7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Halafu ukiangalia idadi ya walaji ni wachache kuliko wingi wa chakula, kwahiyo hata ukila kwa pozi bado utashiba tu [emoji4][emoji4]Haha mnakula cha hamu tu we huoni ilo mixer lilivyokaa kimtego...mboga nyingi kuliko chakula[emoji3][emoji3][emoji3] ,my point is Tz tunakula na kusaza mana tunalima,nyie hadi unga mnawekewa ruzuku?SMH