi tuu inaonesha chembe chembe za hizi chanjo zinaenda kubadilisha DNA ya seli za mwanadamu. Utahamasishaje watu wachanje wakati hatuna uhakika na madhara ya kubadilika kwa DNA zetu?

View attachment 2305643
Tatizo mkuu unaokoteza Sana vijarida mitandaoni, hiyo sio sawa
1)Nani ameandika Hilo jarida
2)Hiyo research imepita wapi na kuthibitisha kwamba ni kweli au sio kweli.

Mkuu, Kirusi kawaida ndicho kinachoingia na kujiviringisha katika DNA ya binadamu ili kutumia DNA ya binadamu Kama copy ya kuzalisha RNA ambayo ndio genetic material ya Kirusi.

Mkuu, jukumu la kuhakikisha dawa na chanjo za binadamu ni salama na zinafanya kazi ni jukumu la WHO na wizara ya Afya. Kama ambavyo tunakunywa maji ya chupa bila kuwa na wasiwasi wowote kwasababu tunauhakika kwamba serikali inafuatilia na kuhakikisha ni salama, vipi unashindwa kuiamini wizara ya Afya?, Dawa zote ulizowahi kuzitumia zipo chini ya wizara hiyo na hujawahi kuzitilia mashaka, vipi unakua na wasiwasi katika hili?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Whenever your discussing about the pathophysiology of hypertension don't forget inappropriate activation of the hormones that regulate water and salt excretion by the kidney,impared renal pressure induces hypertension
Which can just be managed by administration of diuretics drugs. They help in excretion of such fluids by inhibiting reabsorption of water and salt in the ascending loop of Henle and distal collecting tubule.
 
What I have shared is a research journal, it was written by approved scientists and people refer to it when an argument arises. Wewe hakuna evidence hata moja umeleta that support your claims. Your knowledge is below average to educate me.
Wewe tushakujua kumbe ni mkoroga mavi na kupima mayai ya amoeba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
St Peter clever international school DODOMA [emoji116]View attachment 2305608View attachment 2305609View attachment 2305610View attachment 2305611View attachment 2305612vipi bwana Tony254 upo.? Bado unataka battle na DODOMA .. hayo matawi ya abroad unayoizungumzia, utaleta shule ngapi kutoka hiyo village yenu bhana .? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Heb usinichekeshe
Haya Dom iko mbele sasa kwenye international. 3-2 so far Tony254 unasemaje hapa, tuendelee ama tusiendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
For your information Hypertension can't be treated but managed depending on it's cause. If it was caused by microorganisms then antimicrobial have to be used. But if was caused by lifestyle then it's the lifestyle that is reviewed. If it was caused by kidney problem, then diuretics are used.
Kwahiyo kwaakili yako hiyo inavyokutosha wewe modifiable risk factors and behavioural change ukizi address vizuri huwezi reverse the onset of hypertension?
 
Published research journals are like bible, you can't dispute it but only modify it. Even cardiologist will refer to these kind of articles when they want to confirm some things.
Now go to BNF and show us if they have stated anywhere that hypertension is a communicable disease

I am sure you are a lab technician and you have never published any paper in any medical Journals, and what are the uses of those articles.

There are so many researches posted in medical Journals every months, but they are mainly for academic references and to formulate basis for "Pharmaceutical industries to work on them if they prove to be correct, but most of these results tend to be incorrect or do change after some time.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mkuu unaokoteza Sana vijarida mitandaoni, hiyo sio sawa
1)Nani ameandika Hilo jarida
2)Hiyo research imepita wapi na kuthibitisha kwamba ni kweli au sio kweli.

Mkuu, Kirusi kawaida ndicho kinachoingia na kujiviringisha katika DNA ya binadamu ili kutumia DNA ya binadamu Kama copy ya kuzalisha RNA ambayo ndio genetic material ya Kirusi.

Mkuu, jukumu la kuhakikisha dawa na chanjo za binadamu ni salama na zinafanya kazi ni jukumu la WHO na wizara ya Afya. Kama ambavyo tunakunywa maji ya chupa bila kuwa na wasiwasi wowote kwasababu tunauhakika kwamba serikali inafuatilia na kuhakikisha ni salama, vipi unashindwa kuiamini wizara ya Afya?, Dawa zote ulizowahi kuzitumia zipo chini ya wizara hiyo na hujawahi kuzitilia mashaka, vipi unakua na wasiwasi katika hili?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dah, naokoteza tena, wakati nimekupa na link ya journal ilikochapishwa, hivi hata umeisoma? Huu utafiti ulifanyika Lund University ya Sweden.
 
Katika medical field hiyo ni hatua za mwanzo kabisa na matokeo ya research Moja au mbili zinatengeneza "Hypothesis". Haiwezikani matokeo ya research Moja au mbili ndio yakubalike kuwa ndio ukweli, Kuna hatua nyingi Sana kabla matokeo ya research kukubalika na kutumiwa katika kutengeneza muongozo wa tiba ya ugonjwa.

Hadi Sasa Hypertension ni non communicable disease na hakuna any micro - organism aliyethibitika kusababisha hypertension, hizo research bado zipo katika hatua za awali sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mpe shule kilaza wa maabara huyu.
 
Kwani zile zilizotaifishwa enzi za Magufuli, si waliambiwa wahudhurie mahakamani lakini wenyewe hawakutokea?, Sheria inasema ni fine kwanza

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
wanajua hilo zile zilipelekwa mahakamwani Mwanga wakapigwa fine wakashindwa kulipa sasa huko Uchaggani ndo msahau lazma wauzwe kufidia hasara! Yaani mnaacha kulisha ng'ombe zenu mashamba ya Uhuru Taveta mnakuja kulisha mashamba ya Watanzania? Nyoko sana nyie Wakenya!
 
Tafadhali jibu kwanza swali langu, wacha kujitia mwendawazimu.
Huko Kenya HBP ni communicable au non communicable disease?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
If it's as a result of cardiovascular infection then it's communicable but if it's because of other factors it's non communicable.
 
I'm talking about cardiovascular dysfunction and not cardiac dysfunction. Again explain to me like a kindergarten kid why cardiac dysfunction causes hypotension and not hypertension. I want to see something from you.
Cardiac diseases almost weaken heart muscles, heart becames weak to pump blood hence "tidal volume" decreases, The lower the tidal volume, the lower the pressure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom