Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hii ni ya Kenya. Sio lazima yetu ifanane na yenu. Ujuwe kwenye Oxford English dictionary neno "busaa" ndio limewekwa.
Hii ni ya Kenya. Sio lazima yetu ifanane na yenu. Ujuwe kwenye Oxford English dictionary neno "busaa" ndio limewekwa.
Kunyan wakishalewa chang'aa kibera wanaiona beverly hill LA,inabidi uwazoee tuMnajifanya kuyaponda mabati wakati 70% ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye mabati 😅😅😅
Kwanini msiwe humble tu mpunguze arrogance na kupretend maisha msionayo?
View attachment 2294229View attachment 2294230
Kwahiyo hiki kichwa kikikokota mabehewa unakubali top speed itakuwa 100kph instead of 120kph.Nimeshaona. Kuna wakati mwingine huwa inakokota mabehewa ya abiria ila pia kuna wakati mwingine passenger locomotive ndio linatumika kukokota mabehewa ya abiria.
Cc coodip1
Lakini utakuta kwamba hicho kichwa hakitumiki sana kukokota mabehewa ya abiria.Kwahiyo hiki kichwa kikikokota mabehewa unakubali top speed itakuwa 100kph instead of 120kph.
Wacha upuuzi mzee. Nani amekuambia kwamba tuna locomotive aina moja? Tuna locomotives aina tofauti tofauti. Sijui unapingana na mimi kwa nini? Tazama hii video. Hio ya pili ndio passenger locomotive. Hizo zingine tatu ni cargo locomotive.
Cc Geza Ulole Sama boy 255
Hata horsepower ni tofauti. Nipo sure ya cargo ina horsepower kubwa kushinda ya passenger.



Asanteni sana wadau
Kama hivyo poa, wacha tupige hela!Leo safari za Dar-Guanzhou zimerejea kwa kishindo kikubwa, aisee wachina noma yn wameijaza 787-8 kama nauli ni ya kutoka Dar kwenda Mwanza![]()
Habari kama hzi hua zinawakimbiza humu ndani 😅😅😅From the reliable organisation
IMF Ranks Kenya’s Business Environment as the Second Worst in the World
Jul 17, 2022 3:55 AM
International Monetary Fund (IMF) has released a report ranking Kenya’s business environment as the second worst in the world behind Colombia.
The World Uncertainty Index (WUI) attributed Kenya’s business uncertainty to the rising political temperature in the country ahead of the August 9th general elections.
The report notes that the economic and political uncertainty in the country has risen sharply by 84 percent to 0.628 points from 0.34 in the second quarter of 2021.
The IMF team that compiled the report cited the electioneering period as one of the main sources of uncertainty, with most investors fearing an outbreak of unrest after the elections.
“A research that was done by WUI to measure economic and political uncertainty among 143 countries that represent 99 percent of the world’s Gross Domestic Product (GDP), showed that political uncertainty in Kenya is so high,” read the report.
The index uses a single source for all countries, allowing the IMF team to compare the level of uncertainty across countries.
“The index is constructed by text-mining the country reports from the Economist Intelligence Unit (EIU), a business intelligence company that provides country reports on a quarterly basis. These reports cover each country's economy, policies, and politics,” says the IMF.
The Covid-19 pandemic is also a source of uncertainty in Kenya, with the index rising to 0.452 in the second quarter when the country recorded its first Covid-19 case.
Last year, Central Bank of Kenya (CBK) Governor Patrick Njoroge stated that the Kenyan investment market is no longer threatened by rising political temperatures but by other unforeseen factors. He noted that the country has gone through many political risks and it has learned to deal with them.
“Coronavirus is the one that is the unknown. The others are in the realm of known unknowns,” Njoroge said as quoted by The Standard.
I don't care whether South Africa produces a lot of power or not. Nchi yoyote yenye 8 hour power cuts per day is a failed state. Period. Sitaki hadithi mingi za Abunuasi, sijui eti wanaproduce a lot of power. 8 hour power cuts inaonyesha ni jinsi gani hio nchi sio developed na ni failed state. Ujinga kama huu wa 8 hour black out huwezi kuusikia ndani ya developed countries kama za Europe au Northern America.
Kichwa kikiwa na speed 100km/h, maana yake nn kwa mebehewa?Nimeshaona. Kuna wakati mwingine huwa inakokota mabehewa ya abiria ila pia kuna wakati mwingine passenger locomotive ndio linatumika kukokota mabehewa ya abiria.
Cc coodip1
Well, next time before you open you mouth just be well informed of your position,
Mko 55milion for now and you are spending 2000 MW . apparently u are using lots of firewoods in your poor homes






Imeshinda hata Nairobi piaIla Addis Ababa imeshinda Dar kwa aesthetics, looks more developed, check it out kwa youtube or google..,
View attachment 2291453
View attachment 2291452
View attachment 2291448
View attachment 2291449
View attachment 2291454
Kwa mikakati hii Tanzania is ready to feed Africa
nawashauri wakope zaidi! Au unasemaje Tony254 ?
Siungi mkono,tuandae wenyewe bila kushirikiana na Uganda.Good idea itapunguza na operation costs! Ila wahakikishe at least viwanja viwili vya size ya Mkapa vinajengwa!
Mambo ya kanairo tuwachie ww zungumzia dar slum.Imeshinda hata Nairobi pia