Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
DAILY DOSAGE 💉💉
Kuna surge ya watalii kwa clubs za westlands thanks to the expressway.
Hivi Watanzania mnajua busaa ni nini?Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "Chapo", "Githeri" na "mpango wa kando", "chang'aa" na "busaa".
Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary
By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15, 2022 03:44 (EAT)
![]()
- The OED noted that the inclusion of the words is due to the popularity of the Swahili language that is common in East Africa and is spoken by over 200 million people.
- The OED explained that the current update features several new and revised entries for Swahili-origin words which are said to belong to the semantic domains.
The Oxford English Dictionary (OED) has incorporated some of the most common Kenyan words and phrases into its roster in the latest update.
The OED noted that the inclusion of the words is due to the popularity of the Swahili language that is common in the East Africa region, and spoken by over 200 million people globally.
“We're pleased to announce that we've updated our World Englishes page with resources from Kenyan English, Nigerian English, Tanzanian English, and Ugandan English and added a plethora of Kenyan words as part of the updates made in June 2022,” stated the OED.
The OED explained that the current update features several new and revised entries for Swahili-origin words which are said to belong to the semantic domains of East African clothing, cookery, and built environment.
In the now updated list, common Kenyan dialects such as Mpango wa kando, chapo, uhuru, nyama choma, githeri, chang'aa, busaa, come-we-stay, jembe, buibui, sambaza, sheng and collabo will be part of the dictionary.
Other words include; pressed, tarmac, shrub, muratina, kamba, sufuria, merry-go-round, isukuti, jiko, mandazi, mabati, among others.
In Kenya, most of the words are derived from the local vernacular tong’ues, Swahili and 'Sheng', which has also been added to the list and defined by OED as “a street language blending Swahili with lexical and grammatical elements from English and other languages.”
Some of the words borrowed from Swahili and directly translated to bring out the same meaning as intended are; jembe, buibui, nyama choma, mandazi and mabati.
Words derived from the same Swahili lingua but bring out different meanings include ‘Mpango wa kando’, which in OED is defined as sexual relations with someone other than one’s spouse or partner.
Sheng and English words which now have altered meanings according to the OED are; tarmac which in Kenya means to walk the streets looking for work but globally is a term for a road made by combining crushed stone, tar, and sand.
Others are; shrub (pronounce or write a word in another language in a manner that is influenced by one's mother tongue) and merry-go-round (an informal cooperative savings scheme, typically run by and for women).
Similarly, other lingos emanating from local dialects such as the Luhya community’s isukuti and Kikuyu’s muratina have been added to the new edition of the OED.
![]()
Chapo, Githeri, Mpango wa kando among Kenyan words added to Oxford Dictionary
The OED has incorporated some of the most common Kenyan words and phrases into its roster in the latest update.www.citizen.digital
Unachokifanya nikama vile kuwa mshabiki wa Aston villaMjukuu Kariokoo imepitwa na wakati, soko la mitumba kwa wingi kama Gikomba utanidanganya kweli?., uchumi wa Eastleigh sio mchezo bana..,

Mnaharibu kiswahiliHivi Watanzania mnajua busaa ni nini?
Yes.. Nigerians and Ghanians are relocating to Kenya massivelyKuna surge ya watalii kwa clubs za westlands thanks to the expressway.
Drug dealersYes.. Nigerians and Ghanians are relocating to Kenya massively
Hivi bado wanazuia raia wa nchi nyingine kwenda China?Leo safari za Dar-Guanzhou zimerejea kwa kishindo kikubwa, aisee wachina noma yn wameijaza 787-8 kama nauli ni ya kutoka Dar kwenda Mwanza![]()
Sasa tofauti yake na MGR ni nini maana hiyo ni speed ya MGR tanzania japo vichwa vyetu vya MGR vinaenda hadi 120kphKwenye maneno 100 ya mkunya usichukue hata moja, alafu ukweli walikuwa wanaujua lkn wote wakiwa wanaitetea wanasema 120, Wakenya ni wajinga sana. Mbn cc hatupo hivi?View attachment 2293297
Sawa sawa kabisa, kuna watu wanapotosha maksudi ila haiwasaidii kituMkuu, wakati Magufuli anaingia madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.
Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%
![]()
Tanzania records highest percentage in access to electricity
Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.www.esi-africa.com
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app


Hata ujitetee vipi lakini hapo kubali mmepigwa.Hakuna aliyewadanganya nyinyi watu wa Republic of Lazystan.
Ulisikia wapi kwamba cargo trains za Kenya zina maximum speed ya 120 km/h? Hii sio passenger train. Passenger train ndio inagonga 120 km/h.
Leo safari za Dar-Guanzhou zimerejea kwa kishindo kikubwa, aisee wachina noma yn wameijaza 787-8 kama nauli ni ya kutoka Dar kwenda Mwanza![]()
Umeme hadi kijijini ndio access to electricity kwamba umeme umefika kila eneo sasa kuunganisha ni mapenzi ya mteja mwenyewe ila sio kwamba umeme hakuna hiyo ndio acess hata akienda kwa jirani kuchaji simu bado ni access to electricity hiyo.Kwasababu mahali popote duniani uunganishwaji wa umeme unapimwa kwa idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme against idadi ya nyumba zote... Nyinyi tu ndo mnatumia vigezo vya vijiji
Thibitisha kuwa hii ni cargo train tafadhali.Ni meno unatumia kama akili
Huoni iyo ni cargo train!!!
Hahmna international flights za kuenda Guangzhou na ndio maana hata ukisearch flights unaambiwa hakuna ndege
View attachment 1669436
Tony thibitisha kama hiyo ni cargo train.Hawajanijibu. Wamenyamaza when they realised they were being stupid.
8 hour power-cuts in South Africa. The most developed country in Africa. Africa sijui tulirogwa na nani?


