Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo siyo la cable?
kwa kweli sioni dalili ya cable, labda tusubirie nguzo zote zikamilike. Kwa sababu walisema kutakuwa kuna nguzo tatu kuu katikati labda hizo ndio zinaweza fungwa cable kuongeza ubora na muonekano.
1658125028813.png
 
Hio ni according to akili zenu za kitanzania....sisi wengine duniani tunapima access to electricity na the number of households connected to electricity
The idiots don't know kuna tofauti ya accessibility na real connection.,., nyaya za umeme zikipita nje ya nyumba yako haimaanishi wewe uko na umeme kwako nyumbani, u have to connect., ndio maana connectivity ya Tz is low, though govt ime enhance availability thus easy accessibility, but kwa ajili ya ufukara wao ulio tapakaa vijijini, few are connected to the grid.,
Cc
coodip1
 
Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna

Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.

Acha kulalamika mzee magufuli hakuwa mjinga alivyoshusha gharama za kuunganisha umeme hadi 27k kwa sababu alijua watu wengi walikua hawawezi kumudu gharama za kuunganisha umeme na mpango wake ilikua watu waunganishiwe bure punde bwawa litakapokamilika ila sasa awamu mpya iliyongia ndo wamevuruga kabisa kwa kuongeza gharama na sijui kama wanampango wakushusha kwaiyo tukae kwa kutulia sindano ituingie
 
Siasa za mwendazake na sukumagang zimesaidia kujengwa kwa Bwawa la Rusumo (Rusumo Hydropower Plant) for Kigoma, bwawa likianza hakuna sehem tutatumia mafuta kwa ajili ya umeme nchin, for more inqury, let me know
30 June, 2021
View attachment 2294624
Jibu zuri sana Geza ni wakupotezewa naona ana ugonjwaa wa kusahau sahau
 
Na hata 100 halifiki manake hio vibration na bahat mbaya reli yao ni bolt joint 😂😂😂
Nimesafiri na SGR from Mombasa to Nairobi, inafika 116km/h, wacha porojo, kila coach has a small digital screen above the corridor entrance showing moving speed., and I was watching it, the train was running between 95 and 116KM/h.., averagely., inachezea 105 to 110 sana sana., so wewe ni muongo., kaulize yeyote ambaye ametumia SGR.,

Na kuna wakati inashuka hadi 75km/h., I guess coz of timing ile inayotoka Nairobi, maana kuna mahali zinapishana, lazima zifike pale kwa pamoja., but nadhani kama hakuna oncoming train., from Nairobi to Mombasa and vice versa mwendo inaeza kuchukua around 3 hours..,
 
Imeshinda hata Nairobi pia
Ila wao wako na hii sehemu moja tu inayopendeza na skyscraper ndefu zinazohesabika, yaani ni kama Dar, yenye sehemu moja looking dope, mbali na hapa hakuna sehemu nyingine with such👇 looks or same type of buildings ., so haiwezi kushinda Nairobi ata Ethiopians watakuambia wenyewe, maybe ungesema hii 👇aesthetics., it looks dope.,
1658125761829.png
 
Ata hapa jiji la Mwanza kata nyingi hazina umeme watu wanaushi mijini lakini hawana access ya umeme, na hapa ni Mwanza je vipi kuhusu mikoa mingine, hizi siasa za Tanzania ni za ajabu sana, manguzo yametelekezwa chini yapata mwaka mmoja na nusu yapo barabarani. Kwenye ukweli tuseme sizan kama access ya electricity inafikia ata 30% kwa watanzania, tatizo lingine wachangiaji wapo Dar wanazani na sehemu nyingine za Tanzania kuna umeme.
Mwanza tuna ziwa victoria lakini maji tunapata mara moja kwa mwezi na ziwa tunaliona.
Nazungumza fact huduma za kijamii kwa Tanzania bado tupo nyuma sana.
Tuendelee kushindanisha maghorofa ya mji fulani na mji fulani, ikiwa huduma muhimu hakuna

Nchi nyingi za scandinavia hazina majengo marefu kama ya posta au Nairobi lakini wapo mbali sana kiuchumi na huduma bora za kijamii.
NB; POVU RUKSA KWA WAPUMBAVU.
Mkoa wenye access kubwa ya umeme ni Kilimanjaro ,Mkoa wa kilimanjaro suala la umeme wako levels,hata maji na mambo mengine ya msingi
 
So east upanga ni sawa na mombasa yote 😂😂😂😂.
Ni kama tu vile Eastlands ni zaidi ya Dar CBD yote na Kariokoo mara mbili 😂 😂 😂 😂 😂
 
Tanesco ilikuwa na 2.9 million customers wa umeme in 2020. Kenya power ilikuwa na 5.9 million customers in 2017. Hata kama mnapenda ubishi namna gani, huwezi kulinganisha 2.9 million customers wa umeme na 5.9 million customers wa umeme. World Bank wanaposema kwamba access to electricity ya Kenya ni 71.4% na ya Tanzania ni 39.9% wao sio wajinga, wanajua wanachosema.

Cc joto la jiwe coodip1 chongchung
Cc Geza Ulole
Mi naenda na wewe kwenye hili, mtu kama umekula alafu jirani akasema mbona sijaskia ukipika wewe unapungukiwa nn apo?kama a cess iliongezeka wangepewa takwimu na wahusika mana najua hizi taarifa nyingi wanazitoa kwenye mamlaka na wanajiridhisha nazo kabla hawajaziweka kwemye maandishi
 
Narudia tena kwa mara ya mwisho kwamba Tanesco ina 2.9 million customers wa umeme wakati Kenya power ina zaidi ya 5.9 million customers wa umeme.

Cc joto la jiwe coodip1 chongchung
Sema tu unataka debate na umekosa mtu wa kudebate nae... idadi ya connected customers umeikubal kama ilivyo, ila % ya access to electricity unaikwepa kama radi😂

Uko tayar kuniletea total distance ya transmission lines zote zilizoko Kenya?

Afu mnatumia 7% ya umeme wenu kwa kutumia diesel (imported) ambayo inazidi kupanda bei kila kukisha, hapa serikal yenu au wananch mtagharamia ongezeko la hzi bei.. (yan badala ya kutumia hela yenu kujenga mf shule, nyie mnahangaika kuitumia kulipia importation ya diesel, afu dah hata SGR yenu inatumia diesel)

20220718_095006.jpg

Screenshot_20220718-094551_Chrome.jpg

Meanwhile sisi tunatumia 0.15% umeme wetu kwa kuzalisha kupitia diesel.. sisi bei ya mafuta haituaffect kama inavyowaaffect nyie..
Hapo bado Rusumo Hydropower Plant na Nyerere Hydropower Plant hazijaanza kufanya kazi
20220717_224843.jpg
 
Back
Top Bottom