Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani amekuambia kwamba Tatu city hakujajengwa, eti kwamba ni pori? Wacha kuchekesha watu wewe. Kuna viwanda vimekamilika na tayari vinafanya kazi.
We nae unaviashiria vya ukubwa jinga .......
Hiyo tatu inaowatoeni povu na mishipa ya uso mnaifananisha na dodoma city au magufuli city?

*Kama mnafananisha na domcity 3 ni takataka
*kama mnafananisha na magufuli city napo ni takataka anae bisha afanye kama anajikuna 😎 tuingie kwa ground
 
Una uhakika alijenga meli maziwa yote?

Ziwa Tanganyika alijenga Meli gani?

Ziwa Nyasa alijenga meli zikafa baada ya miezi 2 ya operations .

Hakuna meli inayofanya kazi Ziwa Tanganyika..

Ziwa Nyasa ali repair tuu ile MV Mbeya na MV Njombe vikafa baada ya miezi 2 tuu tena akiwa hai na mabilioni yaliteketea..

Ukweli ni kwamba alikuwa anapendelea ukanda wa kwao huko Lake Zone.

Hiyo hiyo miaka 5 amejenga meli na ku repair meli nyingi Kanda ya Ziwa ,nyumbani.

Si bora SSH aliyepita kwenye vichochoro vya Diploma kuliko aliyefoji pH.D na Kingereza hajui.

Amekufa sasa SSH anatekeleza ilani kwa speed Sana na mengine yaliyo nje ya ilani.

Haina impacts yeyote hiyo airport yenu, Mwendazake alikuwa anapendelea kwa sababu za kwao tuu..

Tunajenga hii hapa 👇

Siwezi ku post picha za viwanda ila nitataja baadhi..

1.Kiwanda cha Mbolea ,Intracom ,

2.Kiwanda cha kusafisha dhahabu,

3.Kiwanda cha Kutengeneza wines,

4.Kiwanda cha Magidoro,

5.Kiwanda Cha nyama,

6.Pale Nala kuna industria area ambapo Mchina wa TanChice anajenga viwanda vikubwa zaidi ya 6 nk nk

Awamu ya 6 tunaongea kwa namba sio majivuno..

Mizigo yaongezeka kwenye viwanja vya ndege 👇


Mkuu haya mapambio yamezidi sasa, punguza unaa. (SIASA=SI HASA).

Unaupiga mwingi hadi inakua kero, kiukweli "mkuu wetu" hapa kapata mpambe, Mpambe haswaa (first class mpambe).
Sina budi kumpa pongezi kwa hili,😁😁😁.

Mkuu umepewa nini/umeaidiwa nini mwenzetu.

Kila kitu kinamipaka yake, hatua uliyofikia umevuka mipaka (offside).

Hii thread inapoteza maana halisi (ile taste inapungua).
 
Inasemekana hizi ni data za Jan, 2022
25e2000ce3404e129a7bb518df683514.jpeg

Hivi sasa Simba (main accounts) wana
Facebook = 1M
Instagram = 3.9M, soon 4M
Twitter = 1M
Youtube = 0.3M

Total = 6.2M
 
Mkuu haya mapambio yamezidi sasa, punguza unaa. (SIASA=SI HASA).

Unaupiga mwingi hadi inakua kero, kiukweli "mkuu wetu" hapa kapata mpambe, Mpambe haswaa (first class mpambe).
Sina budi kumpa pongezi kwa hili,😁😁😁.

Mkuu umepewa nini/umeaidiwa nini mwenzetu.

Kila kitu kinamipaka yake, hatua uliyofikia umevuka mipaka (offside).

Hii thread inapoteza maana halisi (ile taste inapungua).
Mbwa wewe,akisifiwa Magufuli sio pambio ila nongwa kwa Samia..

Pili Umeona huu mjadala nimeanzisha mimi sio?

Unawashwa mkuu nduguyangu wewe sio bure..

Ukiona inakuboa ignore kama wenzako stupid monkey..

Unataka kujua nachopewa au nilichoahidiwa Ili kikusaidie nini? Nitolee shobo zako za unaa na upite kushoto.
 
Kumbe reasoning yako ni fikra za kuipita Kenya tu? All this time unalazimishaga ndoto zako ili muonekane mmeipita Kenya eti😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 u remain to be a joker for real., nilidhani uko serious kumbe ni wishful thinking tu na blind patriotism😂😂😂😂😂.,
Eti CBD tatu, na ata moja hakuna bado ni muonekano wa shopping centre, eti CBD😂😂😂😂.., dodoma bado ni Kijiji in Tanzania afadhali uongelee Mwanza jiji lililo choka na Arusha lakini sio Dodoma bana😂😂😂😂😂.,
Yaani ulazimishe an economic zone with over 70 companies some with international footprints na hizo investments chache za ka Dodoma? uko sawa kweli? Najua unaipenda na kuienzi Tanzania, lakini usijikoseshe ufahamu wazi wazi hivyo..,
View attachment 2304537
Dodoma naipea Thika Industrial town hapa Kenya.., na bado haitawezana nayo economically and aesthetically..,
Thika Industrial Town👇👇, zote na Tatu City ziko ndani ya Kiambu County.., Tanzania n Dodoma is growing yes, sikatai, lakini bado haijafika..,
View attachment 2304595
View attachment 2304602
View attachment 2304596
View attachment 2304599
View attachment 2304601
View attachment 2304605
View attachment 2304604
View attachment 2304606
View attachment 2304607
Thika sio mchezo. Hizo ni industries gani kwa picha ya kwanza na ya pili?
 
😁😁😁😁auko serious govement city with all ministries and its taasisi una compare na uushubwada wa 3? Pigo za kiree izo
Dodoma hii hii ambayo imejaa vumbi? Hata hakuna lami huko kwenye estates. Msimu wa mvua mnatembea kwenye matope.
 
Mkuu haya mapambio yamezidi sasa, punguza unaa. (SIASA=SI HASA).

Unaupiga mwingi hadi inakua kero, kiukweli "mkuu wetu" hapa kapata mpambe, Mpambe haswaa (first class mpambe).
Sina budi kumpa pongezi kwa hili,[emoji16][emoji16][emoji16].

Mkuu umepewa nini/umeaidiwa nini mwenzetu.

Kila kitu kinamipaka yake, hatua uliyofikia umevuka mipaka (offside).

Hii thread inapoteza maana halisi (ile taste inapungua).
Tulikubaliana huyo apuuzwe, usiendelee kujibishana naye tafadhali , unaona jinsi anavyokutukana?, Utajishushia hadhi yako bila sababu za msingi, mpotezee

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma hii hii ambayo imejaa vumbi? Hata hakuna lami huko kwenye estates. Msimu wa mvua mnatembea kwenye matope.
Onesha lami za Tatu village nikuoneshe lami za Dom, Wakenya msitafute pa kujificha baada ya kuona tumetumia pesa nyingi kujenga jiji la kisasa East and Central Africa, huwezi kulinganisha Dom city na Tatu village kisa kuna viwanda viwili huko Tatu village na msione tumekaa kimya ni kwasababu mm binafsi siwezi engage kwenye upuuzi wa kulinganisha jiji na village, kamwe siwezi. Wekeni thamani ya investment ya Tatu village niweke thamani ya investment ya Dom City msilete upuuzi. Alafu mlivyo wajinga eti mnaungana kabisa kuweka battle ya kipumbavu kama hiyo wakati ukweli mnaujua, wacheni ujinga.
 
Tatu city is the only city in East Africa where you won't find,
1. Overhead electric cables
2. Open sewerage
 
Back
Top Bottom