Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana nilikuwa na Wakenya na mganda mmoja tunapiga story baada ya kuwa tumetoka chimbo mahali.....aiseeh!!! Mkenya mmoja(Mkalenjin) akawa anatuambia kitu ambacho nilitamani kushare nanyi,alisema;

"Unajua kiukweli wakenya wengi tukiwa primary,secondary hadi university,walimu pamoja na lectures walikuwa wanatuaminisha kuwa hapa EA kenya ndio kila kitu,huwezi ukapata vitu vizuri nje ya Nairobi au Kenya ila baada ya Globalization hasa ujio wa social network imetufanya tufahamu kwamba kenya ni kama nchi zingine tu za EA"
nikamuuliza vipi,unaionaje Tanzania ya sasa(maana jamaa katembea sana hapa EA) jamaa akaamua kufunguka;

"To be honest,Tanzania mnapiga hatua kubwa sana kuishinda ata Kenya,mambo mnayo yafanya kenya tunahitaji miaka mingine 30 ndio tuwafikie........Unajua kenya,70% project nyingi zinategemea mikopo kutoka nje na hapo bado corruption inaingia,bora yenu mna commitment ya maendeleo " mwenzake alikuwa anatikisa tu kichwa kuwa anakubaliana na mtoa mada

Ninawasihi wakenya mliomo humu jukwaani jitahidini kuwa wawazi ni sehem moja wapo ya kupunguza stress za maisha
 
Shida ni jointed rail inaumiza kichwa. Nimezoea kupanda za Ulaya na marekani you can tell the difference kati ya continuous welded electric sgr na diesel powered jointed rail sgr.
Wewe ni mjinga na muongo, hujawahi kanyanga nje ya mkoa wa mbeya..
 
Tulianza kutumia vitu usafiri wa kisasa toka miaka ya zamani kabsa

#UDA
Sawa, lakini sidhani kama wakati huo (1970s -1980s) kulikuwa na miundombinu mizuri ya mass transit. Kama ingekuwepo, BRT system Dar ingekuwa established tangu zamani mno, Ila ilianza 2016.
47A1B9DD-9301-4622-B100-8536197DC56F.jpeg
 
Hizi madaraja tunazijenga kitambo tuu na mikoa kibao zipo ila nashangaa PM anastaajabu mambo ambayo yako Tanzania siku nyingi..

Anyway sio kosa lake yeye ni mwanasiasa ndio maana anashangaa..

Saizi tunajenga drainage hasa culver's kwa kutumia pre fabricated pipes na sio concrete au Mawe kama ilivyozoeleka.
Kwani wewe ni mjenzi ....mbona zanzibar awana madaraja ya maana hata kama ilo kuna sehemu nyingi zenji kuna vivuko vya ajabu ....au mjambiani mpumbavu sa100 ajui
 

Fresh produce export volumes at Eldoret airport rise ten-fold

Business
By Lynn Kolongei | Jul 18th 2022
1658210332860.png

Eldoret International Airport in Uasin Gishu County.[Christopher Kipsang, Standard]
Direct export of fresh produce from Eldoret International Airport to European markets has increased ten-fold, eight months after it was launched.
Freight volumes of exports to Belgium and the Netherlands have increased to an average between 40 tonnes and 50 tonnes per week, from about five tonnes in November last year, when the airport started the exports.
The airport’s manager Walter Agong’ said the facility can export up to 150 tonnes of fresh produce.
1658210677558.png

The market has also expanded to the Middle East.
Mr Agong’ urged farmers in the region to continue embracing commercial farming and horticulture for the export market to get good returns and boost the regional economy.
“The airport as it was envisaged is ready and will always support the export of fresh produce,” Mr Agong’ said.
“We are encouraging farmers to continue producing more so that we can be able to fill the planes and meet the demand. We have been concentrating on imports but it is time we diversified and focused on exports.”
He said the airport generated Sh2.2 billion in revenue through imports in the last financial year.
1658210696628.png

About 12 million tonnes of cargo were imported through the airport by 287 flights.
“What we are encouraging is that those 287 flights should not leave Eldoret empty when we have fresh produce in this region,” Agong’ said.
Fresh Produce Consortium of Kenya Chief Executive Okisegere Ojepat said the consortium has been diversifying exports out of Nairobi to other airports and urged farmers in the region to consider using the airport.
 

Emirates Resumes Cargo flights to Eldoret International Airport​


2020.
Emirates SkyCargo, the freight division of Emirates has announced the resumption of its scheduled cargo services to Eldoret. The route…
1658211238071.png


Emirates SkyCargo, the freight division of Emirates has announced the resumption of its scheduled cargo services to Eldoret. The route will be served by Emirates’ Boeing 777-300ER aircraft, twice a week, this is in addition to the airline’s passenger freighter service to Nairobi.
Emirates Cargo Manager, East Africa, Mr. Saeed Abdulla, said that Eldoret is a key hub that serves the west of Nairobi as it has over the years allowed Kenyan businesses to export directly to overseas markets.
“Emirates SkyCargo is fully committed to supporting Kenya. In April and May, we have supported trade to and from Kenya through our flights to Nairobi. With the opening of the Eldoret route, it is our hope that we will play our part in enabling local business communities in the journey to economic recovery in the midst of the ongoing pandemic,” said Mr. Abdulla.
1658211374819.png

Eldoret Internationa Airport
Emirates SkyCargo airlifts mostly fresh fruits, vegetables, mangoes, and meat from Kenya which are destined for the United Arab Emirates, Saudi Arabia, Bahrain, Oman, UK, Belgium, Netherlands, Luxembourg, and Australia.
Acting as a global conveyor belt for the transport of essential supplies including protective equipment, medical devices, pharmaceuticals, and food, Emirates SkyCargo operates cargo flights with its Boeing 777-300ER passenger freighters and its dedicated Boeing 777 freighters to over 80 destinations on scheduled and special charter services.
Drawing on its expertise as a global leader for the transportation of temperature-sensitive pharmaceuticals, since the pandemic broke out around the world, Emirates SkyCargo has been playing a key role in transporting personal protective equipment, medical equipment, devices, and pharmaceuticals
 
Halafu hawa walisema itakuwa brt Station ya mfano ila naona kama ya kawaida tuu.
Brt stations za phase II kwa kweli ni mbaya mno. Jana nilipita ile njia ya mbagala, Kwa kweli nilisikitika sana. Wachina wametuchezea. Ila sijui labda sababu bado havijakamilika kabisa. Ila steji vilipofika kwangu mimi naona dezaini yake ni mbaya!
 
Siasa za mwendazake na sukumagang zimesaidia kujengwa kwa Bwawa la Rusumo (Rusumo Hydropower Plant) for Kigoma, bwawa likianza hakuna sehem tutatumia mafuta kwa ajili ya umeme nchin, for more inqury, let me know
30 June, 2021
View attachment 2294624
Hatimae. September mambo yatakuwa shwari. Maono yake yatakuwa yametimia

 
Back
Top Bottom