Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Alizipunguza kama nani? Design expert au consultancy? Kwahiyo hapo treni itapita 50 km/h?Sio kusahau zilikuwepo ila kuna baadhi ya overpass Magu alizipunguza ili kuokoa hela
Alizipunguza kama nani? Design expert au consultancy? Kwahiyo hapo treni itapita 50 km/h?Sio kusahau zilikuwepo ila kuna baadhi ya overpass Magu alizipunguza ili kuokoa hela
Mombasa sijui diani sio saizi yetu saivi, saizi yetu akina ushelisheliTishio kubwa kwa mombasa 😂😂
Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidiUsimsikilize huyo jamaa anayeitwa joto la jiwe. Click hii link ya World Bank. World Bank inasema kwamba access to electricity in Kenya ni 71.4% wakati access to electricity in Tanzania ni 39.9%.
![]()
Jamen kama vitu hamjui ulizeni kwa wanaojua hiko kitu kwa 100% mpewe majibu, msije mkaishia kugeuss vitu vya uongo..Sio kusahau zilikuwepo ila kuna baadhi ya overpass Magu alizipunguza ili kuokoa hela
Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.
Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
siasa za Mwendazake na Sukumagang! Kigoma bado ni umeme wa mafuta!Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna
Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
Ni kweli mkuu porojo zimekuwa nyingi kuliko vitendo.siasa za Mwendazake na Sukumagang!
Asante sana, umejieleza vizuri. Karibu kwenye jukwaa.Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna
Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
Mjadala wenu kuhusu umeme, majibu yote yapo hapa.. kiufupi REA itatupaishaKuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
Siasa za mwendazake na sukumagang zimesaidia kujengwa kwa Bwawa la Rusumo (Rusumo Hydropower Plant) for Kigoma, bwawa likianza hakuna sehem tutatumia mafuta kwa ajili ya umeme nchin, for more inqury, let me knowsiasa za Mwendazake na Sukumagang! Kigoma bado ni umeme wa mafuta!
Na hata 100 halifiki manake hio vibration na bahat mbaya reli yao ni bolt joint 😂😂😂Hahahaha 100km/hr only![]()