Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unapingana na serikali yenu? Serikali yenu imesema kwamba Tanesco ilikuwa na 2.9 million customers mwaka wa 2020. Sasa data gani mpya unangojea?
Ebu soma data za Simon halafu ulinganishe na hiyo ya 2020.[emoji3][emoji3]
 
Punguza upumbavu wako, wewe sema ni nchi gani duniani ambayo serikali imewaingizia umeme na maji hadi ndani kwenye Nyumba za watu binafs.

Jukumu la serikali nikufikisha maji na umeme hadi karibu na makazi ya wananchi, kisha kila mwananchi ataomba ili kuingiziwa maji na umeme Nyumbani kwake.

Kitendo cha wananchi kuweza kuzifikia huduma za kijamii kwa karibu, hiyo ni" accessibility", na kitendo cha wananchi kuwa na uwezo wa kulipia ili kuzipata hizo huduma za jamii ni ,"affordability" na kitendo cha wananchi kupenda kuzitumia hizo huduma ni" acceptability".

Hapa tunazunguamzia "accessibility" ya huduma za kijamii, Hilo ni 100% jukumu la serikali, hayo mengine ya "affordability na acceptability", kwa sehemu kubwa ni jukumu la mtu binafsi, japo ni jukumu la serikali kushusha gharama ili ziwe ni "affordabl" kwa wananchi wengi zaidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii mijitu ni mibishi sana hata uwape semina elekezi bado akili zao zimedumaa na propaganda walizo fundishwa toka shuleni kuhusu Tanzania.
 
BMW Club Tz.

IMG_0228.jpg

IMG_0229.jpg

IMG_0230.jpg
 
Kwa sasa hivi Tanzania ni gateway ya wachezaji kwenda Egypt , Morocco na south Africa . Kulikua na mghana namungo Steven sey kama nimeandika jina lake sawa sawa after one season alipata team Egypt , tena alikua namungo , yaani ligi ya bongo unapata hela plus mileage ya kuonekana . Ndio maana hata waandishi wa West Africa uwa wanakuja kuangalia mpira kwenye baadhi ya mechi
South of Sahara ligi ziko mbili tuu South Africa and Tanzania zingine zote ni amateur.
 
Nyie mmeanza kutumia hiyo low class sgr ndio tambo zote hizi kama sgr nishapanda sana tena za speed zaidi ya mara 4 ya sgr yenu.
Ulipandia kwa ndoto zako labda sababu Danganyika hakuna SGR inabeba abiria.
Wakenya washachoka na kubebwa na SGR, ni kitu cha kawaida ..unaweza book ticket kutumia simu
Screenshot_20220718-154305.jpg
 
Wakenya, njooni muwachukue hawa wake wawajengee madaraja kwa Bei nafuu badala ya kuwaita wachina

Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Hizi madaraja tunazijenga kitambo tuu na mikoa kibao zipo ila nashangaa PM anastaajabu mambo ambayo yako Tanzania siku nyingi..

Anyway sio kosa lake yeye ni mwanasiasa ndio maana anashangaa..

Saizi tunajenga drainage hasa culver's kwa kutumia pre fabricated pipes na sio concrete au Mawe kama ilivyozoeleka.
 
Sasa mbona huyu mwongo kwa jina joto la jiwe anatudanganya kwamba bei ya kuconnect umeme ni Tsh 30,000 kumbe ni Tsh 300,000. Kwa kila maneno 100 ya Joto la jiwe chukua sufuri.
Magufuli alifanya bei flat 27k kila mahali lakini ikaja ikabadilishwa watu wa rural areas cost imebakia 27k ila urban centres ndio imepanda.
 
Magufuli alifanya bei flat 27k kila mahali lakini ikaja ikabadilishwa watu wa rural areas cost imebakia 27k ila urban centres ndio imepanda.
Tena hao wa Nje ya Grid/Off Grid Wana Bei yao maalumu ,on top of that Kuna mradi wa peri urban nao wanakuwa kwenye favour ya punguzo la Bei..

Waziri Amesema 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220716-112036.png
    Screenshot_20220716-112036.png
    193.6 KB · Views: 20
Wakulima waipongeza serikali Kwa kuwalambisha asali 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220718-094307.png
    Screenshot_20220718-094307.png
    159.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220718-094338.png
    Screenshot_20220718-094338.png
    159.5 KB · Views: 26
Tunaendelea kuifungua Nchi kufika kusiko fikika hadi PM anashangaa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-211317.png
    Screenshot_20220717-211317.png
    107.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220717-211333.png
    Screenshot_20220717-211333.png
    196.4 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220717-211245.png
    Screenshot_20220717-211245.png
    158.7 KB · Views: 22
Ni pongezi kila Kona kwa SSH..

Tutawaonesha tuu hata kama mnajifanya hamuoni 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220718-145542.png
    Screenshot_20220718-145542.png
    151.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20220717-155926.png
    Screenshot_20220717-155926.png
    86.8 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220717-160208.png
    Screenshot_20220717-160208.png
    66.9 KB · Views: 19
Back
Top Bottom