Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Data ni za 2020 kwamba ni 39.9,na wewe unaamini tupo hapo,hazijaongezeka?

WB wakisema mkoa wa Kilimanjaro ni mkubwa kuliko Tanga na wakaweka data utakubali kuwa ni sawa,huwezi kufikiri nje ya hapo kwa kuwa chombo cha kimataifa ndicho kimesema?
Huyo eti ni mtumishi wa serikali na hajui kabisa kile kinachofanyika serikalini, Sasa watumishi wa namna hii kweli wanaweza kutuvusha?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa reli ipi inapita mpk barabara kubwa.. ila upande wa huku barabara ya g/mboto (mataa) hakuna shida.. space ipo ya kutosha hata kwenye services road wanaweza kujenga kwa shape ya L. shida ni huko kwenye nyumba
Hapa waje wafanye maarifa hii overpass iwe flyover kabisa ije iungane na BRT PHASE III la sivyo mkanganyiko wa wanaotoka mjini kuingia hii njia utabaki palepale kitu kama overpass inayoungana na flyover/interchange kama ya Mloganzila!
 
Namungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.
Ila wakenya waache kulalamika bna, wanalialia Sana
 
Kipigo cha karne. Twitter kilio😂😂
IMG_20220718_133732.jpg
 
Bro hiki unachoongea hakihusiani kabisa na upatikanaji na umeme. Ni kweli kuna watu wengi wako mjini la umeme hawana ni kwa sababu ya umasikini tu. Kuna watu wako mjini lakini hiyo 300,000 ya kuunganishwa umeme hawana. Sio kwamba umeme hakuna laa.......mara nyingi nguzo ziko mbele ya nyumba zao.

Juzi nilipita chongoleani. Nikauliza mbona umeme upo lakini naona nyumba nyingi hazina umeme? Jibu nilipewa ni kwamba pale panahesabika kama mjini (Tanga) kwahiyo wakitaka umeme lazima walipe 300, 000. Nikaelewa vizuri tu. Na kama ukifika ni bush kabisa ingawa ni kama dakika 15 tu kutoka Tanga mjini.
Sasa mbona huyu mwongo kwa jina joto la jiwe anatudanganya kwamba bei ya kuconnect umeme ni Tsh 30,000 kumbe ni Tsh 300,000. Kwa kila maneno 100 ya Joto la jiwe chukua sufuri.
 
@Tony254 kwahiyo hizi ripoti zote za serikali kwako hutaki kuziamini badala yake unaamini walevi humu JF?, Wewe uko na wivu Sana kwa Tanzania. Kuna huyo tuusan anajiita ni muajiriwa serikalini, lakini Hana uwelewa wowote wa mambo yanayofanyika serikalini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii ripoti naamini ni ya kweli. Inasema Tanesco ina customers 2.9 million. Hahahaha
 
Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.

Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mumetupiku wapi wakati Tanesco ina 2.9 million customers na Kenya power ina zaidi ya 5.9 million customers???
 
Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.

Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Halafu wacha kuropokwa hovyo. 95% sio universal coverage. Universal coverage ni 100% coverage.
 
Ni sawa ,uhakika tumeshavuka hapo tena kwa kiwango kikubwa sana.

Zamani umeme ulikuwa ni kama anasa kwa watu wengi sababu gharama zilikuwa juu sana hivyo ni watu wachache waliokuwa wanamudu kuunganishiwa tena wa mjini.

Baada ya kutangaza bei ya 27 kwa vijijini na pembezoni mwa miji muamko umekuwa mkubwa watu kuhitaji kuunganishiwa. Data mpya zikitoka zitashangaza wengi
Sasa unapingana na serikali yenu? Serikali yenu imesema kwamba Tanesco ilikuwa na 2.9 million customers mwaka wa 2020. Sasa data gani mpya unangojea?
 
Back
Top Bottom