Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.

Cc 7seven
Hii data ni 2015, WB bado hawaja "update" data zao. Angalia data za 2013 za World bank na hii ambayo unadai ni 2020 uone Kama Kuna tofauti, hii data ni kabla ya Magufuli hajaingia madarakani, hii ni enzi za Kikwete.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu porojo zimekuwa nyingi kuliko vitendo.
Siku tukipata akili tutaelewa kwanini wenzetu wa kenya wanawekwa kuwa ni second world while Tanzania ni third world, unazani hawakuona maghorofa ya kariakoo
Tanzania kuna porojo nyingi kuliko vitendo siku viongozi wakipata uzalendo na uchungu kwa wananchi wao tutatoka huku tulipo na kuanza kutumia rasilimali zetu vizuri kwa maendeleo ya taifa letu.
Nani aliyekuambia Kenya ni second world, wewe umetoka pori gani?, hatukuelewi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma comments jamaa wanalalamika kama watoto wakambo. Wanatulalamikia kila kitu
Namungo just an insignificant team from Lindi has the guts to snatch a player from Kenyan football heavy weight I think you can figure out for yourself how big Ligi kuu bara is terms of quality, popularity, competitiveness na hela ndefu.
 
Asante sana, umejieleza vizuri. Karibu kwenye jukwaa.
Cc joto la jiwe natumai umepata ujumbe.
Kama sio wivu unaokusumbua ni nini zaidi?, Kwahiyo wewe hutaki kuamini mawaziri na viongozi wa Tanzania, badala yake unaamini mtu ambaye hata kijijini kwao hawawezi kumchafua kuwa kiongozi wa Nyumba kumi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala wenu kuhusu umeme, majibu yote yapo hapa.. kiufupi REA itatupaisha
Hii ni report ya mpk 30 June, 2020
Mmeiona hio Electricity Access?
View attachment 2294614
Kingine, Zanzbar mteja anaesabiwa ni mmoja tu kama Zanzbar, japo kuna nyumba nyingi ndan ya Zanzbar
View attachment 2294617
@Tony254 kwahiyo hizi ripoti zote za serikali kwako hutaki kuziamini badala yake unaamini walevi humu JF?, Wewe uko na wivu Sana kwa Tanzania. Kuna huyo tuusan anajiita ni muajiriwa serikalini, lakini Hana uwelewa wowote wa mambo yanayofanyika serikalini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The idiots don't know kuna tofauti ya accessibility na real connection.,., nyaya za umeme zikipita nje ya nyumba yako haimaanishi wewe uko na umeme kwako nyumbani, u have to connect., ndio maana connectivity ya Tz is low, though govt ime enhance availability thus easy accessibility, but kwa ajili ya ufukara wao ulio tapakaa vijijini, few are connected to the grid.,
Cc
coodip1
Ndio maana hujui tofauti ya access na connection.

Mfano mzuri are health services accessible in your area? Utasema ndio kama kuna hospitali karibu ambayo unaweza kutibiwa ila haimaanishi mpaka ulazwe au uwe ndani ya hospital ndio uite hiyo ni access.

Vilevile kwa umeme ukipita mbele ya nyumba yangu inamaana nina access ya umeme either nikitaka kuunga umeme naweza hakuna kinachonizuia ama kama jirani kaweka umeme kwa nyumba yake naweza nikaenda kuchaji simu yangu hiyo ndio access.

Lakini kama hamna access maana yake umeme haujafika hapo mlipo wala hakuna huduma za afya katika eneo husika.
 
Acha kulalamika mzee magufuli hakuwa mjinga alivyoshusha gharama za kuunganisha umeme hadi 27k kwa sababu alijua watu wengi walikua hawawezi kumudu gharama za kuunganisha umeme na mpango wake ilikua watu waunganishiwe bure punde bwawa litakapokamilika ila sasa awamu mpya iliyongia ndo wamevuruga kabisa kwa kuongeza gharama na sijui kama wanampango wakushusha kwaiyo tukae kwa kutulia sindano ituingie
Wa kijijini bado bei ni ile ile ila gharama kwa mijini ndio imepandishwa.
 
Nimesafiri na SGR from Mombasa to Nairobi, inafika 116km/h, wacha porojo, kila coach has a small digital screen above the corridor entrance showing moving speed., and I was watching it, the train was running between 95 and 116KM/h.., averagely., inachezea 105 to 110 sana sana., so wewe ni muongo., kaulize yeyote ambaye ametumia SGR.,

Na kuna wakati inashuka hadi 75km/h., I guess coz of timing ile inayotoka Nairobi, maana kuna mahali zinapishana, lazima zifike pale kwa pamoja., but nadhani kama hakuna oncoming train., from Nairobi to Mombasa and vice versa mwendo inaeza kuchukua around 3 hours..,
Maneno 100 ya mkunya chukua 1. Eti 116kph on a 100kph loco.
 
Pale majumba sita nyundo lazima ihusike, padogo sana kufosi fly over yakuja kuungana na G/Mboto Road. Njia mbadala wabuni sehemu nyingine kabisa ambapo hakuna Nyumba nyingi za kuvunja ili kujenga fly over yenye nafasi.

Ila pia kuna barabara ya Kifuru-Pugu-Chanika ipo kwenye mpango wa kuwekwa lami hii pia inaweza badili movement za public transport badala ya kutegemea majumba sita.
barabara ya kifuru -pugu-chanika inakumbukwa kweli au ndio imebaki kwenye makaratasi?
 
Narudia tena kwa mara ya mwisho kwamba Tanesco ina 2.9 million customers wa umeme wakati Kenya power ina zaidi ya 5.9 million customers wa umeme.

Cc joto la jiwe coodip1 chongchung
Wewe kinachokuumiza ni wivu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Let data za WB za 2021, kwani WB ndio wanaokwenda vijijini kuhesabu vijij?, hii ni Kama Ile ya Uganda kuhusu population ya Uganda.

Tony, ninajua kwamba hii inakustua na unashindwa kuamini kuona Tanzania inafanya Mambo makubwa kuizidi Kenya, kumbuka jinsi ulivyokua ukipinga kwamba Tanzania haiwezi Jenga reli ya umeme, ulikua unasema kwamba Tanzania ni nchi masikini reli ya umeme ni ghali Sana. Katika hili la kusambaza umeme, nalo jiandae kisaikolojia, Kama sio mwisho wa mwaka huu, basi mapema mwakani tutafikia 95% coverage rate, ambayo ni Universal access.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
2020 tuna 39.9 hizi data zinanishangaza kwa kweli
 
Ni households ngapi zimeunganishwa kwa umeme?tuanzie hapo
Recently data sina lakini nikiangalia kwa kasi ya usambazaji wa umeme ni zaidi ya 2.7 mnazosema tumeunganisha. DAR peke yake ni zaidi ya 2.5 ,sasa iweje iwe hiyo hapo juu nchi nzima?
 
Kuna watu humu ndani wanaishi kwenye denial sasa hata ukiweka facts hapa watazipindapinda bila sababu yyte ya msingi ..umeme kufika kijijini sio kuwafikia walengwa ilo jambo lipo kisiasa zaidi
Data ni za 2020 kwamba ni 39.9,na wewe unaamini tupo hapo,hazijaongezeka?

WB wakisema mkoa wa Kilimanjaro ni mkubwa kuliko Tanga na wakaweka data utakubali kuwa ni sawa,huwezi kufikiri nje ya hapo kwa kuwa chombo cha kimataifa ndicho kimesema?
 
Hii data ni ya 2020 ambayo ni 2 years ago. Huwezi kusema kwamba data ya 2 years ago ni nzee.

Cc 7seven
Ni sawa ,uhakika tumeshavuka hapo tena kwa kiwango kikubwa sana.

Zamani umeme ulikuwa ni kama anasa kwa watu wengi sababu gharama zilikuwa juu sana hivyo ni watu wachache waliokuwa wanamudu kuunganishiwa tena wa mjini.

Baada ya kutangaza bei ya 27 kwa vijijini na pembezoni mwa miji muamko umekuwa mkubwa watu kuhitaji kuunganishiwa. Data mpya zikitoka zitashangaza wengi
 
Back
Top Bottom