Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMF imeidhinisha mkopo wa zaidi 2.3 Trilioni kwa Tanzania 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-093257.png
    Screenshot_20220719-093257.png
    110.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220719-093339.png
    Screenshot_20220719-093339.png
    47.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220719-093352.png
    Screenshot_20220719-093352.png
    51 KB · Views: 16
40% ya Cargo ya Uganda tuliyokuwa tumewaazima Kunyaland tunaenda kuirudisha baada ya SGR kukamilika 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-064037.png
    Screenshot_20220719-064037.png
    122.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220719-063815.png
    Screenshot_20220719-063815.png
    126 KB · Views: 16
Baada ya Kigoma kusahaulika,Hatimaye Umeme wa grid ya Taifa kufika Kigoma.

Kazi mzuri ya Serikali ya SSH na Wizara ya Nishati 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-063432.png
    Screenshot_20220719-063432.png
    53 KB · Views: 16
Sio Tarura pekee wanaofungua Nchi kufika kusiko fikika bali hata TanRoads..

Kazi iendelee 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-064425.png
    Screenshot_20220719-064425.png
    110.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20220719-064359.png
    Screenshot_20220719-064359.png
    121.4 KB · Views: 17
Faith Kipyegon is the first woman to win four 1500M world championship medals.

Beijing '15 [emoji1627]
London '17 [emoji1628]
Doha '19 [emoji1627]
Oregon '22 [emoji1628]

G.O.A.T

IMG_100647_19722.jpeg


Kenya sasa ni ya tatu kwa medal standings

IMG_100640_19722.jpeg
 
Na JPM sio? Msukuma mkabila! Kwa akili yako mbovu unaweza kudhani Rusumo Hydropower ni yeye ndiye aliyeleta mradi!
😂😂 kwani mradi uliianza kujengwa mwaka gani ok basi tufanye hvi tuondoe mradi wa rusumo , je jnhp ikikimalika kigoma bado watatumia mafuta kuzalisha umeme?? 😅😅😂 bro umeishiwa bora ujinyamazie na chuki zako
 
😂😂 kwani mradi uliianza kujengwa mwaka gani ok basi tufanye hvi tuondoe mradi wa rusumo , je jnhp ikikimalika kigoma bado watatumia mafuta kuzalisha umeme?? 😅😅😂 bro umeishiwa bora ujinyamazie na chuki zako

Kwa hiyo kwa vile kimeanza kujengwa 2017 basi yeye ndiye alitafuta funds? FYI kituo cha umeme badala ya kuwa Biharamulo kimepelekwa Chato!
Rusumo-dam-again.jpg
 
Jana nilikuwa na Wakenya na mganda mmoja tunapiga story baada ya kuwa tumetoka chimbo mahali.....aiseeh!!! Mkenya mmoja(Mkalenjin) akawa anatuambia kitu ambacho nilitamani kushare nanyi,alisema;

"Unajua kiukweli wakenya wengi tukiwa primary,secondary hadi university,walimu pamoja na lectures walikuwa wanatuaminisha kuwa hapa EA kenya ndio kila kitu,huwezi ukapata vitu vizuri nje ya Nairobi au Kenya ila baada ya Globalization hasa ujio wa social network imetufanya tufahamu kwamba kenya ni kama nchi zingine tu za EA"
nikamuuliza vipi,unaionaje Tanzania ya sasa(maana jamaa katembea sana hapa EA) jamaa akaamua kufunguka;

"To be honest,Tanzania mnapiga hatua kubwa sana kuishinda ata Kenya,mambo mnayo yafanya kenya tunahitaji miaka mingine 30 ndio tuwafikie........Unajua kenya,70% project nyingi zinategemea mikopo kutoka nje na hapo bado corruption inaingia,bora yenu mna commitment ya maendeleo " mwenzake alikuwa anatikisa tu kichwa kuwa anakubaliana na mtoa mada

Ninawasihi wakenya mliomo humu jukwaani jitahidini kuwa wawazi ni sehem moja wapo ya kupunguza stress za maisha
Wakenya wengi wanasema hivyo hivyo, ukweli ni kwamba wakenya waliaminishwa hivyo toka wakiwa watoto
Tony254
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kigoma inazidi kufunguliwa kwa miundombinu,pongezi kama zote Kwa Serikali 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-064244.png
    Screenshot_20220719-064244.png
    113.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220703-154856.png
    Screenshot_20220703-154856.png
    182.6 KB · Views: 18
Back
Top Bottom