Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0243.jpg
 
Kampuni gani inawekeza au kufungua ofisi ni kuwekeza 😂😂😂
yote ni kuwekeza, hio ajira nayo!?.. bahati yenu kulikua na msukosuko kiasi, othws ata hio dangote cement ingekua humu nchini kwetu.. tanganyika hamna lolote ila empty office spaces posta
 
yote ni kuwekeza, hio ajira nayo!?.. bahati yenu kulikua na msukosuko kiasi, othws ata hio dangote cement ingekua humu nchini kwetu.. tanganyika hamna lolote ila empty office spaces posta
Kufungua ofisi alaf bado wanaajiri watu wao kutoka nchi zao wenyewe alaf nyinyi bado muna unemployment rate kubwa zaidi africa 😂😂😂😂 leo utashangaa mpaka mashirika yenu bado yameshikwa na wageni just imagine

Dangote kaekeza zaidi ya 1b usd na kaajiri watu zaidi 20,000 direct and indirect so na sasa hvi anajenga kiwanda kipya cha chokaa zaidi ya 350m usd inaigia tena
 
Umekoma? Ulipandia SGR wewe wapi maskini wa mbeya?
Ila we jamaa ni fala sana
Shida ni jointed rail inaumiza kichwa. Nimezoea kupanda za Ulaya na marekani you can tell the difference kati ya continuous welded electric sgr na diesel powered jointed rail sgr.
 
Kufungua ofisi alaf bado wanaajiri watu wao kutoka nchi zao wenyewe alaf nyinyi bado muna unemployment rate kubwa zaidi africa 😂😂😂😂 leo utashangaa mpaka mashirika yenu bado yameshikwa na wageni just imagine

Dangote kaekeza zaidi ya 1b usd na kaajiri watu zaidi 20,000 direct and indirect so na sasa hvi anajenga kiwanda kipya cha chokaa zaidi ya 350m usd inaigia tena
hebu oneni tu venye mna shangilia na kujivunia hio kampuni moja yenye ili infringe into your country by default from kenya. hio tu ili slip off by mistake due to some misunderstanding that could be resolved eazily...
sa unadhania tuko na ngapi kaa hizo!
 
Truecaller's African Headquarters is in Nairobi, Kenya.

Google opened its first African product development center in Nairobi, Kenya.

IBM has a Research Lab in Nairobi, Kenya.

Visa's first African innovation studio is in Nairobi.

Bolt's African Headquarters is in Nairobi.

United Nations Environment Programme (UNEP)'s Headquarters is in Nairobi.
View attachment 2295839
View attachment 2295841
View attachment 2295843
View attachment 2295844
Njaa headquarters is in Nairobi

Uchafu headquarters is in Nairobi

Corruption headquarters is in Nairobi

Tribalism headquarters is in Nairobi

Slum headquarters is in Nairobi
 
Back
Top Bottom