Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

failed state, na ilhali huku makampuni tajika ulimwenguni ikizidi kuwekeza!!? aah?!
Unajua vigezo vya kuwa "failed state?", Makampuni ya kigeni kufungua ofisi, hakusababishi kutokua failed state. Serikali yoyote iliyoshindwa kuwalinda raia wake kiasi kwamba wanajulinda wenyewe kwa kumiliki silaha haramu Kama ilivyo katika jamii za Turkana, Samburi na Pokot, hicho ni kigezo muhimu kwa nchi kuwa "failed state".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
coodip1 Looks like the whole country will trek to the beach this Tuesday [emoji23][emoji23]

You’re really stupid for saying Europeans don’t need air conditioning and that if they want to cool down, their beaches will suffice

This is just a blip in otherwise relatively cool weather pattern. Can you really put an AC for just a day of unsuspecting historic temperature rise or heatwave? Akili uliacha wapi?
Screenshot_20220718-235435_Opera.jpg
 
hebu oneni tu venye mna shangilia na kujivunia hio kampuni moja yenye ili infringe into your country by default from kenya. hio tu ili slip off by mistake due to some misunderstanding that could be resolved eazily...
sa unadhania tuko na ngapi kaa hizo!
Endelea kujidanganya
 
Shida ni jointed rail inaumiza kichwa. Nimezoea kupanda za Ulaya na marekani you can tell the difference kati ya continuous welded electric sgr na diesel powered jointed rail sgr.
Wewe ni mjinga na muongo, hujawahi kanyanga nje ya mkoa wa mbeya..
 
yote ni kuwekeza, hio ajira nayo!?.. bahati yenu kulikua na msukosuko kiasi, othws ata hio dangote cement ingekua humu nchini kwetu.. tanganyika hamna lolote ila empty office spaces posta
Taja hizo ofisi zozote zimeajiri wakenya wangapi na jumla ya pesa iliyoingia Kenya ni kiasi gani, kisha linganisha na watu walioajiriwa na kiwanda kimoja tu cha Dangote Tanzania, na pesa aliyoingiza Tanzania[emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu hata wenzako wanakushangaa kulinganisha kichwa cha treni ya ufundi na kuchwa cha treni inayotoa huduma and by the way bado kichwa cha treni ya ufundi ni kizuri na specs zake ziko juu sana.
Unadhani hata anajua kwamba hicho ni kichwa cha majaribio?, Huyo jamaa ni zero brain kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Halafu wacha kuropokwa hovyo. 95% sio universal coverage. Universal coverage ni 100% coverage.
Wewe ni mtu wa "balance sheet" hujui lolote kuhusu "scientific/community researches results'. Unajua maana ya 100% coverage?. Hiyo maana yake hata kule kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro kwasababu Kuna shughuli za kiuchumi basi lazima umeme uwepo.

Hakuna 100% coverage rate duniani, katika chanjo za kuzuuia magonjwa, ikifika 98% hiyo inakubalika kuitwa ni 100%, huwezi kuchanja watu wote nchini.

Katika kuhesabu watu(Sensa), ukiweza kuhesabu 90% ya watu wote, hiyo inakubalika kuitwa 100%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
This is just a blip in otherwise relatively cool weather pattern. Can you really put an AC for just a day of unsuspecting historic temperature rise or heatwave? Akili uliacha wapi? View attachment 2295971
Thanks for the news articles from last month. By the way, people have been advised to avoid unnecessary travel due to the anticipated extreme heat.

CD726014-9863-4B16-94B6-F574F0BF1728.jpeg
E2B16B14-E7CC-4843-AC74-AC3F1875E0A3.jpeg
 
Wewe ni mtu wa "balance sheet" hujui lolote kuhusu "scientific/community researches results'. Unajua maana ya 100% coverage?. Hiyo maana yake hata kule kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro kwasababu Kuna shughuli za kiuchumi basi lazima umeme uwepo.

Hakuna 100% coverage rate duniani, katika chanjo za kuzuuia magonjwa, ikifika 98% hiyo inakubalika kuitwa ni 100%, huwezi kuchanja watu wote nchini.

Katika kuhesabu watu(Sensa), ukiweza kuhesabu 90% ya watu wote, hiyo inakubalika kuitwa 100%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahaha. Aisee wewe ni comedian kwenye jukwaa hili.
 
Back
Top Bottom