Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,878
😂😂Hivi v2 kwao ni hadi uende 3stars hotel sio mtaani,Kenya kwa msosi ni big NO
Unachekesha sana
😂😂Hivi v2 kwao ni hadi uende 3stars hotel sio mtaani,Kenya kwa msosi ni big NO
Kwan hamupendi kuambiwa ukweli kua nyinyu ni failed state😂😂😂Hizi zinazotaja Kenya negatively huchelulewi kuleta huku. Lakini zinazotaja Tanzania negatively Ama zinarank Kenya mbele ya Tanzania zinapingwa na nguvu zote. Unafik wa kijinga sana!
Then you should know better.My other ID is Uhuru n Umoja.
Confirmed rat fever cases in tanzania
Wewe ni lini ulikubali kwamba Tanzania inaongoza kwa ufukara ukanda huu?Kwan hamupendi kuambiwa ukweli kua nyinyu ni failed state😂😂😂
Na ww upo nn ?? Kama upo na mm nataka kua mwanachama [emoji23][emoji23]
failed state, na ilhali huku makampuni tajika ulimwenguni ikizidi kuwekeza!!? aah?!Kwan hamupendi kuambiwa ukweli kua nyinyu ni failed state😂😂😂
Mmeshaanza kuiba hadi watu wa mataifa mengine na kuwafanya watu wenu?Truecaller's African Headquarters is in Nairobi, Kenya.
Google opened its first African product development center in Nairobi, Kenya.
IBM has a Research Lab in Nairobi, Kenya.
Visa's first African innovation studio is in Nairobi.
Bolt's African Headquarters is in Nairobi.
United Nations Environment Programme (UNEP)'s Headquarters is in Nairobi.
View attachment 2295839
View attachment 2295841
View attachment 2295843
View attachment 2295844
kisha kuna moja alikua analia juzi eti dar na nbi iko kwenye ligi moja.! nenda london ama newyork sshvi, hakuna mtu ata moja kwenye streets anaeweza tambua daresaalam iko pembe gani mwa ulimwenyu huuTruecaller's African Headquarters is in Nairobi, Kenya.
Google opened its first African product development center in Nairobi, Kenya.
IBM has a Research Lab in Nairobi, Kenya.
Visa's first African innovation studio is in Nairobi.
Bolt's African Headquarters is in Nairobi.
United Nations Environment Programme (UNEP)'s Headquarters is in Nairobi.
View attachment 2295839
View attachment 2295841
View attachment 2295843
View attachment 2295844
Kampuni gani inawekeza au kufungua ofisi ni kuwekeza 😂😂😂failed state, na ilhali huku makampuni tajika ulimwenguni ikizidi kuwekeza!!? aah?!
Sio mini cooper bro nakuja na jini moja hvi 😂😂😂 wewe niunganisheKilete Ki Mini chako mkuu tukuache kama umesimama[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23].
Ww uko wap hapo mbona yako sioni sasa 😂😂😂😂
Ukweli hamuutaki kabisa kwann lakini😂Wewe ni lini ulikubali kwamba Tanzania inaongoza kwa ufukara ukanda huu?